Wataalamu wa IT wa Tanzania ni 'zero' kabisa

Wewe ndo hamnazo kabisa. It looks lk you fall under the same shit. Hatukusaini na mtu, tulisaini na kampuni yenye developer wa kitz. Software developer yet hujui kitu
Hiyo contract ni invalid huwezi sain contract
ya kueleweka ukaja na makasiriko yako kuanzishia uzi kwa
IT wote wa bongo..
Na ukitaka kujua hujui kitu ni namna ilivyoleta bandiko lako.
Unasema unamkataba mtu mpaka anachelewesha mwaka na
mkataba unao unaakili kweli?
 
Shida hawataka kuambiwa ukweli kuwa skills zao ni ndogo sana. Wajifunze hata kwa wenzao wahindi. Ndio wanaoendesha IT industry huko majuu. Sasa wakisema wako vizuri na mimi nimeshaliwa 15m siwezi waelewa.
Hahahaha!!! Huwezi liwa hela hiyo
na unasema umesain contract na kampuni!
Unapersonal conflict na watu wa IT tu.
 
Ni ugonjwa. Hafu ukiwa challenge wanaanza kusema hizi field tumekaa darasani miaka 4 hahahah
Kuna mzee mmoja hivi halmashaur flani hivi hakusoma IT ila ni mkuu wa kitengo cha IT ,jamaa ni muoga balaa,ukimkutaniza ofisini na case ya IT ni bingwa wa kuescape mamma,utasikia naumwa subri nije
 
Watu wa IT bongo wapo wazuri tu, tatitizo hukufanya due diligence na kuangalia kazi zao. Mi hata nikienda ulaya siwezi kumpa mtu kazi anifanyie bila kujiridhisha na experience yake.
 
Umeongea kitu kizuri sana hata sisi developer tujifunze kumsikiliza client nini anataka kikubwa developer tubaki kama washauri , kingine feedback kwa kila stage ni muhimu sana ndo maana wazungu wanasema output of one stage is the input of next stage
Hiyo ndo kazi ya SCRUM mkuu, kama kuna developer bado anatumia waterfall model huyo ni mzigo mkubwa, huwa wana introduce double costg na wastage of time.
 
Ukweli ni kwamba umejikuta na experience mbaya. Ila ITs wazuri wapo wengi tu. Jambo wengi wanakosea ni due diligence katika kuchagua watu wa kufanya nao kazi. Angalia kwa umakini kazi za nyuma za hiyo kampuni na level of experience kabla haujatoa hela.

Mimi pia nilishakutana na hali kama yako. Kuna app ilibidi tufanye nikatoa deal kwa mwana kishkaji kwa 2 mil. Kwa kweli outcome ilikuwa mbaya. Ila nikaamua tufanye tena kwa kuhakikisha due diligence imekaa vizuri kwa tunayempa kazi. Ilitucost 6 mil ila kazi ilitoka top quality. This was 3 years ago. Majamaa hadi leo hii bado nawapa kazi zangu za IT na wanaenjoy pesa yetu kwenye biashara.
 
Kosa lako ulitaka kuwapiga ganji wakubwa wako kwa kutengeneza huo mfumo vichochoroni.Ina maana akina Edwin Bruno & MagillaTech hukuwaona
 
Naandika kwa uchungu sana. Nilipewa instructions ya kutafuta kampuni ya IT hapa Tz kudisign app na web kwa ajili ya masuala fulani fulani. Nikawacheck jamaa fulani ni IT wazuri tu (kwa mjibu wao na ka kampuni kao uchwara) na mmoja kasoma US mwingine China. Nikawapa 15,000,000/= waanze kazi. Hii ni baadhi ya malipo ya awali.

Miezi mi4 hakuna feedback. Tukasema tusubiri labda jamaa wako kazini. Miezi 6 hola. Miezi 12 hola. Huku na huku nikapigiwa simu kazi tayari. Nikasema poa. So nilikuwa mbali. Nikamtafuta software engineer ni mkenya afanye testing. Aisee jamaa alicheka sana. Ikasema hao vijana wamegoogle templates wameedit na kupachika na ni bogus development.

Idea ilikuwa kuwa na software inayotrace magari ya kumpuni, yako wapi, yametembea kilo ngapi and other staffs-Real time data.

Wakaishia kutengeneza utopolo tu. I guess wako humu pia. Ilibidi tulipe upya tukapeleka project Rwanda. Vijana wamedesign from scratch na within 4 month wamekabidhi kazi.

Sasa naelewa kwa nini watu hawataki kuwekeza kwenye IT Bongo. Ujinga mtupu. Hawa vijana wetu wafuge tu kuku kwa kweli. Hivi nyie ndo mtaweza hata kushindana na Bolt+uber?.

Anyway sijui CS/IT mnafundishwa nn huko vyuoni. Natamani kujua mitaala yenu.

100% disappointed.
If you pay peanuts, you will get monkeys.
 
kuwaita wote wajinga umekosea mimi nipo kwenye taasisi kubwa na software tunatumia ni ya inchini, wewe umeenda kwa kampuni ukute ndio kwanza wanatoka shule bado hawajakumbana na changamoto.

wakati mwingine kabla mtu hujampa kazi mwambie kwanza akuonyeshe project zake ambazo zipo zinafanya kazi.
 
Naona tatizo ni lako mwenyewe ulipoambiwa wamesoma USA na China kwa mentality yako basi ukafikiri wanajua sana kumbe umeingia kwa matapeli. Watz wapo wengi tu wanaweza IT siku nyingine tangaza tenda utapata wataalamu kama sisi. Siku ukiwa unatafuta waliobobea kwenye IT Security tutafute sisi wabobezi mkuu, lakini ni vizuri ukatangaza Tenda kwanza.
 
kuwaita wote wajinga umekosea mimi nipo kwenye taasisi kubwa na software tunatumia ni ya inchini, wewe umeenda kwa kampuni ukute ndio kwanza wanatoka shule bado hawajakumbana na changamoto.

wakati mwingine kabla mtu hujampa kazi mwambie kwanza akuonyeshe project zake ambazo zipo zinafanya kazi.
Tatizo lake alivyoambiwa tu wamesoma USA na China akaingia mkenge.
 
kuwaita wote wajinga umekosea mimi nipo kwenye taasisi kubwa na software tunatumia ni ya inchini, wewe umeenda kwa kampuni ukute ndio kwanza wanatoka shule bado hawajakumbana na changamoto.

wakati mwingine kabla mtu hujampa kazi mwambie kwanza akuonyeshe project zake ambazo zipo zinafanya kazi.
Wapi pamesemwa wajinga? Zero mana yake wajinga?
 
W
Naandika kwa uchungu sana. Nilipewa instructions ya kutafuta kampuni ya IT hapa Tz kudisign app na web kwa ajili ya masuala fulani fulani. Nikawacheck jamaa fulani ni IT wazuri tu (kwa mjibu wao na ka kampuni kao uchwara) na mmoja kasoma US mwingine China. Nikawapa 15,000,000/= waanze kazi. Hii ni baadhi ya malipo ya awali.

Miezi mi4 hakuna feedback. Tukasema tusubiri labda jamaa wako kazini. Miezi 6 hola. Miezi 12 hola. Huku na huku nikapigiwa simu kazi tayari. Nikasema poa. So nilikuwa mbali. Nikamtafuta software engineer ni mkenya afanye testing. Aisee jamaa alicheka sana. Ikasema hao vijana wamegoogle templates wameedit na kupachika na ni bogus development.

Idea ilikuwa kuwa na software inayotrace magari ya kumpuni, yako wapi, yametembea kilo ngapi and other staffs-Real time data.

Wakaishia kutengeneza utopolo tu. I guess wako humu pia. Ilibidi tulipe upya tukapeleka project Rwanda. Vijana wamedesign from scratch na within 4 month wamekabidhi kazi.

Sasa naelewa kwa nini watu hawataki kuwekeza kwenye IT Bongo. Ujinga mtupu. Hawa vijana wetu wafuge tu kuku kwa kweli. Hivi nyie ndo mtaweza hata kushindana na Bolt+uber?.

Anyway sijui CS/IT mnafundishwa nn huko vyuoni. Natamani kujua mitaala yenu.

100% disappointed.
WE Jamaa kama skuelew. .. hujui chuki iliyopo kat ya wakenya na watz. Watu wapo na wanajua Kaz, usigeneralize, pia hyo kaz ulilipia garama kubwa kupindukia kama hzo ni initial cost,kubeba template sio ishu ishu ni usalama, na unaeza code from scratch na ikawa Haina maana ..af uache kiki Sina uhakika na hzo figures unazoztaja...nawajua wabongo nje ndan hatuna uzungu huo, pengine hata deal huna ila una chafua taaluma za watu
 
OK nimeisoma ngonjera yako ila haijaingia upstairs Vipi wewe unampa mtu kazi na hela juu bila kuingia mkataba mbele ya legal bodies? And Mbona io software project unayoongelea ni kazi ndg...Kuna legacy Software ngumu na bado watu tunameet deadline.

Hii ni professional ya watu kijana kuwa na adabu matapeli kila idara sasa wewe ulipigwa na tofali Yes kuna makampuni yameanzishwa kitapel ili kupiga watu Ungeomba kuelekezwa ni kampuni gani ya Software devOps nzuri Tungekuelekeza....
Huyo alipigwa , Bado sjamaliza chuo katka hii field ila hyo kaz ni ndogo sana kwa hela aliotoa ,Kaz ya miez miwili tu...af kuhus template kazngua...kiufup astukane taaluma...story sjaielewa ...wabongo janj janj sana simuamin kuhus kampun,pengne s yy ila rafk ake au kaskia t
 
System nyingi za vyuo zimetengenezwa na wabongo na wamepewa zaidi ya 100mil,
Hata hii mifumo ya malipo hospitalini ni wabongo pia uliza gharama zake tena hao ni fresh from university.
Kuna mwenzako ni CEO wa institution flani ya serikali alipeleka kazi ICT department alipopewa gharama akaambiwa mil70,
akakimbilia nje kumwita external auditor bei aliyotajiwa 300mil ikabidi airudishe kazi kwenye department.
Labda mtoa mada kabla ya kututukana ...aulize kama anawajua ega....mifumo ya selikali 60 percentage no yao
 
Back
Top Bottom