Makambovich
JF-Expert Member
- Oct 27, 2018
- 207
- 200
Wadada/Wanawake wanatofautiana sana ndio maana zile biashara za kuongeza maumbile na nguvu za kiume zimeshika kasi, ila nachofahamu wadada wengi ili afikishwe ni at least dakika 10-15 sasa kama wewe ni chini ya dakika hizo ni jambo la kushukuruNyie ndio mnaharibu ndoa za watu.. kwanza unatakiwa kujua dk 30 sio sahihi kiafya.
Pia hakuna sababu ya kwenda dk 30 unatafuta nini wakati mwanamke ukimwandaa vizuri hata dk 1 haipiti anakua kileleni.
Nitakuelewa kama ni mmoja ya wale wanaouza vumbi la kongo.