Wasukuma wenzangu hii wanaifahamu

Wasukuma wenzangu hii wanaifahamu

Unapokuwa mwenyewe sawa, vp ukiwa na wa ubani wako napo utalala na nguo

Hahahaaaaa

Hehehehehee unaongelea Dadii.... Kwanza tukiwa wote Muda mwingi inakuwa Tuko vacation.

Nikisema ukweli hapa jinsi tunavolala kipindi cha vacation atalasirika.

Dadiii Kasie laaab yuuuu and will never do what you'll never do.
 
Hahahahahahaaa

Kiasali teeeeenah! Nakujua wewe mnyamwezi[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
The Applicant must be fluent in English, Kiswahili and Kisukuma...Wazee wa fursa
Onene nalehaya kobiza mnamhala wo kweta mamihayo chiza gete, kongono kokaya yise tule bazunya gete.

No o guku wise nlangi wotulanga chiza gete, utizo eta mamihayo nyachilochilo henaha.

Kongono pye tole bazunya. Hagayaa!

Seba akojiwe.
 
N

Nahene Lolo
 
Maparage/michembe
Vinachukukiwa viazi vitamu vinapikwa ,halaf vinakatwa katwa na kuanikwa juani ikikauka ndio inakuwa hapo juu

Michembe yenyewe ni viazi vibichi unavimenya na kuvikatakata na kuanika juani vinakuwa vyeupe tu
 
kuna kipindi nilikuwa Chunya niliyala. yapo kama banzoka. Ni bonge la ubunifu. Nasikia unaweza yachemcha tena na yakarudia ukiazi.
 
Ngosha
IMG-20180802-WA0001.jpg
 
Back
Top Bottom