Wasukuma ni jamii ambayo bado sana kustaarabika

Juzi tulikua tunasafiri na bus la Allys star lile VIP lenye choo ndani kutoka Dar kuja Mwanza.

Safari ilianzia pale stand ya Magufuli,dakika chache baada ya safari kuanza yule mhudumu wa kike akatutangazia safari yetu itakua na vituo kadhaa vya kuchimba dawa ila akasema kama mtu atapatwa na changamoto ya tumbo kuvurugika asisite kusema ili dereva asimamishe gari na mtu husika ajisaidie.

Mhudumu akazidi kusisitiza kuwa ile choo ndani ya bus ni kwa ajili ya matumizi ya haja ndogo tu.

Cha kushangaza kabla hata hatujafika Morogoro,kuna binti mmoja wa kisukuma akaingia chooni,kumbe alivyoingia chooni yeye alikata gogo,mara harufu ikaenea bus zima,mhudumu alivyomfuata kumuuliza kulikoni akasema tumbo limemkata ghafla,wakazozana hapo weeee kisha mhudumu akaamua tu kumwaga maji yenye sabuni walau kukata ile harufu.kila mtu pale kwenye bus akawa anamshambulia kwa maneno yule binti wa kisukuma kwa alichokifanya.

Hatujafika hata Dodoma mshikaji mwingine nae kaingia chooni kakata gogo harufu ikaenea tena ndani ya bus,baada ya kuzozana sana ikabidi dereva aingie hotelini gari lisafishwe kwanza.

Nimegundua wasukuma ni jamii ambayo suala la ustaarabu bado sana kwa upande wao.
Kwa hiyo huyo binti anawakilisha wasukuma wate?
 
Hakuna mtu mjinga jf nzima kama
kyagata .
Kwani wasukuma wana nembo usoni hadi useme hao 2 ni wasukuma?
Wewe kyagata hua unaandika mambo mengi sana ya kitoto watu wanakuvumilia tu. Mimi nahisi wewe ni mtoto mdogo hata jandoni hujapitia au wewe ni delicious.
 
Njoo hapa kisesa nikukanyage masaburi yako hayo uone utoto wangu.
 
Msukuma akibahatika akaoa Uchagani au akaolewa na Mchaga ndiyo pona yake. Ila akijikuta kapata mwenzie duh anakuwa Mshamba hata awe Rais wa nchi
 
Mimi siyo msukuma ila ninakaa nao na nimeoa huko, wasukuma ni watu poa sana haya mapungufu yapo kila sehemu,
ustaharabu wa vyoo ni tatizo kwa jamii kubwa ya watanzania ndiyo maana unaweza kwenda chuo kikuu na unakuta watu wanakata gogo bila kuflush na ni sehemu tulitegemea kuwakuta watu wali staharabika
Labda ni wanafunzi wa kisukuma huko chuoni
 
Juzi tulikua tunasafiri na bus la Allys star lile VIP lenye choo ndani kutoka Dar kuja Mwanza.

Safari ilianzia pale stand ya Magufuli,dakika chache baada ya safari kuanza yule mhudumu wa kike akatutangazia safari yetu itakua na vituo kadhaa vya kuchimba dawa ila akasema kama mtu atapatwa na changamoto ya tumbo kuvurugika asisite kusema ili dereva asimamishe gari na mtu husika ajisaidie.

Mhudumu akazidi kusisitiza kuwa ile choo ndani ya bus ni kwa ajili ya matumizi ya haja ndogo tu.

Cha kushangaza kabla hata hatujafika Morogoro,kuna binti mmoja wa kisukuma akaingia chooni,kumbe alivyoingia chooni yeye alikata gogo,mara harufu ikaenea bus zima,mhudumu alivyomfuata kumuuliza kulikoni akasema tumbo limemkata ghafla,wakazozana hapo weeee kisha mhudumu akaamua tu kumwaga maji yenye sabuni walau kukata ile harufu.kila mtu pale kwenye bus akawa anamshambulia kwa maneno yule binti wa kisukuma kwa alichokifanya.

Hatujafika hata Dodoma mshikaji mwingine nae kaingia chooni kakata gogo harufu ikaenea tena ndani ya bus,baada ya kuzozana sana ikabidi dereva aingie hotelini gari lisafishwe kwanza.

Nimegundua wasukuma ni jamii ambayo suala la ustaarabu bado sana kwa upande wao.
😹😹😹😹 Nimecheka mpk machozi..!!
Shimba ya Buyenze njoo huku kuna tatizo, muite na Snoopy namna gani wasukuma? 🤣
 
Hahahahaha....🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nmecheka sana aisee, Wasukuma wanapenda sana kunya kunya hovyo....yaani wanakula maugali makubwa ili Wanye
 
😹😹😹 Halafu hawapendi kuambiwa ukweli, kunya tu kuoga aaahh
 
Tatizo ni la wenye Gari na walioitengeneza gari yenyewe!

Huwezi SEMA choo ni kwa ajili ya kukojoa TU na kukata gogo hapana!

Hai wasukuma wametuwakilisha vizuri,Ili watengenezaji wa ma bus hayo warudi mzigoni!mbona kwenye treni tunakata gogo Tena Kwa kujiachia!!?

Wajipange!na Mimi najiandaa siku nikipanda TU nakata gogo!!

Ally star mjiandae!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom