The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 3,445
- 8,300
Binafsi naungana na Huyu jamaa.
1. Mbegu za asili zimepotea.
2. Zamami kipindi cha kilimo mbegu tulichota kwenye magala yetu.
3. Mbegu za kisasa huwezi kureplant ukishaipanda ndo imetoka hiyo.
4. Matokeo yale watu wamekuwa watumwa wa kununua mbegu kila msimu.
5. GMO zinashambuliwa sana na wadudu kwa hiyo kuna utumwa wa kununua fertilizers (mbolea).
6. Sina uhakika kama GMO ni bora kwa afya.
7. Kingine, GMO ukiangalia kwa umakini zinapunguza fertility ya aridhi.
Wataalamu wa kilimo mtusaidie, nini kimepelekea mbegu zetu za asiki kuonekana hazifai mbele ya GMO?