UP TO DATE
JF-Expert Member
- Apr 20, 2021
- 739
- 906
Njia fupi na ya ujanja ujanja huwa siku zote ni mbaya Sana,kila taaluma ina hatua zake za kufuata,ukikosea hatua zake lazima uanze majuto na kulia...
😂😂 umeamua ukubali yaishe.Tulia IT uchwara wewe. Unepigwa na kitu kizito 😉
Bongo hakuna IT, ni uchwara tuuu!
Hahahahaaa!😂😂 umeamua ukubali yaishe.
Funika kombe mwanaharamu apite
Hafu wakali kweli ukiwaambia hawana skills. Jamaa watulie wajisahihishe.Aisee bongo hamna kitu watu hawana competence kweli watupu tu na mavyeti yao wapo wengi tu mwishowe wanaishia Kuwa vishoka.Mimi nasema IT wote bongo ni VISHOKA
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Umedanganya imategemea na project watu wanatengeneza from scratch bongo hatutaki kuumiza vichwa tumekalia kuedit tu templeteBro hakuna mtu anapiga code from scratch, huwa zinachukuliwa template unaziedit utakavyo, ama la huwa tunakopa code then unaedit
Mkuu,Yaani ndo nimeamini. Kuna kampuni ilishaingia chaka mil 70 hapa hapa bongo na jamaa alikimbia bada ya kuona jela. Wakianza kuelezea programming humu utafikiri wanataka kutengeneza rocket. Hovyo kabisa
InterestingNa wana bahati sana na strategy nzuri za kuvutia wateja.Wanapoharib halaf tunatokea sie wengine bas hata fursa ya kusikilizwa hupati.
Kuna project yangu flan i was introducing to institution flan hiv upcountry (nilifanya hiv purposely cz town dar hawa programmer uchwara wameshachua kabis haki ya hewa)
Nitawaelezea clients wawil kati ya wengi niliokutana nao.
1.Wa Kwanza.
Baada ya kufanya presentation na demo it took them over 3 months kufanya baxkground check na kujiridhisha kuhus what i was offering.
Wakaja nichek December 2021 kwamba "aisee now we want to deploy ur software kwenye kaz zetu,lets so the system"
Tulipoanza kaz yule boss akanambia akasema tulishakua na system kama hii yako ila haiku deliver kabisaaa..Na kila tulipokua tunawa consults technicians ili wafanye adjustments flan flan wakawa wanapiga chenga af wanaona kama tunawasumbua.Baada ya muda na kufanya juhud za hapa na pale tukagundua kuwa hawana uwezo huo tukaachana na hii kitu na tuli invest pesa nying sanaaaa...aka login kwenye system hiyo akanionyesha na nilishangazwa sana.
Siku comment anything negative nikamwambia tu kuwa " most of programmers do not own these solutions..They grab them from somewhere and yet they cant customize them good enough.
So iliwachukua muda kuni trust.But they doing so fine now rest assured.
2. Wa PILI.
nimechoka kuandika.😁
Uliwapataje? Ulijuaje kuwa ni wazuri? Ulifanya due diligence? Kulikuwa na umuhimu wa kuwapa advance ya 15m?Naandika kwa uchungu sana. Nilipewa instructions ya kutafuta kampuni ya IT hapa Tz kudisign app na web kwa ajili ya masuala fulani fulani. Nikawacheck jamaa fulani ni IT wazuri tu (kwa mjibu wao na ka kampuni kao uchwara) na mmoja kasoma US mwingine China. Nikawapa 15,000,000/= waanze kazi. Hii ni baadhi ya malipo ya awali.
Miezi mi4 hakuna feedback. Tukasema tusubiri labda jamaa wako kazini. Miezi 6 hola. Miezi 12 hola. Huku na huku nikapigiwa simu kazi tayari. Nikasema poa. So nilikuwa mbali. Nikamtafuta software engineer ni mkenya afanye testing. Aisee jamaa alicheka sana. Ikasema hao vijana wamegoogle templates wameedit na kupachika na ni bogus development.
Idea ilikuwa kuwa na software inayotrace magari ya kumpuni, yako wapi, yametembea kilo ngapi and other staffs-Real time data.
Wakaishia kutengeneza utopolo tu. I guess wako humu pia. Ilibidi tulipe upya tukapeleka project Rwanda. Vijana wamedesign from scratch na within 4 month wamekabidhi kazi.
Sasa naelewa kwa nini watu hawataki kuwekeza kwenye IT Bongo. Ujinga mtupu. Hawa vijana wetu wafuge tu kuku kwa kweli. Hivi nyie ndo mtaweza hata kushindana na Bolt+uber?.
Anyway sijui CS/IT mnafundishwa nn huko vyuoni. Natamani kujua mitaala yenu.
100% disappointed.
iyo app yenu ipo playstore au ni kwaajili ya matumizi ya ndaniUkweli ni kwamba umejikuta na experience mbaya. Ila ITs wazuri wapo wengi tu. Jambo wengi wanakosea ni due diligence katika kuchagua watu wa kufanya nao kazi. Angalia kwa umakini kazi za nyuma za hiyo kampuni na level of experience kabla haujatoa hela.
