Wamasai na Wasukuma hakuna binti wa bure!!

Wamasai na Wasukuma hakuna binti wa bure!!

Acha kuleta taharuki kama ulipigwa ni wewe mbona masai dada alikua anakuja mjengoni mwenyewe na nauli yake
 
waamasai ni ngombe kumi ,blanket 20,pombe ya wazee ya kubarik binti yao akiondoka.plus million moja sasa must. wasukuma nao mahar ni mili 2.mm nimepitia haya maana nina wake wawil mmoja mmaasai na mwingin msukuma. na wote nimewalipia mahar na wasukuma wana heshima sana
Huyo msukuma uliyemuoa kwa hela ni wa wapi ?
 
Back
Top Bottom