Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 7,554
- 9,531
Yaya okwenoko nakizaga kogola mashikolo ga mkaya nashoka ng'wanza kwiholela nyasogaMasoga duhu. Tuliho manhwani tukuchobhaga bhugali
Yaya okwenoko nakizaga kogola mashikolo ga mkaya nashoka ng'wanza kwiholela nyasogaMasoga duhu. Tuliho manhwani tukuchobhaga bhugali
Kumbe na wewe ni ngosha??Tulishindikija wozumale buraza.
Bwanaweee kuandika kilugha kipaji mkubwa. Lengo ilikua kisukuma
Kumbe na wewe ni ngosha??
Awamu hii kila mtu ngosha rafiki.
Mzima?
Mie mzima kabisa,sijui wewe
Ndo nimeiona hapa,itabidi niende usukumani nikaonje hii kituAlhamdulillah, hiyo bidhaa unaifaham weye?
Inatokana na viazi vitamu, vinapikwa, vinakatwakatwa kwa ustadi kisha vinaanikwa juani. Vipande vikikauka vinahifadhiwa tayari kwa matumizi siku za baadae. Kwa ufupi ni namna ya kuhifadhi viasi vitamu.
Ndo nimeiona hapa,itabidi niende usukumani nikaonje hii kitu
Si ntakupeleka, au umeghairi?
Hahaa nimekumbuka enzi zile tunayala na karanga pembeni kikombe cha mtindi
Nasubiri unifuate
Hahaa matobolwa migumu hiyo ikiwa haijapikwa unatafuna tu kama jojo..Kuna ile unaiba vipande viwili vitatu vya kutafuna tu ukiwa kwenye michezo...lakini ole wako ukamatwe. Kipigo chake utahadithia.
Tafasiri ya googleOnene nalehaya kobiza mnamhala wo kweta mamihayo chiza gete, kongono kokaya yise tule bazunya gete.
No o guku wise nlangi wotulanga chiza gete, utizo eta mamihayo nyachilochilo henaha.
Kongono pye tole bazunya. Hagayaa!
Seba akojiwe.
Nikufuate vipi wakati inabidi tukajitambulishe? Au kwa vile sijakuanzishia uzi hapa ndio uamini meli imetia nanga?
Masoga duhu. Tuliho manhwani tukuchobhaga bhugali
Si ndo nasubiri unifuate ukanitambulishe?
Hahaa!ukiweka uzi nachukua likizo ya lazima kama ile ya jf waliopewa na tcraKwa muktadha huo niweke uzi kuweka mambo hadharani? Isijeukaingia mitini baadae JF itaenda likizo....
Ndio ujiandae tukifika huko hiyo matobolwa ndio inapikwa kwa kufungua kinywa.
Hahaa!ukiweka uzi nachukua likizo ya lazima kama ile ya jf waliopewa na tcra