Wataalamu wa IT wa Tanzania ni 'zero' kabisa

Umesema vizuri. Lakini hata cloning ni skills pia. Sasa kama unaangalizia paper unacopy mpaka jina la yule unaangalizia your totally a dump. Wapo narudia wapo they can do it from scratch and they did it.
Yap wapo ila ni vema kama wana timu ya kutosha au na wao wanakuwa na codes tayari ya kazi kama hio walishaifanya (most apps siku hizi features na model of business zinafanana)

Kwanini nasema hivyo hata kina microsoft wenyewe au any big software companies huwa wanatoa a beta version kwanza ambao inakuwa na bugs za kutosha ambazo as time goes on na watu wakigundua wanakuwa wanarekebisha..., na bila kutumia kwa muda mrefu sometimes ni vigumu kugundua bugs ambazo zipo
 
Naandika kwa uchungu sana. Nilipewa instructions ya kutafuta kampuni ya IT hapa Tz kudisign app na web kwa ajili ya masuala fulani fulani. Nikawacheck jamaa fulani ni IT wazuri tu (kwa mjibu wao na ka kampuni kao uchwara) na mmoja kasoma US mwingine China. Nikawapa 15,000,000/= waanze kazi. Hii ni baadhi ya malipo ya awali.

Miezi mi4 hakuna feedback. Tukasema tusubiri labda jamaa wako kazini. Miezi 6 hola. Miezi 12 hola. Huku na huku nikapigiwa simu kazi tayari. Nikasema poa. So nilikuwa mbali. Nikamtafuta software engineer ni mkenya afanye testing. Aisee jamaa alicheka sana. Ikasema hao vijana wamegoogle templates wameedit na kupachika na ni bogus development.

Idea ilikuwa kuwa na software inayotrace magari ya kumpuni, yako wapi, yametembea kilo ngapi and other staffs-Real time data.

Wakaishia kutengeneza utopolo tu. I guess wako humu pia. Ilibidi tulipe upya tukapeleka project Rwanda. Vijana wamedesign from scratch na within 4 month wamekabidhi kazi.

Sasa naelewa kwa nini watu hawataki kuwekeza kwenye IT Bongo. Ujinga mtupu. Hawa vijana wetu wafuge tu kuku kwa kweli. Hivi nyie ndo mtaweza hata kushindana na Bolt+uber?.

Anyway sijui CS/IT mnafundishwa nn huko vyuoni. Natamani kujua mitaala yenu.

100% disappointed.
Wewe ni bogus wa kutupwa.

Kabla haujawapa kazi, uliwahi kuona prod yao yeyote?

Ulipaswa kutafuta wateja waliofanyiwa kazi na hao vibaka kwanza.

Vinginevyo hii post yako ni utopolo
 
Kwenye halmashauri huko ndiko kuna vituko +, IT hajui hata database
 
Shida unajifanya mjuaji na hujui chochote ni halali kutapeliwa..
Kuna watu wamesom zion field zao ni stationary na wenyewe unawaweka kwenye kundi la Ma IT.
Wewe ndo hamnazo kabisa. It looks lk you fall under the same shit. Hatukusaini na mtu, tulisaini na kampuni yenye developer wa kitz. Software developer yet hujui kitu
 
Wewe ni bogus wa kutupwa.

Kabla haujawapa kazi, uliwahi kuona prod yao yeyote?

Ulipaswa kutafuta wateja waliofanyiwa kazi na hao vibaka kwanza.

Vinginevyo hii post yako ni utopolo
Tuliza maka**rio wewe. Lazima ujue hii indusry ni too wide. Mtu kama hujui sema tu hatuna expertise kwenye hii mambo. Sasa unachukua hela ya mtu unafanya utopolo. Hafu mnaambiwa mnaleta maneno baada ya kuchukua kama challenge.
 
Mkuu mbona wewe hujilaumu kwa kwenda kwenye kampuni uchwala ? Ulipoenda si mahala sahihi na ni kosa lako unavyogeneralize hili swala unawakosea watu wanaofanya kazi vizuri... You were less-informed, dont blame other people for that next time fanya research...
Nina testimony kama 3/4 wengi wanalalamika kuchukuliwa hela yet kazi inatoka mbovu. Kukiwa kuna 70 out of 100 wababaishaji hata ufanye research vipi utaangukia kwao
 
Haha sasa usiwahukumu wote mkuu, next time get tafuta wanaojua...
 
Mimi sio IT ila nimeona tatizo lako, ulikuwa na project nzuri ila ukaifanya kienjeji
Ungetangaza tenda au hata tangazo na unatoa specification zako na mkataba, wasipo deliver ulichotaka hakuna malipo
Hicho kigezo cha kuwa hakutakuwa na malipo wasipo deliver Ina maana wale wakuunga unga wangekimbia...
HIVYO makosa yako ya kufanya vitu kienjeji yasiwe kigezo cha kuwadharau ITs wote
Utatangaza project ndogo kama hio kwenye vyombo vya habari. Any way IT wa Tz ni waongeaji sana utafikiri ndio wagunduzi wa blockchain technology. Narudia tena wajijengee uwezo waache kushinda twitter
 
Uzuri ushasema mmoja kasoma US na mwingine China. Kwahiyo inatakiwa ubeze mitaala ya walikosoma mjusi wewe.
Regardless, nyie mliosoma bongo mmefanya nini la maana
 
Labda niwape kazi ya kuuza karanga kama ni hizi mambo za coding hapana aisee.
Hahahaha...daah wamekurefund hela yako ? next time ukimpa mtu kazi mwambie akutengenezee prototype ya the working model uone itakavyoexecute...
 
Kwahiyo hao waliotengeneza hizo template..nao walizitolea wapi..kama sio kutengeneza from scratch..ila kiukweli IT wa bongo ni makanjanja utupu..ukitaka kujua hilo nenda kacheki mifumo mingi ya serikali ilivyo mibovu tukianzia tu na website.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii industry iko twisted somewhere. Ni vile tu wamekaa kizembe. Wakihack kawebsite ka halmashauri gani sijui kelele kibao.
 
Naandika kwa uchungu sana. Nilipewa instructions ya kutafuta kampuni ya IT hapa Tz kudisign app na web kwa ajili ya masuala fulani fulani. Nikawacheck jamaa fulani ni IT wazuri tu (kwa mjibu wao na ka kampuni kao uchwara) na mmoja kasoma US mwingine China. Nikawapa 15,000,000/= waanze kazi. Hii ni baadhi ya malipo ya awali.

Miezi mi4 hakuna feedback. Tukasema tusubiri labda jamaa wako kazini. Miezi 6 hola. Miezi 12 hola. Huku na huku nikapigiwa simu kazi tayari. Nikasema poa. So nilikuwa mbali. Nikamtafuta software engineer ni mkenya afanye testing. Aisee jamaa alicheka sana. Ikasema hao vijana wamegoogle templates wameedit na kupachika na ni bogus development.

Idea ilikuwa kuwa na software inayotrace magari ya kumpuni, yako wapi, yametembea kilo ngapi and other staffs-Real time data.

Wakaishia kutengeneza utopolo tu. I guess wako humu pia. Ilibidi tulipe upya tukapeleka project Rwanda. Vijana wamedesign from scratch na within 4 month wamekabidhi kazi.

Sasa naelewa kwa nini watu hawataki kuwekeza kwenye IT Bongo. Ujinga mtupu. Hawa vijana wetu wafuge tu kuku kwa kweli. Hivi nyie ndo mtaweza hata kushindana na Bolt+uber?.

Anyway sijui CS/IT mnafundishwa nn huko vyuoni. Natamani kujua mitaala yenu.

100% disappointed.
We jamaa una ufala sana, bandiko lako unalaumu IT wa bongo, afu ulowapa kazi ni watanzania waliosoma US na China, afu walaumu tu, hujielewi, kutengeneza app na web tu umetoa 15M kama kianzio kwa mkataba Gani?! Then ukaenda tafuta IT rwanda maana yake ulitoa pesa upya, acheni kudharau field za watu, kwa hadithi za kutunga
 
Una hasira mpaka unakashifu na watu wasiohusika, walikuonesha hata project ambazo walishawahi kufanya kabla hujawakabidhi kazi yako?
 
we jamaa kuna sehem kwenye ubongo pana loose connection au hamna connection kabisa kiasi kwamba hamna proper flow of data. Au kuna fuse imeungua??
Wewe ndo tope. Acheni kulialia nendeni mkasome hata udemy huko course ni bure kabisa. Mnaenda US mnarudi ujuzi sifuri hafu mnaleta majibu ya shombo. Kuna watu wanafanya coding huko kutengeneza jua bandia nyie mmekaa mnachambana na dada zenu facebook. Poor you
 
We jamaa una ufala sana, bandiko lako unalaumu IT wa bongo, afu ulowapa kazi ni watanzania waliosoma US na China, afu walaumu tu, hujielewi, kutengeneza app na web tu umetoa 15M kama kianzio kwa mkataba Gani?! Then ukaenda tafuta IT rwanda maana yake ulitoa pesa upya, acheni kudharau field za watu, kwa hadithi za kutunga
Acha ungese. Usichoelewa nini. sasa US na china mlienda kufanya nini. Na sijajua hawa waliosoma bongo hali yao ipoje. Hii secta imekaliwa na mazuzu wasiojielewa kama nyie. Jifunzeni skills ziko online nowdays.
 
Una hasira mpaka unakashifu na watu wasiohusika, walikuonesha hata project ambazo walishawahi kufanya kabla hujawakabidhi kazi yako?
Shida hawataka kuambiwa ukweli kuwa skills zao ni ndogo sana. Wajifunze hata kwa wenzao wahindi. Ndio wanaoendesha IT industry huko majuu. Sasa wakisema wako vizuri na mimi nimeshaliwa 15m siwezi waelewa.
 
Back
Top Bottom