Wataalamu wa IT wa Tanzania ni 'zero' kabisa

Wataalamu wa IT wa Tanzania ni 'zero' kabisa

Inaonekena hujui chochote kuhusu IT.
kudesign web na app unajua unamaanisha nini?
web nayo ni app, ni web system application na app nahisi ulikuwa unaongelea mobile application
au desktop application.
hivyo vyote kwa kampuni ya kueleweka hata mil. 100 haitoshi,
au mtu mwenye carrier yake.
Sasa unavosema unaweza fanya kwa mil 40 na unaenda kugoogle code si ungeenda ukalime tu.
 
Acheni kuchafua profesional za watu kwa uzembe wenu na ubahili.
Acheni kulia njaa. Kama mnataka bil 1 nendeni US. Kuna wengine wanakwambia mil 1.5 sembuse mil 100. Hapo hamna anachafua ni wao wenyewe.
 
System nyingi za vyuo zimetengenezwa na wabongo na wamepewa zaidi ya 100mil,
Hata hii mifumo ya malipo hospitalini ni wabongo pia uliza gharama zake tena hao ni fresh from university.
Kuna mwenzako ni CEO wa institution flani ya serikali alipeleka kazi ICT department alipopewa gharama akaambiwa mil70,
akakimbilia nje kumwita external auditor bei aliyotajiwa 300mil ikabidi airudishe kazi kwenye department.
Nimetoa case hapo juu soma vizuri comments kuna kampuni ilipeleka tenda ya kudesign mfumo wakaambiwa mil70. yet huop mfumo haukufanya chochote wakawatafuta jamaa wa nje. Shida sio hela shida ni competence narudia tena.
 
Ofcourse kwenye top countries of IT Tanzania haimo..., sio kwamba ni Zero bali wengine wamewekeza zaidi kwa muda, pesa interest n.k

Mfano Asian Countries ni Wazuri sana hata Silicon Valley wamejaa Asians (its just their hobby)

Kuhusu app kama ni ya kitu fulani na kuna kitu kama hicho unaweza ukachukua off the shelf ikawa customized au nenda na big companies..., Nasema hivyo kwanini haya mambo sometimes yanahitaji timu kubwa..., software from scratch ni millions of codes inakuwa na bugs kwahio bila testing (through matumizi ya muda mrefu) ni vigumu kujua uzuri wake au matatizo ya mbeleni (ndio maana nikasema kama inaendana na same software yeye kufanya same thing its better ukapata clone) - Sababu its tested with time

Mimi sio IT it just I want to know stuff and this is my two cents
 
Bro hakuna mtu anapiga code from scratch, huwa zinachukuliwa template unaziedit utakavyo, ama la huwa tunakopa code then unaedit
Kwahiyo hao waliotengeneza hizo template..nao walizitolea wapi..kama sio kutengeneza from scratch..ila kiukweli IT wa bongo ni makanjanja utupu..ukitaka kujua hilo nenda kacheki mifumo mingi ya serikali ilivyo mibovu tukianzia tu na website.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mil.15 hata mim ninge-download template tu uhangaike nayo.
Nasema mil 15 ndio ilishalipwa unajua tulisainiana nao kiasi gani. Mpumbavu gani atakulipa hela yote. So walipozingia tukaenda kupeleka third part huko ndo wakaokoa jahazi
 
Nimetoa case hapo juu soma vizuri comments kuna kampuni ilipeleka tenda ya kudesign mfumo wakaambiwa mil70. yet huop mfumo haukufanya chochote wakawatafuta jamaa wa nje. Shida sio hela shida ni competence narudia tena.
Huko nje huwezi wapa hela kama hiyo kwa kazi hiyo tena kampuni.
IT wabongo wapo wanaweza kutengeneza lakini hiyo hela yako hamna atakae
kutengenezea kitu cha maana.
 
