Mkuu
guzman_ uzi wako huu umenifanya nijiskie uchungu sana sana ukizingatia mimi ni a computer science guy.
Lakin yote katika yote umezungumza ukwel kwa 50%.Na kilichonishangaza zaid ni hapo kwa hao jamaa kuwa wamesoma nje ya mipaka ya Tz na africa ambapo huwa tunaamin kuwa ndio kuna maarifa makubwa na elim kubwa.Strange kushindwa kufanya kaz kama hiyo.
Ofcz naweza kuku critisize kwenye baadha ya fact as umeongea kwa uchungu wa kupigwa hela na kupotezewa muda but tuyaache hayo kwakua sio ya msingi sana.
All in all hawa watu wengi ambao ni wabovu kwenye haya mambo ndio wanatuharibia sana soko sie wengine wachache.Unakuta wana download ma "open source codes" hukoo wanakuja ku paste even without knowing the stuf in detail .(ofcz is not a crime as standard za ku practise coding now days zime badilika kwa kurahishwa zaid).
But kuna watu compitent sana tu hapa bongo.Ni vile ulibabaika na ma cv ya china na america au hukua na aproach nzuri ya ku get intouch with real people.
NB
Sema bongo kuna bogus wengi sana with smart and convincing appearances 😂😂