Wasukuma wenzangu hii wanaifahamu

Wasukuma wenzangu hii wanaifahamu

Aha michembe na maribhoto, osanga gazugagwa na masangu ga mandege mabese ne nduru. Olya mpaka odosa
 
carbamazepine wivu tu unanitesa, kumbe huyo swahiba wako ni mwanamke tena wifi yako. Hizi ID noma sana.

Anatuandalia matobolwa, asali, karanga na kuku wa kutosha wa kienyeji.

Ila sio tufike huko ulete mambo ya diet, kule mnatengewa kuku mzima kuanzia kichwa hadi makanyagio, hawatupi hata utumbo. Ugali wa mtama wa motoo! Ukate kucha hakuna vijiko mpendwa. Usiniangushe tafadhali.
Hata mimi nilishangaa kwanini ume panic ghafla lol!
Huyo ni wifi na rafiki yangu.

Sijawahi kuwa kwa diet mimi huwa nakuwa na appetite ya watu nane na sijawahi tumia vijiko wala uma mimi
 
Obise twalangwa ha kaya yise, olo mno weta mamihayo nyachilochilo, obise tweeta mamihayo nyalali.

Kongono, kokaya yise twabizaga bazunya pye getegete.

U guku wise nlangi. Eteho mihayo sagala henaha.

Seba akojiwe!
Namhala. Wanitogisha. Angu Sebha Akujiwe aliyo ugahayaga giki Usebha Adiho? Ulinamasala gagukumya gete ubebe namhala walikujo litale [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom