Miye nilikuwa sijui aisee maana hata Ifakara sikuona hayo. Ila kule Namawala kijijini nilishanhaa sana aisee. Tena wanajenga choo cha kisanii kabisa lakini hawakitumii na maji yapo toopuMimi kuna jamaa yangu msukuma yupo hapo ifakara,kuna siku nikamtembelea baada ya msosi heavy wa mchana, nikaona anachukua jembe akanipa code kuwa oyaa dakika sifuri naenda kutaga kwanza,sikuelewa ile code vizuri,alivyorudi ndo akaniambia alienda kunya porini ,huwa wanachimba shimo wanakunya then wanafukia.
Nikachokaa
Kampuni ndogo unamanishaaa??Ndo maana kampuni Bora za mabasi haziendi huko
Kijiji gani!??Imagine kaya yenye watu zaidi ya 30 wanabafu tu choo hamna.
Kampuni Zipi bora hizo!??Ndo maana kampuni Bora za mabasi haziendi huko
Logical non sequitur fallacy.Juzi tulikua tunasafiri na bus la Allys star lile VIP lenye choo ndani kutoka Dar kuja Mwanza.
Safari ilianzia pale stand ya Magufuli,dakika chache baada ya safari kuanza yule mhudumu wa kike akatutangazia safari yetu itakua na vituo kadhaa vya kuchimba dawa ila akasema kama mtu atapatwa na changamoto ya tumbo kuvurugika asisite kusema ili dereva asimamishe gari na mtu husika ajisaidie.
Mhudumu akazidi kusisitiza kuwa ile choo ndani ya bus ni kwa ajili ya matumizi ya haja ndogo tu.
Cha kushangaza kabla hata hatujafika Morogoro,kuna binti mmoja wa kisukuma akaingia chooni,kumbe alivyoingia chooni yeye alikata gogo,mara harufu ikaenea bus zima,mhudumu alivyomfuata kumuuliza kulikoni akasema tumbo limemkata ghafla,wakazozana hapo weeee kisha mhudumu akaamua tu kumwaga maji yenye sabuni walau kukata ile harufu.kila mtu pale kwenye bus akawa anamshambulia kwa maneno yule binti wa kisukuma kwa alichokifanya.
Hatujafika hata Dodoma mshikaji mwingine nae kaingia chooni kakata gogo harufu ikaenea tena ndani ya bus,baada ya kuzozana sana ikabidi dereva aingie hotelini gari lisafishwe kwanza.
Nimegundua wasukuma ni jamii ambayo suala la ustaarabu bado sana kwa upande wao.
Hili ndo ulipanda? Hukuniona nikiwa nimekaa siti ya pale mbele karibu na mlango?Juzi tulikua tunasafiri na bus la Allys star lile VIP lenye choo ndani kutoka Dar kuja Mwanza.
Safari ilianzia pale stand ya Magufuli,dakika chache baada ya safari kuanza yule mhudumu wa kike akatutangazia safari yetu itakua na vituo kadhaa vya kuchimba dawa ila akasema kama mtu atapatwa na changamoto ya tumbo kuvurugika asisite kusema ili dereva asimamishe gari na mtu husika ajisaidie.
Mhudumu akazidi kusisitiza kuwa ile choo ndani ya bus ni kwa ajili ya matumizi ya haja ndogo tu.
Cha kushangaza kabla hata hatujafika Morogoro,kuna binti mmoja wa kisukuma akaingia chooni,kumbe alivyoingia chooni yeye alikata gogo,mara harufu ikaenea bus zima,mhudumu alivyomfuata kumuuliza kulikoni akasema tumbo limemkata ghafla,wakazozana hapo weeee kisha mhudumu akaamua tu kumwaga maji yenye sabuni walau kukata ile harufu.kila mtu pale kwenye bus akawa anamshambulia kwa maneno yule binti wa kisukuma kwa alichokifanya.
Hatujafika hata Dodoma mshikaji mwingine nae kaingia chooni kakata gogo harufu ikaenea tena ndani ya bus,baada ya kuzozana sana ikabidi dereva aingie hotelini gari lisafishwe kwanza.
Nimegundua wasukuma ni jamii ambayo suala la ustaarabu bado sana kwa upande wao.
Hawana tofautiUna uhakika ni wasukuma au ni akina dudukwe ?View attachment 3450015
Hapana.Huko kanda ya ziwa ustarabu kwa watu ni sifuri. 2015 tuliwahi kwenda na jamaa yangu mahali flani pembezoni mwa Lake Victoria asee tulikuta shore yote umbali kama wa two kilometres ni kinyesi tu kimetapaka mbaya zaidi wanakata gogo wanafukia na mchanga ule wa ziwani Mawimbi ya kija yanafukua.
Tulitembea umbali mrefu hali ni ileile ni kwamba kijiji kile kizima hakuna ambae ana choo wala bafu wanategemea fukwe kama mbadala .
Ni kweli sio Tanzania tu nadhani ni Dunia kote kila sehemu utakuta kuna tabia zisizo za kistaarabu. Ila tunacho ongelea hapa ni rate ya huo ustarabu kuna kuwa na utofauti mkubwa kati ya eneo moja na mengineHapana.
Kote Tanzania tabia zisizo za kistaarabu zipo nyingi tu na ni kutoka kwenye jamii nyingi.
Majuzi tu hapa nilikuwa Mtwara, maeneo ya Mikindani.
Kote huko tabia za kishenzi shenzi niliziona.
Kabla ya kukashifu kabila la wengine taja kwanza kabila lako.Juzi tulikua tunasafiri na bus la Allys star lile VIP lenye choo ndani kutoka Dar kuja Mwanza.
Safari ilianzia pale stand ya Magufuli,dakika chache baada ya safari kuanza yule mhudumu wa kike akatutangazia safari yetu itakua na vituo kadhaa vya kuchimba dawa ila akasema kama mtu atapatwa na changamoto ya tumbo kuvurugika asisite kusema ili dereva asimamishe gari na mtu husika ajisaidie.
Mhudumu akazidi kusisitiza kuwa ile choo ndani ya bus ni kwa ajili ya matumizi ya haja ndogo tu.
Cha kushangaza kabla hata hatujafika Morogoro,kuna binti mmoja wa kisukuma akaingia chooni,kumbe alivyoingia chooni yeye alikata gogo,mara harufu ikaenea bus zima,mhudumu alivyomfuata kumuuliza kulikoni akasema tumbo limemkata ghafla,wakazozana hapo weeee kisha mhudumu akaamua tu kumwaga maji yenye sabuni walau kukata ile harufu.kila mtu pale kwenye bus akawa anamshambulia kwa maneno yule binti wa kisukuma kwa alichokifanya.
Hatujafika hata Dodoma mshikaji mwingine nae kaingia chooni kakata gogo harufu ikaenea tena ndani ya bus,baada ya kuzozana sana ikabidi dereva aingie hotelini gari lisafishwe kwanza.
Nimegundua wasukuma ni jamii ambayo suala la ustaarabu bado sana kwa upande wao.
Kusema eti hao ni Wasukuma kwa vile basi ni la kwenda Mwanza hiyo itakuwa exergeration. Labda angesema abiria hao WANA CCM ni wabishi mno maana wao wanafahamika kuwa hata uwape ushahidi kiasi gani wao kuelewa na kukubali ukweli ni sawa na hao wanao ku..a ndani ya Basi la Ally's.Ni kwamba huyo binti na huyo jamaa walijitambulisha kama ni Wasukuma, au kila anayekwenda Mwanza akitokea Dar, ni Msukuma? Nauliza hivi kwa sababu ni siku chache tu zimepita tangu nilipo panda basi la kampuni hiyo hiyo ya la Ally's lenye choo ndani.
Kiukweli nilifurahia sana huduma yao. Full AC, viblanket vya kijifunika kila abiria (by the way mimi sikutumia), leather seat, screen ndogo nyuma ya kila siti huku ikiwa na access ya kuangalia muvi, pia nimeona kuna app ya jamii forums! Mbele kuna screen kubwa iliyounganishwa na Azam Media! Kwa hiyo unaiangalia CHAN live! Siti zake ni 1 by 2!!