Wataalam wa bajeti za ndoa njooni hapa

Wakuu,

Baada ya mbinde ya miezi kama mitatu hivi ya kubishana na upande wa ukweni kuhusu kipengele cha mahari hadi nikaweka mgomo na kuzila kuwa nimeghairi kuoa kwenyewe,
Hatimaye jana wamekubali kushuka kutoka Milioni 2.5 mpaka 145,000/= ambayo angalau inakaribia laki 1 ambayo nd'o niliipanga kwa upande wangu.

Na nimeshawapiga biti kuwa sitaki wanihusishe kwenye gharama za upuuzi wa sendiofu wala pumba gani.

-----------
Sasa wakuu,
Hapa nataka wataalam wa bajeti wanichanganulie hii elfu 95 yangu niliyobakiwa nayo
ili niweze kukamilisha shughuli ya ndoa.

Angalizo:
Usafiri nishapata Starlet ya mchizi wangu ya kutupakia maharusi,
kaniambia,

"Do not have worry #SENETA_WA_MTWIZ,
I'll offer you for free".

Na kuna jirani yetu hapa kitaa anamiliki Suzuki_Kirikuu na ina turubai- hivyo ndugu watabebwa humo.

Watu wengine watajitegemea usafiri,
Hata wakitembea kwa miguu sio mbaya,
itawasaidia kufanya mazoezi.

Wakuu,
Pigeni bajeti ya gharama zingine tu,

Ila kanzu na barakashia ninavyo,
Na gauni la Bi. Harusi kuna dada'angu atatoa msaada katika hilo.

Na nimewaambia vitu vingine vya kijingakijinga sijui Koti la babu, Shuka ya bibi, Chupi ya shangazi n.k
Sivitaki kabisa!
Kwani siku zote walikuwa wanavaa nini?!?!

HAIWEZEKANI SHUGHULI YA SIKU 1
INIGHARIMU HELA YA KUJUTIA KIPINDI KIREFU!

SHENZI KABISA!!!
hutaki kuoa wewe
 
Mahari huwa haimalizwagi kaka,mie nilianziwa 16mill nikalia nao mpaka nikala pin kwenye lak8 nikatoa nusu 400,000/= nyengine nikaahidi kulipa hadi leo ndoa imefungwa mwaka wa nne huu cent tano sijapeleka naona wenyewe wamekaa kimya sasa sijui wameelewa kiutu uzima sijui.ila vijana wanaogopa kuoa maana wakifikiria suala la mahari basi wanakata tamaa ni vizuri kama wazazi wakaliangalia hili kwa kupanga kiasi cha mahari kitakachokuwa nafuu kwa vijana.

EEEEEEH!
KUBAGEINI NI MUHIMU!
 
mi mahari muhusika mwenyew aliniambia toa buku ili tukigombana na kuachana iwe rahisi kurudisha buku yako
 
Kwa Upande wa wenzetu waislamu, Hiyo bajeti inaendana kabisa na gharama za harusi zao,

sisi huku mahali tu si chinia ya 1M + Usafiri, kulala, timu itakayokusindikiza n.k hapo lazima uwe na not less than 2M.
 
NA UPUUZI HUU WA GHARAMA ZISIZO LAZIMA ND'O SIUTAKI!

NA NIMESEMA OLE WAKE NIMWONE MTU ANAJIFANYA KUITISHA SIJUI KIKAO CHA KAMATI SIJUI PUMBA GANI!!!

OLE WAKE!
NIMESEMA.
 
Wakuu,

Baada ya mbinde ya miezi kama mitatu hivi ya kubishana na upande wa ukweni kuhusu kipengele cha mahari hadi nikaweka mgomo na kuzila kuwa nimeghairi kuoa kwenyewe,
Hatimaye jana wamekubali kushuka kutoka Milioni 2.5 mpaka 145,000/= ambayo angalau inakaribia laki 1 ambayo nd'o niliipanga kwa upande wangu.

Na nimeshawapiga biti kuwa sitaki wanihusishe kwenye gharama za upuuzi wa sendiofu wala pumba gani.

-----------
Sasa wakuu,
Hapa nataka wataalam wa bajeti wanichanganulie hii elfu 95 yangu niliyobakiwa nayo
ili niweze kukamilisha shughuli ya ndoa.

Angalizo:
Usafiri nishapata Starlet ya mchizi wangu ya kutupakia maharusi,
kaniambia,

"Do not have worry #SENETA_WA_MTWIZ,
I'll offer you for free".

Na kuna jirani yetu hapa kitaa anamiliki Suzuki_Kirikuu na ina turubai- hivyo ndugu watabebwa humo.

Watu wengine watajitegemea usafiri,
Hata wakitembea kwa miguu sio mbaya,
itawasaidia kufanya mazoezi.

Wakuu,
Pigeni bajeti ya gharama zingine tu,

Ila kanzu na barakashia ninavyo,
Na gauni la Bi. Harusi kuna dada'angu atatoa msaada katika hilo.

Na nimewaambia vitu vingine vya kijingakijinga sijui Koti la babu, Shuka ya bibi, Chupi ya shangazi n.k
Sivitaki kabisa!
Kwani siku zote walikuwa wanavaa nini?!?!

HAIWEZEKANI SHUGHULI YA SIKU 1
INIGHARIMU HELA YA KUJUTIA KIPINDI KIREFU!

SHENZI KABISA!!!
Umenifurahisha sana maana unaonyesha unamikwara
 
Mahari huwa haimalizwagi kaka,mie nilianziwa 16mill nikalia nao mpaka nikala pin kwenye lak8 nikatoa nusu 400,000/= nyengine nikaahidi kulipa hadi leo ndoa imefungwa mwaka wa nne huu cent tano sijapeleka naona wenyewe wamekaa kimya sasa sijui wameelewa kiutu uzima sijui.ila vijana wanaogopa kuoa maana wakifikiria suala la mahari basi wanakata tamaa ni vizuri kama wazazi wakaliangalia hili kwa kupanga kiasi cha mahari kitakachokuwa nafuu kwa vijana.
Mill 16 si mtaji huo
 
hii si ukweli kwa kuanzia huwezi kutoka 2m TZS hadi 145,000 TZS !!!!! Hiyo ni mahari au bureee
 
Back
Top Bottom