Wasukuma ni jamii ambayo bado sana kustaarabika

Juzi tulikua tunasafiri na bus la Allys star lile VIP lenye choo ndani kutoka Dar kuja Mwanza.

Safari ilianzia pale stand ya Magufuli,dakika chache baada ya safari kuanza yule mhudumu wa kike akatutangazia safari yetu itakua na vituo kadhaa vya kuchimba dawa ila akasema kama mtu atapatwa na changamoto ya tumbo kuvurugika asisite kusema ili dereva asimamishe gari na mtu husika ajisaidie.

Mhudumu akazidi kusisitiza kuwa ile choo ndani ya bus ni kwa ajili ya matumizi ya haja ndogo tu.

Cha kushangaza kabla hata hatujafika Morogoro,kuna binti mmoja wa kisukuma akaingia chooni,kumbe alivyoingia chooni yeye alikata gogo,mara harufu ikaenea bus zima,mhudumu alivyomfuata kumuuliza kulikoni akasema tumbo limemkata ghafla,wakazozana hapo weeee kisha mhudumu akaamua tu kumwaga maji yenye sabuni walau kukata ile harufu.kila mtu pale kwenye bus akawa anamshambulia kwa maneno yule binti wa kisukuma kwa alichokifanya.

Hatujafika hata Dodoma mshikaji mwingine nae kaingia chooni kakata gogo harufu ikaenea tena ndani ya bus,baada ya kuzozana sana ikabidi dereva aingie hotelini gari lisafishwe kwanza.

Nimegundua wasukuma ni jamii ambayo suala la ustaarabu bado sana kwa upande wao.
Jamaa mada zako nyingi za kudharau na kebehi na kujiweka matawi sana
 
Mkuu upo sahihi zaidi ya 100% ata tunaoshi nao uku wa ndani ndani hivi vyoo vya kwenye maofisi uku unakuta kuna option zaidi ya 3 za kumwaga maji na maji yapo ila akimaliza anaacha gogo apo apo anaondoka🚶🏻
Hao jamaa ustaarabu zero kabisa
 
Ni kwamba huyo binti na huyo jamaa walijitambulisha kama ni Wasukuma, au kila anayekwenda Mwanza akitokea Dar, ni Msukuma? Nauliza hivi kwa sababu ni siku chache tu zimepita tangu nilipo panda basi la kampuni hiyo hiyo ya la Ally's lenye choo ndani.

Kiukweli nilifurahia sana huduma yao. Full AC, viblanket vya kijifunika kila abiria (by the way mimi sikutumia), leather seat, screen ndogo nyuma ya kila siti huku ikiwa na access ya kuangalia muvi, pia nimeona kuna app ya jamii forums! Mbele kuna screen kubwa iliyounganishwa na Azam Media! Kwa hiyo unaiangalia CHAN live! Siti zake ni 1 by 2!!
Mkuu nakukabidhi kwa Mungu tu na akwongezee pale ulipoishia , huyu ndugu kaja na kutoa kesi na kuamua mwenyewe ,tz hakuna makabila yaliyo na upendo kama wasukuma , ni kweli tumezoea maisha ya shida ila kwetu ni raha kwa mjibu wa tamaduni zeru ,why uyu mkuu tuangushia jumba bovu na je alidhibitishaje kwa kwamba uyo nimsukuma? Sie tunaosafari tunakutana na mambo mengi mkuu ndani na nje ya nchi, nimesikitika sana ,ila ndugu zangu wasukuma msife moyo , sukuma tribe ni taifa kubwa na mila zetu hatuachi mpaka yesu akirudi.

Walianza kuwazalilisha wahaya na ile kitu , sijui majivuno , ikaja sijui katelolo , sasa wanaanza kutvaa sie wasukuma ,hatutakubali ,moto utawaka , kama vipi tutawambia wazee wetu kwenda Gamboshi , mbwai mbwai
 
Jitu kujamba mbele za watu halioni tabu
Hapana, pale wanashuka na treni, au nyaunge asbh unawakuta mafiga kwenye zile Costa.
Siku nimepanda nimekaa na mama mtoto anajisaidia anashika kile kinyesi kwa mkono kbs anatupa nje.
Mtoto kakijoa lile tambaa linabanwa dirishani ili likauke basi Zima harufu yaani ni shida.
 
Juzi tulikua tunasafiri na bus la Allys star lile VIP lenye choo ndani kutoka Dar kuja Mwanza.

Safari ilianzia pale stand ya Magufuli,dakika chache baada ya safari kuanza yule mhudumu wa kike akatutangazia safari yetu itakua na vituo kadhaa vya kuchimba dawa ila akasema kama mtu atapatwa na changamoto ya tumbo kuvurugika asisite kusema ili dereva asimamishe gari na mtu husika ajisaidie.

Mhudumu akazidi kusisitiza kuwa ile choo ndani ya bus ni kwa ajili ya matumizi ya haja ndogo tu.

Cha kushangaza kabla hata hatujafika Morogoro,kuna binti mmoja wa kisukuma akaingia chooni,kumbe alivyoingia chooni yeye alikata gogo,mara harufu ikaenea bus zima,mhudumu alivyomfuata kumuuliza kulikoni akasema tumbo limemkata ghafla,wakazozana hapo weeee kisha mhudumu akaamua tu kumwaga maji yenye sabuni walau kukata ile harufu.kila mtu pale kwenye bus akawa anamshambulia kwa maneno yule binti wa kisukuma kwa alichokifanya.

Hatujafika hata Dodoma mshikaji mwingine nae kaingia chooni kakata gogo harufu ikaenea tena ndani ya bus,baada ya kuzozana sana ikabidi dereva aingie hotelini gari lisafishwe kwanza.

Nimegundua wasukuma ni jamii ambayo suala la ustaarabu bado sana kwa upande wao.
Walio staarabika hupanda ndege,nyanoko
 
Hawa huwa wanafanyaga makusudi ili mtu ajitokeze kugombana nao kisha wakifika makwao wanamfanyizia kwa kumroga.
 
Kituo cha kwanza cha kazi nilipelekwa kijijini usukumani.
Nilivyofika nikawa naona watu wazima kwa watoto wanapandisha juu ya kimrima fulani nikawauliza wafanyakazi wenzangu majibu walionipa nilistaajabu sana.

Yale majibu yalinifanya nifanye utafiti mdogo kwa kutembelea miji kadhaa pale kijijini aise nilikuja kugundua miji mingi haina choo.

Ule mrima ulikuwa ndio kimbilio lao kama choo na gesti .lile eneo nilihama baada ya miaka mitatu.
Kipindi fulani nikasema ngoja nikatembelee wadau .Kufika nakuta ule mrima pameibuka machimbo da nikasema kimoyomoyo sasa wananzengo wameharibiwa choo chao na gesti ya kuzagamulia.

Wasukuma na waha uchafu kwao ni jadi. Pia wanazaa kama panya.
 
Je umeisha wahi kaa ugogoni vijijini? Yani ukekaaa kwetu, na sisi tusivyo wachoyo tumekulea vizuri,leo upo na maisha unaanza kutubagaza ,Mungu anakuona
 
Juzi tulikua tunasafiri na bus la Allys star lile VIP lenye choo ndani kutoka Dar kuja Mwanza.

Safari ilianzia pale stand ya Magufuli,dakika chache baada ya safari kuanza yule mhudumu wa kike akatutangazia safari yetu itakua na vituo kadhaa vya kuchimba dawa ila akasema kama mtu atapatwa na changamoto ya tumbo kuvurugika asisite kusema ili dereva asimamishe gari na mtu husika ajisaidie.

Mhudumu akazidi kusisitiza kuwa ile choo ndani ya bus ni kwa ajili ya matumizi ya haja ndogo tu.

Cha kushangaza kabla hata hatujafika Morogoro,kuna binti mmoja wa kisukuma akaingia chooni,kumbe alivyoingia chooni yeye alikata gogo,mara harufu ikaenea bus zima,mhudumu alivyomfuata kumuuliza kulikoni akasema tumbo limemkata ghafla,wakazozana hapo weeee kisha mhudumu akaamua tu kumwaga maji yenye sabuni walau kukata ile harufu.kila mtu pale kwenye bus akawa anamshambulia kwa maneno yule binti wa kisukuma kwa alichokifanya.

Hatujafika hata Dodoma mshikaji mwingine nae kaingia chooni kakata gogo harufu ikaenea tena ndani ya bus,baada ya kuzozana sana ikabidi dereva aingie hotelini gari lisafishwe kwanza.

Nimegundua wasukuma ni jamii ambayo suala la ustaarabu bado sana kwa upande wao.
HAKIKA...HAKIKA KABISA.....TENA KIZURI ZAIDI WANAJUA KUNYA BWANA...LOH😏,HATA UNAWEZA JIULIZA HII💩IMEPITA WAPI....🙌
 
Tusipende sana kuzalau makabila ya wenzetu, hakuna kabila ambalo halina mapungufu hii inachangiwa na makabila nchini kwetu kuwa na mila tofauti, Mimi ni msukuma ,ila hujatutendea haki.