Naandika kwa uchungu sana. Nilipewa instructions ya kutafuta kampuni ya IT hapa Tz kudisign app na web kwa ajili ya masuala fulani fulani. Nikawacheck jamaa fulani ni IT wazuri tu (kwa mjibu wao na ka kampuni kao uchwara) na mmoja kasoma US mwingine China. Nikawapa 15,000,000/= waanze kazi. Hii ni baadhi ya malipo ya awali.

Miezi mi4 hakuna feedback..
pole sana mdau, ukute baada tu ya kuwalipa hiyo 15,000,000/= kama malipo ya awali, jioni yake wakaenda zao beach kidimbwi kwenda kuiteketeza. nimewaza tu kwa jicho la kikuda.
 
Ofcourse kwenye top countries of IT Tanzania haimo..., sio kwamba ni Zero bali wengine wamewekeza zaidi kwa muda, pesa interest n.k

Mfano Asian Countries ni Wazuri sana hata Silicon Valley wamejaa Asians (its just their hobby)

Kuhusu app kama ni ya kitu fulani na kuna kitu kama hicho unaweza ukachukua off the shelf ikawa customized au nenda na big companies..., Nasema hivyo kwanini haya mambo sometimes yanahitaji timu kubwa..., software from scratch ni millions of codes inakuwa na bugs kwahio bila testing (through matumizi ya muda mrefu) ni vigumu kujua uzuri wake au matatizo ya mbeleni (ndio maana nikasema kama inaendana na same software yeye kufanya same thing its better ukapata clone) - Sababu its tested with time

Mimi sio IT it just I want to know stuff and this is my two cents
Umesema vizuri. Lakini hata cloning ni skills pia. Sasa kama unaangalizia paper unacopy mpaka jina la yule unaangalizia your totally a dump. Wapo narudia wapo they can do it from scratch and they did it.
 
Huko nje huwezi wapa hela kama hiyo kwa kazi hiyo tena kampuni.
IT wabongo wapo wanaweza kutengeneza lakini hiyo hela yako hamna atakae
kutengenezea kitu cha maana.
Narudia bongo hata ulipe bil 100 bado wataenda kuclone. Kuna vitu viwili hela na uwezo. Nazungumzia uwezo. Kama watoto kinda kabisa hapo RW wameweza tena for less that 50m hafu nyie mnataka bilioni 1 mkaclone. Acheni zenu bana
 
Nasema mil 15 ndio ilishalipwa unajua tulisainiana nao kiasi gani. Mpumbavu gani atakulipa hela yote. So walipozingia tukaenda kupeleka third part huko ndo wakaokoa jahazi
Shida unajifanya mjuaji na hujui chochote ni halali kutapeliwa..
Kuna watu wamesom zion field zao ni stationary na wenyewe unawaweka kwenye kundi la Ma IT.
 
pole sana mdau, ukute baada tu ya kuwalipa hiyo 15,000,000/= kama malipo ya awali, jioni yake wakaenda zao beach kidimbwi kwenda kuiteketeza. nimewaza tu kwa jicho la kikuda.
Kuna uwezekano pia. Basi wangekuwa waaminifu ingetosha. Yaani ni software rahisi sana nahisi mwenyewe ningeenda msuli miezi 12 ningetoka na kitu.
 
Mkuu guzman_ uzi wako huu umenifanya nijiskie uchungu sana sana ukizingatia mimi ni a computer science guy.
Lakin yote katika yote umezungumza ukwel kwa 50%.Na kilichonishangaza zaid ni hapo kwa hao jamaa kuwa wamesoma nje ya mipaka ya Tz na africa ambapo huwa tunaamin kuwa ndio kuna maarifa makubwa na elim kubwa.Strange kushindwa kufanya kaz kama hiyo.

Ofcz naweza kuku critisize kwenye baadha ya fact as umeongea kwa uchungu wa kupigwa hela na kupotezewa muda but tuyaache hayo kwakua sio ya msingi sana.

