mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 22,577
- 45,176
Nipoooooo Kiasali[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Rafiki yake na kiasali upoo!!??
Tumedundika sana pale oxygen na vijana classic band (wazee wa wosia wa biiiiiibi! wosia wa bibi)!
Nipoooooo Kiasali[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Rafiki yake na kiasali upoo!!??
Unawaza nini?Nikisikia hili jina nawaza kitu kingine kabiisaa... Sijui kwa nini...
Lazima ufeel vingine,ni matamu sana yakipikwa na maziwa na sukari...ila wataalam wanashauri "ulaji wa matoobhola mara kwa mara si mzuri kwani unaweza kupelekea ugonjwa wa kansa"Nikisikia hili jina nawaza kitu kingine kabiisaa... Sijui kwa nini...
Nimeuliza kinaliwa?Atiiii
Michembe ni viazi vibichi vinakatwa in slesi na kukaushwa.Michemba! 😀😀😀😀. Mambo ya Kishapu hayo
The Applicant must be fluent in English, Kiswahili and Kisukuma...Wazee wa fursaGashi wale otamanile mamihayo genage?
Pye banamhala, pye basumba batale, nolo bafumo bamanile mamihayo genago.
Hale masangu?
Nipoooooo Kiasali[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Tumedundika sana pale oxygen na vijana classic band (wazee wa wosia wa biiiiiibi! wosia wa bibi)!
Unawaza nini?
hahaaa
Lazima ufeel vingine,ni matamu sana yakipikwa na maziwa na sukari...ila wataalam wanashauri "ulaji wa matoobhola mara kwa mara si mzuri kwani unaweza kupelekea ugonjwa wa kansa"
Kuna mtu kaniletea zawadi majuzi kutoka Tabora, ukiyachemsha huhitaji kuweka sukari kwenye chai au uji...[emoji39] [emoji39] [emoji39] View attachment 831056
Yakipikwa yanakuwa na unato unato flani hivi mutamuje...Matoo - boo - lwaah
Yakipikwa yanakuwa na unato unato flani hivi mutamuje...
Bibi alisema ukienda kwenye ndoa laaala hivi usilaleee ...........[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hahahahahahhhhhh umenikumbusha..... Wosia wa bibi....
Bibi alisema ukienda kwenye ndoa laaala hivi usilaleee ...........[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Unaanzaje kulala na nguo [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hahahahahhaaaa bila nguo....
Unaanzaje kulala na nguo [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Unapokuwa mwenyewe sawa, vp ukiwa na wa ubani wako napo utalala na nguoBaridi kali sana huku. Pajama zinanihusu.
Hayo ya kulala wichi yalinishinda Kasie mie.