Wataalamu wa IT wa Tanzania ni 'zero' kabisa

Naandika kwa uchungu sana. Nilipewa instructions ya kutafuta kampuni ya IT hapa Tz kudisign app na web kwa ajili ya masuala fulani fulani. Nikawacheck jamaa fulani ni IT wazuri tu (kwa mjibu wao na ka kampuni kao uchwara) na mmoja kasoma US mwingine China. Nikawapa 15,000,000/= waanze kazi. Hii ni baadhi ya malipo ya awali.

Miezi mi4 hakuna feedback. Tukasema tusubiri labda jamaa wako kazini. Miezi 6 hola. Miezi 12 hola. Huku na huku nikapigiwa simu kazi tayari. Nikasema poa. So nilikuwa mbali. Nikamtafuta software engineer ni mkenya afanye testing. Aisee jamaa alicheka sana. Ikasema hao vijana wamegoogle templates wameedit na kupachika na ni bogus development.

Idea ilikuwa kuwa na software inayotrace magari ya kumpuni, yako wapi, yametembea kilo ngapi and other staffs-Real time data.

Wakaishia kutengeneza utopolo tu. I guess wako humu pia. Ilibidi tulipe upya tukapeleka project Rwanda. Vijana wamedesign from scratch na within 4 month wamekabidhi kazi.

Sasa naelewa kwa nini watu hawataki kuwekeza kwenye IT Bongo. Ujinga mtupu. Hawa vijana wetu wafuge tu kuku kwa kweli. Hivi nyie ndo mtaweza hata kushindana na Bolt+uber?.

Anyway sijui CS/IT mnafundishwa nn huko vyuoni. Natamani kujua mitaala yenu.

100% disappointed.

unazungumzia IT au unazungumzia programmer,develeoper ,software enginer,hacker.

IT hata wewe unaweza kusema.

mwanangu sisomeshi upuuzi unaitwa IT.
IT ni kudokoa dokoa kila jambo.

watu wanashindwa kujua maana ya IT.

kama ungekuwa unaishi nje ungujua hiyo unayo taja IT ni sawa na Phd ya msukuma kila mtu anayo.

ajira au professional zinazo tangazwa IT imeweka kama ni ka part tu.

Mtu kasomea programming enginering,mathematical artificial intelligence,C# certified,java,Ethical hacking,security programming na Ethical hacking certified.
alafu unamuita IT.

embu nenda hapo mtandao wa codeproject.ukakutane wasifu wa watu kama utakuta mtu anakwambia wasifu ni IT [emoji23].

IT hata wewe unaweza kuwa nayo
 
Ulitumia vigezo gan kuichagua hiyo kampuni?
Hata hiyo kampuni illiyyotoa kazi namashaka nayo kama inajitambua..
Unawalaumu IT/CS wa bongo wakati huohuo unadai wamesoma nje...
Hao jamaa sina hakika kama wamesoma chuo huwezi kufanya developing
mpaka mwisho bila kumhusisha user na bila kuitest kwa user kabla ya kumpatia.
 
Kwanza hapo shida kubwa ni poor communication kati ya client na developer , pili inaonesha iyo system hakufuata system development stage kwasababu kwenye design phane kuna kitu kinaitwa system acquisition strategies ambazo zipo tatu nazo ni customer development ambayo ina building code from scratch , package software na outsourcing kwaiyo right mngekuwa mna wasiliano ivyo vitu ilitakiwa vifanyiwe selection kabla ya system coding haijafanyika.
Tulia Mkuu. Mimi sio mjinga kiasi hicho nisijue hilo. Kuna mengi yaliendelea huko background siwezi yasema yote hapa. The message is very clear, IT sector bongo ni hovyo kabisa.
 
Naandika kwa uchungu sana. Nilipewa instructions ya kutafuta kampuni ya IT hapa Tz kudisign app na web kwa ajili ya masuala fulani fulani. Nikawacheck jamaa fulani ni IT wazuri tu (kwa mjibu wao na ka kampuni kao uchwara) na mmoja kasoma US mwingine China. Nikawapa 15,000,000/= waanze kazi. Hii ni baadhi ya malipo ya awali.

Miezi mi4 hakuna feedback. Tukasema tusubiri labda jamaa wako kazini. Miezi 6 hola. Miezi 12 hola. Huku na huku nikapigiwa simu kazi tayari. Nikasema poa. So nilikuwa mbali. Nikamtafuta software engineer ni mkenya afanye testing. Aisee jamaa alicheka sana. Ikasema hao vijana wamegoogle templates wameedit na kupachika na ni bogus development.

Idea ilikuwa kuwa na software inayotrace magari ya kumpuni, yako wapi, yametembea kilo ngapi and other staffs-Real time data.

Wakaishia kutengeneza utopolo tu. I guess wako humu pia. Ilibidi tulipe upya tukapeleka project Rwanda. Vijana wamedesign from scratch na within 4 month wamekabidhi kazi.

Sasa naelewa kwa nini watu hawataki kuwekeza kwenye IT Bongo. Ujinga mtupu. Hawa vijana wetu wafuge tu kuku kwa kweli. Hivi nyie ndo mtaweza hata kushindana na Bolt+uber?.

Anyway sijui CS/IT mnafundishwa nn huko vyuoni. Natamani kujua mitaala yenu.

100% disappointed.
Kwa kazi uliyotoa kutanguliza mil.15 hata mimi ningechukua template kukusaidia..
web System za chuo tu zinatengenezwa kwa mil.100 na zaidi tena zakawaida tu.
wewe web system an app unatanguliza mil.15 kweli?
Huko uliko peleka ulitengenezewa hela ngap?
In everything there is a price to pay.
Hiyo ndio gharama ya kupenda mteremko.
 
Halafu wanakuja humu wanajiita wasomi hawezi kuuza mitumba. Muda mwingine wanauliza kwa nini kampuni za nje wanaajiri wafanyakazi toka Kenya. Ndio mambo hayo
 
At least mkuu umeapreciate hili suala. Nimeandika wote kwa maana ya lugha ya picha najua wako wazuri, ni wachache kuwapata ndo shughuli. Nimeshangaa sana vijana wenye mastas wanashindwa kitu kidogo sana wakati wenzao wana vidigrii tu wameiweka sawa mpaka boss anatabasamu. Nitaishare hapa soon atleast website mjue wenzenu tu hapo kwa dikteta wanavyojua mambo.
Mkuu duniani kote , tena hasa kwa karn3 hii software/system Developer yyte hapimwi kwa level ya degree or masters mkuu!!

Wanaangalia portfolio, na projects zako, idadi ya programming languages unzazifahamu n dome new technology...

Aslimia kubwa ya devs ni self taught!! Duniani kote ! Japo wamesoma uni and college
 
unazungumzia IT au unazungumzia programmer,develeoper ,software enginer,hacker.

IT hata wewe unaweza kusema.

mwanangu sisomeshi upuuzi unaitwa IT.
IT ni kudokoa dokoa kila jambo.

watu wanashindwa kujua maana ya IT.

kama ungekuwa unaishi nje ungujua hiyo unayo taja IT ni sawa na Phd ya msukuma kila mtu anayo.

ajira au professional zinazo tangazwa IT imeweka kama ni ka part tu.

Mtu kasomea programming enginering,mathematical artificial intelligence,C# certified,java,Ethical hacking,security programming na Ethical hacking certified.
alafu unamuita IT.

embu nenda hapo mtandao wa codeproject.ukakutane wasifu wa watu kama utakuta mtu anakwambia wasifu ni IT [emoji23].

IT hata wewe unaweza kuwa nayo
Sawa lakini point umeshaielewa nazungumzia nini. Whatever programmer., software developing/ engineering,hacking, AI, deep learning, machine, hii sector tukubali sisi wabovu tu ndugu yangu. Tuishie kuinstall windows tu kwenye PC.Aliyesema mimi naishi nje nani>? nje gani unazumgumzia wewe. ? Field yangu it has nothing to do with technology and sort off. Najua kutype na kuprint tu document. Ila huwezi jichanganya kwenye field niliyopo ukababi salama. Sasa nyie majina marefu hafu kichwani empty kabisa. Unajiita software developer sijui system analyst huwezi hata kutengeneza a simple software.
 
Naandika kwa uchungu sana. Nilipewa instructions ya kutafuta kampuni ya IT hapa Tz kudisign app na web kwa ajili ya masuala fulani fulani. Nikawacheck jamaa fulani ni IT wazuri tu (kwa mjibu wao na ka kampuni kao uchwara) na mmoja kasoma US mwingine China. Nikawapa 15,000,000/= waanze kazi. Hii ni baadhi ya malipo ya awali.

Miezi mi4 hakuna feedback. Tukasema tusubiri labda jamaa wako kazini. Miezi 6 hola. Miezi 12 hola. Huku na huku nikapigiwa simu kazi tayari. Nikasema poa. So nilikuwa mbali. Nikamtafuta software engineer ni mkenya afanye testing. Aisee jamaa alicheka sana. Ikasema hao vijana wamegoogle templates wameedit na kupachika na ni bogus development.

Idea ilikuwa kuwa na software inayotrace magari ya kumpuni, yako wapi, yametembea kilo ngapi and other staffs-Real time data.

Wakaishia kutengeneza utopolo tu. I guess wako humu pia. Ilibidi tulipe upya tukapeleka project Rwanda. Vijana wamedesign from scratch na within 4 month wamekabidhi kazi.

Sasa naelewa kwa nini watu hawataki kuwekeza kwenye IT Bongo. Ujinga mtupu. Hawa vijana wetu wafuge tu kuku kwa kweli. Hivi nyie ndo mtaweza hata kushindana na Bolt+uber?.

Anyway sijui CS/IT mnafundishwa nn huko vyuoni. Natamani kujua mitaala yenu.

100% disappointed.
Hiyo kazi ulaya bila bil1 kwa kampuni hutengenezewi utaishia kuwalam ma IT wa bongo.
 
Umepeleka kwa It wote Tanzania? Hiyo nguvu ya mass generalization unaitolea wapi?

Ni lugha ya picha mkuu. Mana yake majority of them ni wasanii. Kama 85% ni wabovu statistically hio ni closer to 100%.
Sasa, madaktari wote ni zero, mafundi gereji wote ni zero, kwa kifupi tanzania yote ni zero. Hata field uliyopo ni zero. Si unajua lugha ya picha mkuu.
Wewe kubali umekosea sio kujaribu kujustify kutukana profession nzima ya nchi kisa ya ujinga wako na huyo uliyemuajiri.
 
Mkuu duniani kote , tena hasa kwa karn3 hii software/system Developer yyte hapimwi kwa level ya degree or masters mkuu!!

Aslimia kubwa ya devs ni self taught!! Duniani kote !
Nakubaliana na wewe lakini why mtu unamastas ya US ukashindwa kitu kidogo mtu aliyesoma UoK akakushinda?
 
Ni kusomea kitu usicjokuwa na passion nacho, maana programming languages kuzijuwa ni juhudi binafsi ,

kuna kufanya project kufaulu mitihani, na kufanya projects kwa passion ya kuvumbuwa mambo , kuleta solution katika jamii
 
Kuna makubaliano hutaki kuweka wazi...ilikuaje ukawaamini ukawapa 15m?..
Kampuni ya kueleweka ingemwita external auditor afanye auditing kabla ya development,
apewe na gharama zake hicho sio kitu cha kutanguliza 15mil kwa kamppuni yeyote.
atleast 100mil angesema ametanguliza ningemuelewa kidogo kibongobongo.
 
Shida sio bil 1 shida ni competence mkuu. Hao IT wa bongo ndo iwape hata mil 100 kweli? Mil 100 ya kugoogle
System nyingi za vyuo zimetengenezwa na wabongo na wamepewa zaidi ya 100mil,
Hata hii mifumo ya malipo hospitalini ni wabongo pia uliza gharama zake tena hao ni fresh from university.
Kuna mwenzako ni CEO wa institution flani ya serikali alipeleka kazi ICT department alipopewa gharama akaambiwa mil70,
akakimbilia nje kumwita external auditor bei aliyotajiwa 300mil ikabidi airudishe kazi kwenye department.
 
Shida sio bil 1 shida ni competence mkuu. Hao IT wa bongo ndo iwape hata mil 100 kweli? Mil 100 ya kugoogle
Inaonekena hujui chochote kuhusu IT.
kudesign web na app unajua unamaanisha nini?
web nayo ni app, ni web system application na app nahisi ulikuwa unaongelea mobile application
au desktop application.
hivyo vyote kwa kampuni ya kueleweka hata mil. 100 haitoshi,
au mtu mwenye carrier yake.
 
Naandika kwa uchungu sana. Nilipewa instructions ya kutafuta kampuni ya IT hapa Tz kudisign app na web kwa ajili ya masuala fulani fulani. Nikawacheck jamaa fulani ni IT wazuri tu (kwa mjibu wao na ka kampuni kao uchwara) na mmoja kasoma US mwingine China. Nikawapa 15,000,000/= waanze kazi. Hii ni baadhi ya malipo ya awali.

Miezi mi4 hakuna feedback. Tukasema tusubiri labda jamaa wako kazini. Miezi 6 hola. Miezi 12 hola. Huku na huku nikapigiwa simu kazi tayari. Nikasema poa. So nilikuwa mbali. Nikamtafuta software engineer ni mkenya afanye testing. Aisee jamaa alicheka sana. Ikasema hao vijana wamegoogle templates wameedit na kupachika na ni bogus development.

Idea ilikuwa kuwa na software inayotrace magari ya kumpuni, yako wapi, yametembea kilo ngapi and other staffs-Real time data.

Wakaishia kutengeneza utopolo tu. I guess wako humu pia. Ilibidi tulipe upya tukapeleka project Rwanda. Vijana wamedesign from scratch na within 4 month wamekabidhi kazi.

Sasa naelewa kwa nini watu hawataki kuwekeza kwenye IT Bongo. Ujinga mtupu. Hawa vijana wetu wafuge tu kuku kwa kweli. Hivi nyie ndo mtaweza hata kushindana na Bolt+uber?.

Anyway sijui CS/IT mnafundishwa nn huko vyuoni. Natamani kujua mitaala yenu.

100% disappointed.
Kama kuna kampuni ilikutengenezea kwa kazi chini ya mil.100 tutajie inaitwaje?
Tupeleke kazi huko.
 
Back
Top Bottom