Wassira on ITV (kipindi maalum)

Wassira on ITV (kipindi maalum)

Jamani kwanza wanajamii kama ni great thinker hatupaswi kutoa mitusi, hakuna mshindi kwenye Mitusi na haisaidii, maana sisi ndo wakuwaongoza kina wasira, sasa mnamuita sura mbaya nani mwanaume mzuri? Kama mzuri ujue unauza na wewe, pia hatuwezi hata kuumba kidole chake kwanini tunadharau umbile la mtu. Na kama uzuri ungekua uongozi basi Richard wa big brohter angekua raisi, Tuongeleeni hoja zake zaidi.

Nimemsikiliza Wasira, Pia nilimsikiliza na Tendwa TBC taifa siku mbili za nyuma wote wanaongea vitu vinafanana, Kama wanaCDM lisemwalo lipo tuwe waungwana zaidi tusifanye mambo ya ujanja ujanja, Arusha mabomu yamepigwa juzi kesi ilipoahirishwa watu wanataka waandamane wawapeleke viongozi ofisin kwa ruhusa ya nani? Matendo ya Chadema yanonyesha wazi hawajakubaliana na Matokeo ya uchaguzi ambao ndio chaguo la wengi.

Hatukubali kuwa RAIS amepata kura 5M, wakati CDM 2M, wabunge 178 majimbo, CMD 25 sasa CDM inataka nchi hawa waliowachagua hawa wabunge 178 mtawapeleka wapi? Mtawashawishi wawaunge mkono? Au mtawaua? Nchi sio Arusha, Mwanza na MBEYA. ni pamoja na lindi, singida na TABORA, nani atasema kua MKONO ameiba kura Musoma vijijini? Nani atasema NYARANDU ameiba kura Singida? nani atasema RAGE ameiba kura TABORA? Hawa wamepewa kura na wananchi ambao na hakika ni wengi kuliko wa Mikoa ya chadema tusidharau hili

Muhimu chadema tukubali kuwa ni suprise kuangakuka lakini ndo imetokea tayari, tuwe wapole tusubiri 2015

Chadema wanasema Kikwete kashindwa kuendesha nchi wakati BAJETI YA KWANZA ndo inapelekwa mwezi Juni ameshindwa vipi kabla ya mipango. hata chadema ingekua madarakani ingetumia bajeti na mipango iliyopo mpaka hapo juni ndo wangeweza kurekebisha. Siku mia mnataka rais amalize matatizo ya watanzania tuwe kama libya maji bure, umeme bure, ukioa nyumba unapewa.

Mbona majomboni mimi sijaona walkichofanya wabunge zaidi ya kuita wapiga picha kupiga picha matrekta, trekta la milion saba litatatua matatizo ya wannchi wa jimbo kwani hiyo ni SACCOS?

Awangalie wabunge wenzake wa MUSOMA ameweka Grader na engineer, angalia Mo singida anafanya nini

TUACHE MANENO TUCHAPE KAZI

KUCHAMBA KWINGI MWISHO...., CDM tuache kuchamba maana.........

,,,,,,Yote kwa yote,MASWALI haya ni lazima yapate majibu yake sasa na sio kila siku tunasubiri,tusubiri mpaka lini,tushachoka bana,we kila siku UMEME ni tatizo,mambo ya MGAO wa umeme yalianza tangu enzi za mzee RUKSA mpaka leo tunazungumzia MGAO????hivi kweli viongozi woooote hao waliopita na waliopo sasa hawajaweza KUJIBU matatizo haya jamani????,Pamoja na wafanyakazi kulipishwa kodi mara mbilimbili,lakini bado serikali hii haijaweza kutatua matatizo haya,,,Angalia bei ya mafuta ya MALAWI,nchi ambayo inaingiza mafuta kwa kupitia bandari yetu ya hapo Dar,inauza mafuta kwa bei rahisi sana kuliko sisi,pamoja na mafuta hayo kusafirishwa masafa marefu tu toka hapo bandarini mpaka kwa mlaji wa huko malawi,tena yakisafirishwa kwa gharama kuubwa kuliko sisi tunaoyamwaga tu hapo moja kwa moja toka melini,ukweli ni kwamba nyie akina WASSIRA and ur co. MMESHINDWA na hata mpewe miaka mingine 100 hamna jipya.:angry::angry::angry:
 
Mwanangu anamwogopa amegoma hata kula eti daddy toa hilo duduuuuu kwenye TV.............. sura baya hadi anatisha watoto!! na anatoa mipumba tu afu sikui wanampendea nini huku kwenye media?

Mshaurini aende Loliondo kwa babu aktibiwe mgonjwa huyo jamani.
 
Mliambiwa: Msipokuwa karibu na wananchi, watawakataa. Mlifikiri kuwanunulia kanga wakati wa uchaguzi inasaidia. Sasa chamoto mtakiona. Mtabaki kusema tutajibu hoja,tutajibu hoja, tutajibu hoja, tutajibu hoja, tutajibu hoja.

CCM Kwisha kazi:drum:
 
Jamani hivi kile chama cha kuzuia ukatili kwa wanyama kipo? Je watawachukulia hatua gani ITV kwa kuweka viumbe wa porini kwenye studio zao? hayo ni mazingira hatarishi kwa viumbe hao.
 
Amechanganyikiwa huyo wa muitie Bajaji au Pikipiki wamuwahishe Muhimbili kabla hajavua nguo inavyoonekana hata akilala anaiota Chadema inaingia Ikulu, amepungukiwa akili Wasira msaada wa Bajaji unahitajika ITV

Hali hii kachanganyikiwa, Je akiwa na akili zake zilizotulia? Basi muombeeni Mungu kwenye sala zenu achanganyikiwe hivi hivi, maana akiwa na akili zake timamu zilizotulia, mtakuwa mmekwisha.
 
Yale maswali yameandaliwa na wasira mwenyewe halafu wakapewa wale vijana (yule wa itv na yule wa tbc) eti wamuhoji. Unategemea atajibu nini, wakati yeye ndiye aliyeyaandaa.

Linganisha na tofautisha kipindi cha jana cha itv na kile kilichooneshwa wiki iliyopita na tbc wakati wa kumuhoji wasira:
1. Maswali
2. Majibu ya wasira
3. Mtiririko wa maswali na majibu
4. Uendeshaji wa kipindi

Hivi vyote vilikuwa vinafanana nukta kwa nukta ingawa vituo vya tv vilikuwa tofauti, waendesha vipindi walikuwa tofauti na mahala ambapo vipindi hivyo vilirekodiwa palikuwa tofauti.

Udhaifu wa waandishi wetu:
Waandishi wa tanzania wana udhaifu mkubwa sana wa kuhoji. Katika vipindi vyote hivyo nilivyovitaja maswali yote aliyokuwa anaulizwa wasira alikuwa akiongozwa bayana kujibu kile ambacho kilikuwa kimeandaliwa akijibu. Waendesha kipindi walikuwa hawana "confidence" kabisa kanakwamba kulikuwa kuna kitu wanahofia, ama kuna maelekezo wamepewa na mtu fulani hivyo wanaogopa wakihoji kinyume na maagizo wanaweza kupata madhara fulani. Hili ni tatizo na udhaifu mkubwa kwa waandishi wetu. Hata kama walikuwa wamepanga hivyo, basi wangeweza kufanya hivyo "professionally" na siyo waziwazi kama walivyofanya hawa waandishi vibaraka.

Wito wangu:
Ccm wajikite katika kutatua matatizo ya wananchi badala ya kugombana na chadema. Mchawi wao si chadema bali ni wao wenyewe ambao walijigamba kuwa wana uwezo wa kutatua matatizo hayo ya wananchi. Matatizo hayo hayajaletwa na chadema.
 
Kwa kumtizama kwenye tv inaonekana huyu bwana Wasira anaugua schizophrenic psychosis. Ni kumpotezea tu.
 
Wassira! Wassira yupi? Ngoja niwakumbushe Wassira ninayemjua. Mwaka 1995 WASSIRA aligombea u-Bunge Bunda kupitia NCCR-MAGEUZI akashinda baada ya kumwaga rushwa, matusi kwa mzee Joseph Sinde Warioba mgombea wa CCM eti anaumwa UKIMWI (haya siyo maneno yangu, ni hukumu ya mahakama kuu ya Tanzania iliyosikiliza pingamizi la WARIOBA dhidi ya ushindi wa WASSIRA na ikatengua ushindi huo). WASSIRA kwa kukosa heshima kwa MZEE WARIOBA, aliadhibiwa. WASSIRA alifungiwa kufanya siasa kwa kipindi cha miaka 5. Akiwa amefungiwa WASSIRA akaenda msituni, akajiunga na mtandao wa mafisadi waliotumia magazeti kujipamba na wakafanikiwa, wako madarakani. Huyo ndiye WASSIRA, hana jipya, ni mpuuzi tu. Tumpuuze maana hana adabu. WASSIRA aliitukana CCM hakuna mfano kupitia gazeti la RAI la kipindi hicho. Je, mnakumbuka?
 
yu8le mwandishi wa habari hajui kuuliza masawali...alikuwa analishangaa jamaa tu pale.......maswala yalikuwa less dancer sana...
 
Mliambiwa: Msipokuwa karibu na wananchi, watawakataa. Mlifikiri kuwanunulia kanga wakati wa uchaguzi inasaidia. Sasa chamoto mtakiona. Mtabaki kusema tutajibu hoja,tutajibu hoja, tutajibu hoja, tutajibu hoja, tutajibu hoja.

CCM Kwisha kazi:drum:
Wamesahau jinsi walivyo watuma Mawaziri kujibu hoja ya Buzwagi? Mawaziri walizomewa katika mikutano yao hadi zoezi hilo likasitishwa. Lakini kwa vile CCM ni babu wa usahaulifu wcha warudie tena kufanya hivyo,ila sitashangaa safari hii wakirushiwa mayai visa na wananchi waliochoka kudhalilika katika nchi yao iliyojaa neema ila wachache ndio wanafaidi tena kwa kiburi.
 
Wamesahau jinsi walivyo watuma Mawaziri kujibu hoja ya Buzwagi? Mawaziri walizomewa katika mikutano yao hadi zoezi hilo likasitishwa. Lakini kwa vile CCM ni babu wa usahaulifu wcha warudie tena kufanya hivyo,ila sitashangaa safari hii wakirushiwa mayai visa na wananchi waliochoka kudhalilika katika nchi yao iliyojaa neema ila wachache ndio wanafaidi tena kwa kiburi.

Weeee thubutuuuu hamna atakayeweza kwenda zaidi ya Magufuli,Sitta na Mwakyembe angalau hao ndo wamebaki wana "kajisura" ka kitaifa wengine ..... andaeni BODy BADssssssssssssssssss
 
Heheeeeeeeeeeeeee! Si..se.mi kweli wapumbavu na matah*ra ina mana rais KIWETE kamtuma huyu mzee HASIRA kuwatsha watz na hilo lisura mbaya kama kandambili za gest za Tandale. K*** la *am* yako we Hasira kwa maneno yako

ulyoyasema kama huna kaz nenda china ukatengeneze hilo li sur* lako kanyagio ka kopo la chooni, umenichefua sana nashindwa hata kuchek mechi ya arsenal. Ole wenu CDM tuingie madarakan hasira utachomwa moto hadharani na jvu lako tutavutia ndumu. Hatudanganyikiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!! Ng'ooooooooooooooooooooooooo!!
<br />
<br />
Nawasi wasi na jinsia yako,hivi we waweza kuwa mwana si riziki nini?samahani lakini!
 
Back
Top Bottom