All in all hawa watu wengi ambao ni wabovu kwenye haya mambo ndio wanatuharibia sana soko sie wengine wachache.Unakuta wana download ma "open source codes" hukoo wanakuja ku paste even without knowing the stuf in detail .(ofcz is not a crime as standard za ku practise coding now days zime badilika kwa kurahishwa zaid).

But kuna watu compitent sana tu hapa bongo.Ni vile ulibabaika na ma cv ya china na america au hukua na aproach nzuri ya ku get intouch with real people.

NB
Sema bongo kuna bogus wengi sana with smart and convincing appearances
 
Naandika kwa uchungu sana. Nilipewa instructions ya kutafuta kampuni ya IT hapa Tz kudisign app na web kwa ajili ya masuala fulani fulani. Nikawacheck jamaa fulani ni IT wazuri tu (kwa mjibu wao na ka kampuni kao uchwara) na mmoja kasoma US mwingine China. Nikawapa 15,000,000/= waanze kazi. Hii ni baadhi ya malipo ya awali.

Miezi mi4 hakuna feedback. Tukasema tusubiri labda jamaa wako kazini. Miezi 6 hola. Miezi 12 hola. Huku na huku nikapigiwa simu kazi tayari. Nikasema poa. So nilikuwa mbali. Nikamtafuta software engineer ni mkenya afanye testing. Aisee jamaa alicheka sana. Ikasema hao vijana wamegoogle templates wameedit na kupachika na ni bogus development.

Idea ilikuwa kuwa na software inayotrace magari ya kumpuni, yako wapi, yametembea kilo ngapi and other staffs-Real time data.

Wakaishia kutengeneza utopolo tu. I guess wako humu pia. Ilibidi tulipe upya tukapeleka project Rwanda. Vijana wamedesign from scratch na within 4 month wamekabidhi kazi.

Sasa naelewa kwa nini watu hawataki kuwekeza kwenye IT Bongo. Ujinga mtupu. Hawa vijana wetu wafuge tu kuku kwa kweli. Hivi nyie ndo mtaweza hata kushindana na Bolt+uber?.

Anyway sijui CS/IT mnafundishwa nn huko vyuoni. Natamani kujua mitaala yenu.

100% disappointed.
Mimi sio IT ila nimeona tatizo lako, ulikuwa na project nzuri ila ukaifanya kienjeji
Ungetangaza tenda au hata tangazo na unatoa specification zako na mkataba, wasipo deliver ulichotaka hakuna malipo
Hicho kigezo cha kuwa hakutakuwa na malipo wasipo deliver Ina maana wale wakuunga unga wangekimbia...
HIVYO makosa yako ya kufanya vitu kienjeji yasiwe kigezo cha kuwadharau ITs wote
 
Sawa lakini point umeshaielewa nazungumzia nini. Whatever programmer., software developing/ engineering,hacking, AI, deep learning, machine, hii sector tukubali sisi wabovu tu ndugu yangu. Tuishie kuinstall windows tu kwenye PC.Aliyesema mimi naishi nje nani>? nje gani unazumgumzia wewe. ? Field yangu it has nothing to do with technology and sort off. Najua kutype na kuprint tu document. Ila huwezi jichanganya kwenye field niliyopo ukababi salama. Sasa nyie majina marefu hafu kichwani empty kabisa. Unajiita software developer sijui system analyst huwezi hata kutengeneza a simple software.

hao sio programmer ni ma IT. ofisi za watu wa kudeal na software hawa deal ni mambo ya IT
 
Mkuu mbona wewe hujilaumu kwa kwenda kwenye kampuni uchwala ? Ulipoenda si mahala sahihi na ni kosa lako unavyogeneralize hili swala unawakosea watu wanaofanya kazi vizuri... You were less-informed, dont blame other people for that next time fanya research...
 
Back
Top Bottom