carcinoma
JF-Expert Member
- Mar 5, 2017
- 5,059
- 13,849
Mkuu amini nakwambia kila mtu ana siri zake na mambo watu tunayoyaficha kwenye simu zetu yakitoka hadharani Tz itakuwa haitoshi..naunga mkono hoja yako mkuu lakini sio kwa hadhi ya gwajima awe ni mtu wa kujirekodi au kotoka na wasio na akili, na pia nadhani sio mara ya kwenza kufunya kama ni yeye kweli , kwa nini hapo kabla haijawai kutokea iwe leo?
Watu wanaojirecord wako wengi sana (tena sana) lakini wanaopata ajari ya video zao kuvuja ni wachache sana..
Ukitaka kuamini hilo tafute binti kesho uanze kuchati nae mbembeleze akitumie picha zake..kama una convincing power kubwa atakutumia hadi picha za ajabu ndio utajua kama Dunia tumefika pabaya...
Huko whatsapp picha za uchi wapenzi wanazotumiana ni nyingi sana ila zinazovuja ni chache