kagombe
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 3,624
- 1,826
Wacha wababishaji unataki nini kuhusu simu nichevk whatsapp 0754604567 software zoteHabari wana jf,
Nina simu yangu nokia 2690. Naipenda sana. Ila nilikua na install apps kubwa kubwa inakubali. Nili install opera mini hadi 8.1 ikakubali ila haikuchukua mda ikacollapse, imefuta apps zote hadi uwezo wa internet.
Naomba kwa mwenye uelewa ni install application gani kwenye computer ili niweze kuiflash???
Nataka nifanye mwenyewe.
Ahsante naomba kuwasilisha.