Acha kujiona wewe pia umekamilika ,hii tabia ya kudis makabila mengine ni ya kipumbavu sana ,kwamba kama mtu mmoja katika kabila flani amekosea sehemu basi kabila zima linahukumiwa hii sio sawa .
Mimi siyo msukuma ila ninakaa nao na nimeoa huko, wasukuma ni watu poa sana haya mapungufu yapo kila sehemu,
ustaharabu wa vyoo ni tatizo kwa jamii kubwa ya watanzania ndiyo maana unaweza kwenda chuo kikuu na unakuta watu wanakata gogo bila kuflush na ni sehemu tulitegemea kuwakuta watu wali staharabika
 
Kituo cha kwanza cha kazi nilipelekwa kijijini usukumani.
Nilivyofika nikawa naona watu wazima kwa watoto wanapandisha juu ya kimrima fulani nikawauliza wafanyakazi wenzangu majibu walionipa nilistaajabu sana.

Yale majibu yalinifanya nifanye utafiti mdogo kwa kutembelea miji kadhaa pale kijijini aise nilikuja kugundua miji mingi haina choo.

Ule mrima ulikuwa ndio kimbilio lao kama choo na gesti .lile eneo nilihama baada ya miaka mitatu.
Kipindi fulani nikasema ngoja nikatembelee wadau .Kufika nakuta ule mrima pameibuka machimbo da nikasema kimoyomoyo sasa wananzengo wameharibiwa choo chao na gesti ya kuzagamulia.

Wasukuma na waha uchafu kwao ni jadi. Pia wanazaa kama panya.
Nilienda Mlimba kijiji cha namawala sehemu inaitwa mikochini.
Nikakaribishwa mashambani kijijini huko kwa msukuma mmoja.
Chakula siyo ishu kwao asbh viazi vitamu, mchana Wali au ugali na mboga nyingi. Usiku Wali ila kuiva huo Wali siyo swala la msingi.
Sasa choo kipo mbali sana toka kwenye nyumba nikauliza kule ndiyo choo wakasema ndiyo. Aisee choo kichafu mpk kimeziba nikauliza hiki choo kinatumika kweli? Wakasema sisi tunaendaga kwenye mapori nilichoka kabisa.
 
Juzi tulikua tunasafiri na bus la Allys star lile VIP lenye choo ndani kutoka Dar kuja Mwanza.

Safari ilianzia pale stand ya Magufuli,dakika chache baada ya safari kuanza yule mhudumu wa kike akatutangazia safari yetu itakua na vituo kadhaa vya kuchimba dawa ila akasema kama mtu atapatwa na changamoto ya tumbo kuvurugika asisite kusema ili dereva asimamishe gari na mtu husika ajisaidie.

Mhudumu akazidi kusisitiza kuwa ile choo ndani ya bus ni kwa ajili ya matumizi ya haja ndogo tu.

Cha kushangaza kabla hata hatujafika Morogoro,kuna binti mmoja wa kisukuma akaingia chooni,kumbe alivyoingia chooni yeye alikata gogo,mara harufu ikaenea bus zima,mhudumu alivyomfuata kumuuliza kulikoni akasema tumbo limemkata ghafla,wakazozana hapo weeee kisha mhudumu akaamua tu kumwaga maji yenye sabuni walau kukata ile harufu.kila mtu pale kwenye bus akawa anamshambulia kwa maneno yule binti wa kisukuma kwa alichokifanya.

Hatujafika hata Dodoma mshikaji mwingine nae kaingia chooni kakata gogo harufu ikaenea tena ndani ya bus,baada ya kuzozana sana ikabidi dereva aingie hotelini gari lisafishwe kwanza.

Nimegundua wasukuma ni jamii ambayo suala la ustaarabu bado sana kwa upande wao.
Hahahaa
 
Nilienda Mlimba kijiji cha namawala sehemu inaitwa mikochini.
Nikajaribisha madhambani kijijini huko kwa msukuma mmoja.
Chakula siyo ishu kwao asbh viazi vitamu, mchana Wali au ugali na mboga nyingi. Usiku Wali ila kuiva huo Wali siyo swala la msingi.
Sasa choo kipo mbali sana toka kwenye nyumba nikauliza kule ndiyo choo wakasema ndiyo. Aisee choo kichafu mpk kimeziba nikauliza hiki choo kinatumika kweli? Wakasema sisi tunaendaga kwenye mapori nilichoka kabisa.
Mimi kuna jamaa yangu msukuma yupo hapo ifakara,kuna siku nikamtembelea baada ya msosi heavy wa mchana, nikaona anachukua jembe akanipa code kuwa oyaa dakika sifuri naenda kutaga kwanza,sikuelewa ile code vizuri,alivyorudi ndo akaniambia alienda kunya porini ,huwa wanachimba shimo wanakunya then wanafukia.
Nikachokaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom