Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,447
- 8,722
Kinachotuponza ni "madili" hata kama anajua anapiga dili ambalo ni pesa ya karibu.
Mfumo gani mbovu ..utaje jina ..pia ukumbuke Kuna updates...ni vile mabadiko ya muda...Kwahiyo hao waliotengeneza hizo template..nao walizitolea wapi..kama sio kutengeneza from scratch..ila kiukweli IT wa bongo ni makanjanja utupu..ukitaka kujua hilo nenda kacheki mifumo mingi ya serikali ilivyo mibovu tukianzia tu na website.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Usijitie uchizi..website nyingi za serikali ni majanga..hazina updatez hata miaka miwili nyuma.Mfumo gani mbovu ..utaje jina ..pia ukumbuke Kuna updates...ni vile mabadiko ya muda...
Kwenye halmashauri huko ndiko kuna vituko +, IT hajui hata ddataba
We uliona kosa gan kwenye hizo sites ?...Usijitie uchizi..website nyingi za serikali ni majanga..hazina updatez hata miaka miwili nyuma.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ni heri ungemtaja muhusika peke yake ambae una ushahidi na ubovu wake kuliko kuwaharibia kazi wengine wanao baki maana kuna watu wanategemea hizo kazi waendeshe familia na hawajawahi kuzifanya vibaya.Ni kweli nimeandika out of frustration lakini programmer gani anashindwa kitu simple hivo.
"Peanuts" ni relative. Inategemea na "scope" ya kazi. Kwa hiyo 15m haiwezi kuwa sio peanuts kwa any scope ya software development project, kwa hiyo inawezekana kabisa 15m ilikua ni peanut kulingana na ukubwa wa kazi.Kama 15m ni peanuts basi bana. Nyie ni maguru bana. Kaeni na professional zenu.
Specific prob??
Nyie ma IT wa Bongo wote zero, sifuri kabisa. Mnafanyaje kazi miezi 14 mna deliver utopolo. Ziro plus plua kabisa. Bongo hakuna ma IT mo matapeli watupu!Duh😁 cc Stefano Mtangoo
Tulia IT uchwara wewe. Unepigwa na kitu kizito 😉Unawezaje kuita watu wote zero baada ya kufanya kazi na kampuni moja tu na kusikia hadithi za wengine?![]()
IT wa bongo akijaribu kupiga kazi ya kuunda app🤣Nyie ma IT wa Bongo wote zero, sifuri kabisa. Mnafanyaje kazi miezi 14 mna deliver utopolo. Ziro plus plua kabisa. Bongo hakuna ma IT mo matapeli watupu!
Fungeni vikampuni uchwara vyenu vya IT!
Huyu jamaa kiazi kwanini hakujihakikishia kwanza ubora wa hao jamaa kabla ya kuwapa kazi! Haoni kwamba yeye ndio SIFURI nambari wani then hao jamaa ndio wafuateUna hasira mpaka unakashifu na watu wasiohusika, walikuonesha hata project ambazo walishawahi kufanya kabla hujawakabidhi kazi yako?
Nailed it..!!Tatizo sio ni kwa sababu ni IT wa Tanzania. Tatizo unalo wewe mwenyewe.
Unadhani ni kwanini zinawekwa taratibu (controls) za manunuzi? Hizi zina maana kubwa kuliko zinavyochukuliwa kifisadi fisadi. Zimewekwa ili kupunguza hatari (risk) na madhara (impact) ya jambo kama hilo lililotokea.
Na ili ujue sio Tanzania pekee, taratibu za manunuzi ziko duniani kore hata Ulaya na Marekani. Hii maana yake japo sio kwa kiwango cha nchi zenye watu wenye njaa na ubinafsi za nchi zinazoendelea, mambo kama hayo yapo hata mbele huko. Hata huko Rwanda au Kenya unakosema, yapo!
Ilitakiwa taratibu za manunuI zifuatwe, watu wanaotengeneza SOW na wanaoandaa RFQ/RFP/EOI wawe ni SMEs wa software development. Waachie wao waweke requirements vizuri na kisha tender evaluation iwe smart ikiwa ni pamoja na kujiridhisha kampuni hiyo kweli ina exist na inafanya kazi up to the quality mnayotaka. Kazi ilizowahifanya ni zipi na clients wao wanasemaje?
Kama ulifanya shortcut usifuate procedures vizuri lazima upate kazi iliyopigwa shortcuts na lazima upigwe!
Adhere to the code of conduct kwa kila unachofanya kwa manufaa ya kampuni/shirika/business.
Usirudie ki-generalize issue kwa jambo ambalo huenda kuna makosa umeyafanya mwenyewe.
Halafu itolewe ya kueleweka ushindwe kazi uingie nayo mitini. Na hiyo 15 ilikuwa advanceYaan we mpompo kweli mm unisumbue kazi ya mil 15 unifanyishe kazi miezi yote hiyo. Ungetoa pesa ya kueleweka ungepata watu wa kueleweka pia
Umewaonea IT wa Bongo mkuu.. mwenyewe umesema jamaa wamesoma US na China.. utakuta ndo wale jamaa wanaopata zero au div 4 alafu wanaenda China kusomea Udaktari [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naandika kwa uchungu sana. Nilipewa instructions ya kutafuta kampuni ya IT hapa Tz kudisign app na web kwa ajili ya masuala fulani fulani. Nikawacheck jamaa fulani ni IT wazuri tu (kwa mjibu wao na ka kampuni kao uchwara) na mmoja kasoma US mwingine China. Nikawapa 15,000,000/= waanze kazi. Hii ni baadhi ya malipo ya awali.
Miezi mi4 hakuna feedback. Tukasema tusubiri labda jamaa wako kazini. Miezi 6 hola. Miezi 12 hola. Huku na huku nikapigiwa simu kazi tayari. Nikasema poa. So nilikuwa mbali. Nikamtafuta software engineer ni mkenya afanye testing. Aisee jamaa alicheka sana. Ikasema hao vijana wamegoogle templates wameedit na kupachika na ni bogus development.
Idea ilikuwa kuwa na software inayotrace magari ya kumpuni, yako wapi, yametembea kilo ngapi and other staffs-Real time data.
Wakaishia kutengeneza utopolo tu. I guess wako humu pia. Ilibidi tulipe upya tukapeleka project Rwanda. Vijana wamedesign from scratch na within 4 month wamekabidhi kazi.
Sasa naelewa kwa nini watu hawataki kuwekeza kwenye IT Bongo. Ujinga mtupu. Hawa vijana wetu wafuge tu kuku kwa kweli. Hivi nyie ndo mtaweza hata kushindana na Bolt+uber?.
Anyway sijui CS/IT mnafundishwa nn huko vyuoni. Natamani kujua mitaala yenu.
100% disappointed.