Mimi pia nilishakutana na hali kama yako. Kuna app ilibidi tufanye nikatoa deal kwa mwana kishkaji kwa 2 mil. Kwa kweli outcome ilikuwa mbaya. Ila nikaamua tufanye tena kwa kuhakikisha due diligence imekaa vizuri kwa tunayempa kazi. Ilitucost 6 mil ila kazi ilitoka top quality. This was 3 years ago. Majamaa hadi leo hii bado nawapa kazi zangu za IT na wanaenjoy pesa yetu kwenye biashara.
Ilikuwa playstore but kulikuwa na backend platform pia kwa ajili ya matumizi ya ndani. Tumeitoa kwa sababu ya mahitaji ya wateja kubadilika ila walioitengeneza wana app nyingine walizotengeneza katika website yao ya Hype Interactiveiyo app yenu ipo playstore au ni kwaajili ya matumizi ya ndani
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Yaani ndo nimeamini. Kuna kampuni ilishaingia chaka mil 70 hapa hapa bongo na jamaa alikimbia bada ya kuona jela. Wakianza kuelezea programming humu utafikiri wanataka kutengeneza rocket. Hovyo kabisa
Na wewe kwa akili zako unaweza kuja hapa ukatoa reference ya mifumo ya serikali kuonesha ubora wenu ??Labda mtoa mada kabla ya kututukana ...aulize kama anawajua ega....mifumo ya selikali 60 percentage no yao
Mkuu umesema sahihi kabisa, safi sana bongo uvivu ni tatizo kubwa .Asili ya mbongo ni msanii msanii anayependa short cut hataki kujifunza wala kuumiza kichwa na sasa GOOGLE ndio imekuwa kichaka cha wavivu
1. Tuna degree za google ni copy and paste library vitabu hawasomi
2.Tuna P.H.D za google unakuta mtu kaandika likitabu kuubwa hata ndani yake hajui kuna nini, akisha search ile key word basi ana copy nzima na kubandika , sasa ukutane na cover alivyoliremba na tittle ilivyondefu utadhani kafanya tafiti kweli
4.Hili suala la IT ndio ugonjwa wa Taifa kabisa, unakuta kuna vijana wengi wana ma vyeti ya kutisha lakini ukiwa na kampuni na unahitaji mfumo lazima uende india bila hivyo mbongo atakusimulia hadithi za abunwasi za programing ukimpa kazi ndio anarudi kwa BABA WA WAVIVU MZEE MWENYEWE GOOGLE
Mkuu ni hivo kabisa yaani tatizo la wabongo wengi Uswahili mwingi vitendo zero.Yaani ndo nimeamini. Kuna kampuni ilishaingia chaka mil 70 hapa hapa bongo na jamaa alikimbia bada ya kuona jela. Wakianza kuelezea programming humu utafikiri wanataka kutengeneza rocket. Hovyo kabisa
Nimefurahi kusikia waliokutapeli,mmoja kasoma marekani na mwingine chinaNaandika kwa uchungu sana. Nilipewa instructions ya kutafuta kampuni ya IT hapa Tz kudisign app na web kwa ajili ya masuala fulani fulani. Nikawacheck jamaa fulani ni IT wazuri tu (kwa mjibu wao na ka kampuni kao uchwara) na mmoja kasoma US mwingine China. Nikawapa 15,000,000/= waanze kazi. Hii ni baadhi ya malipo ya awali.
Miezi mi4 hakuna feedback. Tukasema tusubiri labda jamaa wako kazini. Miezi 6 hola. Miezi 12 hola. Huku na huku nikapigiwa simu kazi tayari. Nikasema poa. So nilikuwa mbali. Nikamtafuta software engineer ni mkenya afanye testing. Aisee jamaa alicheka sana. Ikasema hao vijana wamegoogle templates wameedit na kupachika na ni bogus development.
Idea ilikuwa kuwa na software inayotrace magari ya kumpuni, yako wapi, yametembea kilo ngapi and other staffs-Real time data.
Wakaishia kutengeneza utopolo tu. I guess wako humu pia. Ilibidi tulipe upya tukapeleka project Rwanda. Vijana wamedesign from scratch na within 4 month wamekabidhi kazi.
Sasa naelewa kwa nini watu hawataki kuwekeza kwenye IT Bongo. Ujinga mtupu. Hawa vijana wetu wafuge tu kuku kwa kweli. Hivi nyie ndo mtaweza hata kushindana na Bolt+uber?.
Anyway sijui CS/IT mnafundishwa nn huko vyuoni. Natamani kujua mitaala yenu.
100% disappointed.
IT wa Tz wanajua kupiga window na kuweka nyimbo kwa flash hamna kitu wanajua, yani wanahesabika walio nguli.
Ni vyema hiyo kampuni akaitaja ili tuiepuke na kama anawasingizia wamshtaki.Ni hilo kampuni moja ndio limeleta hukumu ya taifa lote au kuna taarifa zingine hujaziandika?
Kwa hiyo kampuni moja inawakilisha IT wote nchi nzima?Naandika kwa uchungu sana. Nilipewa instructions ya kutafuta kampuni ya IT hapa Tz kudisign app na web kwa ajili ya masuala fulani fulani. Nikawacheck jamaa fulani ni IT wazuri tu (kwa mjibu wao na ka kampuni kao uchwara) na mmoja kasoma US mwingine China. Nikawapa 15,000,000/= waanze kazi. Hii ni baadhi ya malipo ya awali.