Wasukuma ni jamii ambayo bado sana kustaarabika

Wasukuma ni jamii ambayo bado sana kustaarabika

Mkuu upo sahihi zaidi ya 100% ata tunaoshi nao uku wa ndani ndani hivi vyoo vya kwenye maofisi uku unakuta kuna option zaidi ya 3 za kumwaga maji na maji yapo ila akimaliza anaacha gogo apo apo anaondoka🚶🏻
😹😹😹😹
 
Hapana, pale wanashuka na treni, au nyaunge asbh unawakuta mafiga kwenye zile Costa.
Siku nimepanda nimekaa na mama mtoto anajisaidia anashika kile kinyesi kwa mkono kbs anatupa nje.
Mtoto kakijoa lile tambaa linabanwa dirishani ili likauke basi Zima harufu yaani ni shida.
🤮🤮🤮 Jamani
 
Ndo maana kampuni Bora za mabasi haziendi huko
Msukuma akibahatika akaoa Uchagani au akaolewa na Mchaga ndiyo pona yake. Ila akijikuta kapata mwenzie duh anakuwa Mshamba hata awe Rais wa nchi
Kazi yao ni kula na kunya tu...wakisafiri wakafika wanakoenda unaona watu wazima wanachekeana wanaringishiana mimi nimekunya kwenye gari dodii...
mwingine mimi nimekunya mara 3 mwingine mimi mara nne...
 
Juzi tulikua tunasafiri na bus la Allys star lile VIP lenye choo ndani kutoka Dar kuja Mwanza.

Safari ilianzia pale stand ya Magufuli,dakika chache baada ya safari kuanza yule mhudumu wa kike akatutangazia safari yetu itakua na vituo kadhaa vya kuchimba dawa ila akasema kama mtu atapatwa na changamoto ya tumbo kuvurugika asisite kusema ili dereva asimamishe gari na mtu husika ajisaidie.

Mhudumu akazidi kusisitiza kuwa ile choo ndani ya bus ni kwa ajili ya matumizi ya haja ndogo tu.

Cha kushangaza kabla hata hatujafika Morogoro,kuna binti mmoja wa kisukuma akaingia chooni,kumbe alivyoingia chooni yeye alikata gogo,mara harufu ikaenea bus zima,mhudumu alivyomfuata kumuuliza kulikoni akasema tumbo limemkata ghafla,wakazozana hapo weeee kisha mhudumu akaamua tu kumwaga maji yenye sabuni walau kukata ile harufu.kila mtu pale kwenye bus akawa anamshambulia kwa maneno yule binti wa kisukuma kwa alichokifanya.

Hatujafika hata Dodoma mshikaji mwingine nae kaingia chooni kakata gogo harufu ikaenea tena ndani ya bus,baada ya kuzozana sana ikabidi dereva aingie hotelini gari lisafishwe kwanza.

Nimegundua wasukuma ni jamii ambayo suala la ustaarabu bado sana kwa upande wao.
Vipi hawakuingia na miwa hawa jama wana mabas yao mwngne sehem ile ya kunawia mikono walikuta anakojoa hiiii bangosha mashkolo mageni kinehe
 
Mimi nilikuwa naenda tanga nikapanda na wamasai
Aisee walishambulia kile Choo
Sijui walidhani kichaka jipya
Yaani walikunya Hadi pale wami ikabidi tushuke tubadilishiwe bus wakaachwa wenyewe. Yaani
Walikuwa nusu basi .yaani dakika tano nyingi anaenda mtu kupupu sijui walitoka wapi
 
Eti rafiki yangu shuka chini unasadiki maneno ya mleta mada kuwa sisi wasukuma ni washamba na hatuko smart? From tabora safarini to CONGO BRAZAVILLE
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom