Wastani ni dk 5.4 kwa wanaume (6x6)

Wastani ni dk 5.4 kwa wanaume (6x6)

Hio ni moja ya technique kama huwezi kuunga..lkn wengine tunaweza kuunga hivyo baada ya dk moja tunaunga na la pili..

Lkn bao la kwanza nusu saa huo ni uongo au abnormality
Sawa.
 
nashangaa kwa nini watu walimkosoa baba askofu kuwa aliwahi kupiga goli
 
Binadam tupo tofaut, dkk 30 watu tunaenda vizur tu kwa hiyo baki na udhaifu wako usilazimishe tufanane
Sasa jiandae na tezi dume kabla ya miaka 40..
Subiri dole la daktari wakati wa kupimwa..

Excess testosterone inasababisha prostate gland ikue fasta
 
Yule mheshimiwa huwa sekunde tuu chiiii kitu cha wazungu nimuweke kundi gani
 
Sasa jiandae na tezi dume kabla ya miaka 40..
Subiri dole la daktari wakati wa kupimwa..

Excess testosterone inasababisha prostate gland ikue fasta
Upo vizuri.. mwaga elimu hii wanaume wapone
 
Kwa bao la kwanza hapa tunaongelea dk 1 hadi 1 na nusu..
Sasa nguvu za kiume ni uwezo wa kuamsha dude fasta baada ya bao la 1...
Wenye nguvu za kiume kamili huwa wanaendelea kabisa bila kutoa.

Wenye nguvu moderate huwa wanapumzika kama dk 2.

Wale goi goi au wanaume wa dar wakipiga kamoja huwa wanapumzika hadi saa zima au masaa 24 kabisa..


Lakini hizi hadithi za alfrela ulela kwamba bao la kwanza mtu upige nusu saa huo ni uongo au ni editing kwa lugha ya kiaskofu..
Bao la kwanza physiological halizidi dk 5...ukizidisha hapo una ugonjwa na hatari ya kupata tezi dume kabla ya miaka 30
its all about your mind set, binafsi goli la kwanza dkk za mwanzo lazima uvizie na kupaki basi, ukipaki basi mara2 au 3, ndo unaanza kushambulia kwa kasi hapo mpk dkk ya 25 hadi 35 ndipo goli linaweza patikani maana mpinzani atakuwa kachoka mate nje..
 
Back
Top Bottom