Wassira on ITV (kipindi maalum)

mimimkuu

Member
Oct 12, 2010
38
9
Source live on TBC1, Waziri Wasira nasema kuwa maandamano yanayofanywa na CHADEMA yanahamasisha vurugu kwa kauli zao, huku akisema kuwa Nguvu ya umma anayoijua yeye ni ya kwenye sanduku la kura.
 
chadema hawana haki wala uwezo wa kuchukua madaraka, lakini wana-excite watu... amechanganya hapo, huo ndio uwezo wao

chadema wana uwezo, na uwezo wao upo katika watu, CCM should be extra careful
 
Anajaribu kuelezea hotuba ya JK kuwa CDM ni wachochezi na wanavunja sheria...bra bra .........
 
Hivi wale waliokuwa wanauza ngozi za binadamu kule Mbeya waliishia wapi:A S 13:
 
TBC Live sasa hivi..Chadema wanachochea chuki Tanzania, Chadema mabingwa wa kusema uhongo..
 
Kuna many valid points anaongea wasira na ni muhimu chadema kuzizingatia... tusikurupuke kuchukia kila kiongozi wa serikali anapoongea

CDM can win people's heart bila mihadhara yenye language zinaziashiria uchochezi
 
Maskini! Kweli serikali ya mkapa ni tofauti na ya jk,

Blaa blaaa wakati watu wanataka umeme!
 
Wasira pisha hapo ona sasa mwanangu kakuona sura analia.JIBUN HOJA SIO MARA CDM WACHOCHEZ,WAONGO,HYO HAITAWAFANYA WATZ WAWAAMINI MANAKE WANAONA KWA MACHO JNS HAL ILVYO NCHN.
 
Jamaa anasema CDM waliwaambia kule mwanza Wananchi waiondoe serikali madarakani!
 
Anasema 'Dr Slaa amekuwa akiongelea suala la ufisadi miaka mingi sana lakini wananchi hawakumchagua' anamaanisha nini? Je wananchi wanapenda ufisadi, kwa kuwa waliichagua ccm badala ya Slaa anayepinga ufisadi?
 
Can u imagine.,mtu mzima anashindwa kutafsiri "Peoples Power" kwamba maana yake ni kupindua serikali????????
 
Mwandishi kamuuliza kuwa:
Mheshimiwa Wasira unaonekana Kulirudiarudia suala la chadema kutaka kuiangusha serikali wakati huo huo unasema cdm hawawezi kuiangusha Serikali sasa wasiwasi wako ni nini kuhusu hizo hoja za CDM?
 
....Mwambie amekula kibudu....akale majani kama paka au mbwa ili atapike...Kuitwa Tyson ndio anajiona mpiganaji sio...Namfananisha na kiraka cha kanga kwenye suruali ya jeans...!!!
 
Mm kila nikijaribu kumuangalia namuona kama anatakiwa awahi kwa babu loli akapatiwe dawa pengine atapewa dumu zima ili afya yk itengemae
 
Back
Top Bottom