Wassira on ITV (kipindi maalum)

Hivi hawajui impact ya kumleta mtu kama yule kwenye mahojiano?...Na je hawajui maana ya kuitajataja cdm kila dakika kwa umma?..
Anyway, labda wanahisi Wassira atatisha watu kwa sura yake!
 
Anahojiwa katika ule muendelezo wa vipindi maalum vya ushirikina dhidi ya Chadema.

CCM wataanza kuzunguka kuzijibu hoja za CHADEMA
 
Wakuu!
Checkini ITV, Wasira anabwatuka, full kuropoka, anauliswa swali hili anajivi oposite, zen sura imechokaaaa, duh!
 
Anasema Watanzania wana umoja. Kazi yake na serikali ni kuimarisha umoja. Kuhakikisha kuwa dini haiwagawi Watanzania.
 
Acheni wawapoteze hatwa wale wachache waliobaki waaminifu kwao. Safi sanaaaaaa!!!!!!!!!!!!
 
Wassira amekuwa mpumba mkuu siku hizi; akishika maiki tu basi ni pumba tupu zinazotoka hapo.
 
Anasema raisi ni mdemokrasia sana. Vombo vina uhuru mkubwa. Lakini aliiingilia kuhusu Chadema na kusema Chadema walifanya uchochezi.
 
Mwanangu anamwogopa amegoma hata kula eti daddy toa hilo duduuuuu kwenye TV.............. sura baya hadi anatisha watoto!! na anatoa mipumba tu afu sikui wanampendea nini huku kwenye media?
 
Wassira amekuwa mpumba mkuu siku hizi; akishika maiki tu basi ni pumba tupu zinazotoka hapo.
Nilikuwa namsikia tu huyu hapa jamvini. Sasa leo nimeamua kumsikiliza, na yote niliyoyasoma humu yamekuwa proven right. I am switching off to another channel, better watch NHK Japan and hear about the tsunami!!
 
kuna nini hivyo kila sku wao na tv. Hawana kazi? Anaruhusu maswali ya kupigiwa simu?
ni recorded mkuu, anajiuliza maswali mwenyewe, kuna mwandishi kamuandikia maswali, maswali yenyewe ni ya kjngjng tu
 
Back
Top Bottom