Wasukuma ni jamii ambayo bado sana kustaarabika

Juzi tulikua tunasafiri na bus la Allys star lile VIP lenye choo ndani kutoka Dar kuja Mwanza.

Safari ilianzia pale stand ya Magufuli,dakika chache baada ya safari kuanza yule mhudumu wa kike akatutangazia safari yetu itakua na vituo kadhaa vya kuchimba dawa ila akasema kama mtu atapatwa na changamoto ya tumbo kuvurugika asisite kusema ili dereva asimamishe gari na mtu husika ajisaidie.

Mhudumu akazidi kusisitiza kuwa ile choo ndani ya bus ni kwa ajili ya matumizi ya haja ndogo tu.

Cha kushangaza kabla hata hatujafika Morogoro,kuna binti mmoja wa kisukuma akaingia chooni,kumbe alivyoingia chooni yeye alikata gogo,mara harufu ikaenea bus zima,mhudumu alivyomfuata kumuuliza kulikoni akasema tumbo limemkata ghafla,wakazozana hapo weeee kisha mhudumu akaamua tu kumwaga maji yenye sabuni walau kukata ile harufu.kila mtu pale kwenye bus akawa anamshambulia kwa maneno yule binti wa kisukuma kwa alichokifanya.

Hatujafika hata Dodoma mshikaji mwingine nae kaingia chooni kakata gogo harufu ikaenea tena ndani ya bus,baada ya kuzozana sana ikabidi dereva aingie hotelini gari lisafishwe kwanza.

Nimegundua wasukuma ni jamii ambayo suala la ustaarabu bado sana kwa upande wao.
Sasa hapo kwenye maelezo yako tutajuahs huyo alikuwa msukum mbona hujaweka NIDA yake.
 
Siwaweke tu choo chakukatia gogo, kama hawataki wasitishe huduma ya choo ,unakuta wengine kiswahili hawajui halafu mnatuongelesha lugha tusiyoifahamu ,mnawatakia nini shemeji zangu aisee
 
Juzi tulikua tunasafiri na bus la Allys star lile VIP lenye choo ndani kutoka Dar kuja Mwanza.

Safari ilianzia pale stand ya Magufuli,dakika chache baada ya safari kuanza yule mhudumu wa kike akatutangazia safari yetu itakua na vituo kadhaa vya kuchimba dawa ila akasema kama mtu atapatwa na changamoto ya tumbo kuvurugika asisite kusema ili dereva asimamishe gari na mtu husika ajisaidie.

Mhudumu akazidi kusisitiza kuwa ile choo ndani ya bus ni kwa ajili ya matumizi ya haja ndogo tu.

Cha kushangaza kabla hata hatujafika Morogoro,kuna binti mmoja wa kisukuma akaingia chooni,kumbe alivyoingia chooni yeye alikata gogo,mara harufu ikaenea bus zima,mhudumu alivyomfuata kumuuliza kulikoni akasema tumbo limemkata ghafla,wakazozana hapo weeee kisha mhudumu akaamua tu kumwaga maji yenye sabuni walau kukata ile harufu.kila mtu pale kwenye bus akawa anamshambulia kwa maneno yule binti wa kisukuma kwa alichokifanya.

Hatujafika hata Dodoma mshikaji mwingine nae kaingia chooni kakata gogo harufu ikaenea tena ndani ya bus,baada ya kuzozana sana ikabidi dereva aingie hotelini gari lisafishwe kwanza.

Nimegundua wasukuma ni jamii ambayo suala la ustaarabu bado sana kwa upande wao.
Mkuu upo sahihi zaidi ya 100% ata tunaoshi nao uku wa ndani ndani hivi vyoo vya kwenye maofisi uku unakuta kuna option zaidi ya 3 za kumwaga maji na maji yapo ila akimaliza anaacha gogo apo apo anaondoka🚶🏻
 
Juzi tulikua tunasafiri na bus la Allys star lile VIP lenye choo ndani kutoka Dar kuja Mwanza.

Safari ilianzia pale stand ya Magufuli,dakika chache baada ya safari kuanza yule mhudumu wa kike akatutangazia safari yetu itakua na vituo kadhaa vya kuchimba dawa ila akasema kama mtu atapatwa na changamoto ya tumbo kuvurugika asisite kusema ili dereva asimamishe gari na mtu husika ajisaidie.

Mhudumu akazidi kusisitiza kuwa ile choo ndani ya bus ni kwa ajili ya matumizi ya haja ndogo tu.

Cha kushangaza kabla hata hatujafika Morogoro,kuna binti mmoja wa kisukuma akaingia chooni,kumbe alivyoingia chooni yeye alikata gogo,mara harufu ikaenea bus zima,mhudumu alivyomfuata kumuuliza kulikoni akasema tumbo limemkata ghafla,wakazozana hapo weeee kisha mhudumu akaamua tu kumwaga maji yenye sabuni walau kukata ile harufu.kila mtu pale kwenye bus akawa anamshambulia kwa maneno yule binti wa kisukuma kwa alichokifanya.

Hatujafika hata Dodoma mshikaji mwingine nae kaingia chooni kakata gogo harufu ikaenea tena ndani ya bus,baada ya kuzozana sana ikabidi dereva aingie hotelini gari lisafishwe kwanza.

Nimegundua wasukuma ni jamii ambayo suala la ustaarabu bado sana kwa upande wao.
Kapande Nyehunge ndio utajua wasukuma ni washamba, wale wahudumu hasa wa route ya Moshi-Arusha-Mwanza wanafikiri wao ndio wafalme siyo wateja(abiria), kuna makondakta wa basi T609 EFG, wale vijeba wana dharau abiria sijawahi ona, vile viti 4 vya mbele ni vya kwao wanahamahama km ngedere, ole wako abiria ukalie watakushambulia na dereva anasimamisha kabisa gari na usipohama hizo siti wanakutishia kukushusha. Ilitokea jana baada tu ya kutoka stendi ya Singida kuelekea Mwanza, pale hotelini walimshambulia mzee wa watu kwa matusi na vitisho kwamba watamshusha kisa kakalia siti namba A2 nyuma ya dereva, na dereva alikataa kuondoa basi mpk yule mzee ahame siti. Wasukuma na ustaarabu mpk Yesu arudi. Ni jamii ya hovyo, siti eti kisa ni cha mbele? Kaskazini walistaarabika siku nyingi sana kondakta ni mfanyakazi kwanza hana siti, abiria ndio bosi siyo konda wala dreva. Usukumani ni pa kupita siyo pa kuishi. Nyehunge siyo basi la kupanda na wale wafanyakazi wataua ile kampuni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom