Wataalam wa bajeti za ndoa njooni hapa

Kwa waislamu mahari ni kiasi kidogo sana nasikia. Sisi wakristo ndio wazee wanatafutia mtaji kabisa hapo hapo
nani kakuambia??? mm binafsi nimepigwa 2m na hainaga kupatana kwa kwel inategemea na famly na makubaliano yenu na mwanamke mwenyew but ukwel sio rahis
 
Kwa upande wa mahar wakristo ndo wanafanya mambo yawe magumu na ndo maan ukiangalia utakuta wasichan wengi wa kikiristo wanaolewa umri ushaenda 28 huko kuendelea kwa sababu mtu akifikiria hiy mahar aloambiwa ni kubwa hana uwezo nayo itabid aidundulize huo mda wa kudunduliza hiyo mahar ww mwanamke muda ndo unazid kwend kumbuka had huy mchumba akiipat ushagota 30 hapo ukweli mchungu
 
Back
Top Bottom