Wastani ni dk 5.4 kwa wanaume (6x6)

Wastani ni dk 5.4 kwa wanaume (6x6)

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,262
Reaction score
18,711
Utafiti ulifanywa huko marekani mwaka 2015 unaonyesha kuwa 75% ya wanaume hutoa wazungu ndani ya dk 2 .

Na wastani ni dk 5.4. Utafiti huo unaonyesha ni wanaume wachache sana ambao walizidi dk 13 .

Usidanganywe eti una upungufu wa nguvu za kiume.. jiamini upo vizuri.

Pia wanawake acheni kuwapa hofu wanaume, toeni ushirikiano.

Hakuna mwanaume mwenye upungufu .
 
Raha ya mechi ni mabao, yawe ya kipindi cha kwanza au cha pili ila mechi yoyote yenye mabao huvutia hata kutazama.

Mimi huwa wakianzisha mpira tu napiga long ball hadi golini maana kipa anakuwa kasogea mbele na kaacha goli wazi.
 
Kwa bao la kwanza hapa tunaongelea dk 1 hadi 1 na nusu..
Sasa nguvu za kiume ni uwezo wa kuamsha dude fasta baada ya bao la 1...
Wenye nguvu za kiume kamili huwa wanaendelea kabisa bila kutoa.

Wenye nguvu moderate huwa wanapumzika kama dk 2.

Wale goi goi au wanaume wa dar wakipiga kamoja huwa wanapumzika hadi saa zima au masaa 24 kabisa..

Lakini hizi hadithi za alfrela ulela kwamba bao la kwanza mtu upige nusu saa huo ni uongo au ni editing kwa lugha ya kiaskofu..
Bao la kwanza physiological halizidi dk 5...ukizidisha hapo una ugonjwa na hatari ya kupata tezi dume kabla ya miaka 30
 
Upo sahihi na kuna uongo mwingi sana juu ya hili
 
Utafiti ulifanywa huko marekani mwaka 2015 unaonyesha kuwa 75% ya wanaume hutoa wazungu ndani ya dk 2 .

Na wastani ni dk 5.4. Utafiti huo unaonyesha ni wanaume wachache sana ambao walizidi dk 13 .

Usidanganywe eti una upungufu wa nguvu za kiume.. jiamini upo vizuri.

Pia wanawake acheni kuwapa hofu wanaume, toeni ushirikiano.

Hakuna mwanaume mwenye upungufu .
tupe uzoefu wako wewe unaonaje wapo sawa au?
 
Kwa bao la kwanza hapa tunaongelea dk 1 hadi 1 na nusu..
Sasa nguvu za kiume ni uwezo wa kuamsha dude fasta baada ya bao la 1...
Wenye nguvu za kiume kamili huwa wanaendelea kabisa bila kutoa.

Wenye nguvu moderate huwa wanapumzika kama dk 2.

Wale goi goi au wanaume wa dar wakipiga kamoja huwa wanapumzika hadi saa zima au masaa 24 kabisa..

Lakini hizi hadithi za alfrela ulela kwamba bao la kwanza mtu upige nusu saa huo ni uongo au ni editing kwa lugha ya kiaskofu..
Bao la kwanza physiological halizidi dk 5...ukizidisha hapo una ugonjwa na hatari ya kupata tezi dume kabla ya miaka 30
Dk 1?????????...Si bora ulitoe kwa nyeto sasa..
 
Watu wana uoga wa kushindwa kuperform ndio maana wanatunga story za bao la kwanza dk 30 kitu ambacho kwa normal physiology ya mwanaume ni impossible...labda awe kaboost na vumbi la congo...
Kuboost ndio ugonjwa umeharibu afya za wanaume kabisa..
 
Back
Top Bottom