Wasukuma wenzangu hii wanaifahamu

Wasukuma wenzangu hii wanaifahamu

Ngoja naja na id mpya sasa hivi kaa mkao wa kushangaa[emoji23][emoji23]

carbamazepine wivu tu unanitesa, kumbe huyo swahiba wako ni mwanamke tena wifi yako. Hizi ID noma sana.

Anatuandalia matobolwa, asali, karanga na kuku wa kutosha wa kienyeji.

Ila sio tufike huko ulete mambo ya diet, kule mnatengewa kuku mzima kuanzia kichwa hadi makanyagio, hawatupi hata utumbo. Ugali wa mtama wa motoo! Ukate kucha hakuna vijiko mpendwa. Usiniangushe tafadhali.
 
Back
Top Bottom