Wassira on ITV (kipindi maalum)

hivi kwa akili yako unafikiri jk na vibaraka wake (akina Wasira, RA, EL, etc) wanaitakia mema Tz? Wanaohatarisha amani ni viongozi wa ccm ambao wameweka rasiliali zetu kwa mafisadi wachache huku walio wengi wanateseka!

unaweza nipa ushahidi wowote;kashfa;au taarifa mbaya kuhusu Tyson?
nakusubili kaka.
otherwise kubaliana na mimi the Man is clean.
 
Mimi nilikuwepo pale mwanza kwenye mkutano wa hadhara wa CDM. Chadema hawakuwaomba wananchi wawaunge mkono kuiondoa serikali. Kama ingekuwa hivyo maandamano hayo yangekuwa yanaendelea hadi leo. Pamoja na hayo mbowe aliuliza wananchi wangapi wanasema tufanye kama tunisia na misri? Watu wote wakanyoosha mikono. Baadae akauliza wangapi wanasema utaratibu wa nguvu ya umma kama ule wa tunisia na misri haufai, hakuna aliyenyoosha mkono. Mwisho wa siku slaa akasema watanzania hatutaki tufika huko. Je kuuliza hayo maswali maana yake ni kuwahamasisha wananchi waing'oe serikali
 
Enzi za wanasiasa wa aina ya Wasira zimeisha pita. Huwa najiuliza ni nini kimeisibu CCM inakua na viongozi kama hawa. Naamini Mwl Nyerere angefufuka leo akaambiwa hawa ndio viongozi wa CCM angepata mstuko mkubwa! CCM imebakia na viongozi wengi waganga njaa na maslahi binafsi. Kama upepo huu wa CDM utaendelea kuvuma hivi miaka 2 ijayo,sitashangaa wengi wa hawa waganga njaa wa CCM kusikia wanaanza kuitosa. Wapo CCM ili kupata mkate. CCM ikianza kuanguka wataikimbia.
 
Kuna many valid points anaongea wasira na ni muhimu chadema kuzizingatia... tusikurupuke kuchukia kila kiongozi wa serikali anapoongea

CDM can win people's heart bila mihadhara yenye language zinaziashiria uchochezi
Tatizo lenu wana-CCM mmezoea kuongea na kusadiki uongo. Chadema wameenda kusema ukweli kwa wananchi kimewauma mpaka mmeanza kuongea uongo tena eti wanachochea chuki. Hivi wewe unatarajia kutakuwa na amani kwa watu ambao hawatendewi haki, wananyonywa huku wakijitambua, wanakandamizwa na serikali dhalimu inayotukuza ufisadi huku watu wakifa mahospitalini kwa kukosa dawa na chakula? Amani itakuwa kama kuna ubaguzi kati ya walalahoi na walionacho?
Hivi unafikiri Nyerere alipohubiri amani aliendekeza anasa za viongozi wenu wa sasa? Hebu sikiliza na utafakari hotuba ya nyerere aliyoitoa mwaka 1995 pale CCM walipokuwa wanateua mgombea wa urais ambapo hata Kikwete alikuwepo? Kwa nini Kikwete hakupata nafasi ya kuteuliwa wakati ule japo aliongoza kura kwenye duru ya kwanza? Je, unafikiri kama Nyerere angekuwa hai wakati mnateua Kikwete kuwa mgombea 2005 angekubali uteuzi wenu? Nyerere alijua kuwa kiongozi mliyenaye sasa asingeweza kuiongoza CCM na nchi kwa haki bila kuwepo ubaguzi wa kidini, kikabila, rushwa iliyokithiri n.k.
Akili ni nywele, kila mtu anazake.
Hapo Wasira anatetea kitumbua chake maana amekipata kishikaji zaidi na wala siyo kutokana na utendaji kazi wake. Tangu apewe Wizara na mshikaji wake, ni lini Wasira alikuja na jambo linaloweza kukumbukwa na watanzania kuwa amesaidia kuwaondolea umasikini kama siyo kushabikia hoja kama hizo?
 
WASIRA yuko sawa ameonyesha jinsi gani SERIKALI ilivyo makini sana kulinda nchi na wananchi wake.AMANI ya watanzania haiwezi kubinafsishwa mikononi mwa wasioitakia mema nchi yetu. kuwapa NCHI wapenda fujo ni KUMSALITI Nyerere.

pro gaddafi
 
Hata Tbc1 warudie mara mia,cdm wameshasema hawawezi kumjibu wasira,ni mdogo mno kwao. Mbowe alisema hawajibizani na "mbwa" wanamtaka "mwenye mbwa mwenyewe". Wasira anasema eti dr.slaa ana haki ya kumtukana sababu yeye wasira alimtukana sana dr.Slaa wakati wa kampeni. Huo si ujinga jamani?
 
we kijana umejuaje Wasira ni Malaya:
uliwahi kumuuzia mku** wako?
kwanza unafanana nae hapo bila shaka Mama yako alifil*** ukazaliwa.
punguza kuuza hatukuhitaji hata huku kwetu wapo.
kum**6 we!.

matusi yako nimepokea lakini elewa japo kuwa wewe ni mtoto wa fisadi sisi walala hoi nyuma haturudi,tetea wazazi wako tuu bt ipo siku ambayo mtakuwa hamna pakukimbilia.TUTAWAMALIZA NA KUBAKI NA TANZANIA YETU SAFI.
 
Wasira jana umejivua nguo mbele ya familia yako na wapiga kura wako,unakiri kwamba ulikuwa hufanyi kampeni bali ulikuwa unamtukana Dr Slaa Rais wa Moyoni!SHAME ON YOU WASIRA.
 
Hii maliasili aka nyara ya serikali sasa tutairudisha igombe ikatulie na wenzake kwenye hifadhi kwani naona haifugiki sasa...
 
TBC nao bwana, hii ni habari aloiongea siku ilke amehojiwa sasa wanakata kidogo na kuleta as if ameisema leo. Wote mazuzu tu!
 
Jamani huyu Wassira si ndiye aliyeikana CCM miaka ya 90 na kuwa mbunge kupitia NCCR? Na baada ya kuonja joto ya jiwe ya mpaka kiwanda chake cha samaki pale mikocheni kufungwa ndio akamlilia Mkapa na Kikwete akarudi CCM!! Sasa mnataka aseme nn!!?/
 
Wasira jana umejivua nguo mbele ya familia yako na wapiga kura wako,unakiri kwamba ulikuwa hufanyi kampeni bali ulikuwa unamtukana Dr Slaa Rais wa Moyoni!SHAME ON YOU WASIRA.

mie sikumtazama na wala siwezi kumtazama lkn kama alisema hivyo basi inatisha amepata faida gani kwa kumtukana dr? halafu cha kufurahisha cdm wamesema hawamjibu mie naona aendelee na matusi maana yanafana na sura yake
 
Mh. Wassira anahitaji kusoma makala ya Lula wa ndali katika Mwananchi la Jumapili ya tarehe 6 Machi 2011. Lula aliongelea kwa uzuri na katika lugha nyepesi na rahisi maana ya demokrasia. Kwa ufupi demokrasia ya kweli si kupiga kura tu kila baada ya miaka mitano bali inahusisha pia ushiriki wa wananchi katika mustakabali wa taifa.

Serikali inatakiwa isiogope au kuhamaki kile wanachofanya wanaharakati, hawa nia yao ni kuisaidia serikali kuweza kuwasaidia walio wengi.
 
Tanzania tunahitaji viongozi bora watakaotutoa kwenye haya matatizo makubwa ya kuwa na viongozi mafisadi! Umeme, maji, huduma za afya, elimu na kadhalika! Tuna madaktari wa afya, falsafa maengineer, maafisa kilimo lakini umuhimu wao umemezwa na siasa na ufisadi
 
Hivi huko hifadhi ya Gombe hawana taarifa kuwa kuna mfugo wao mmoja unaranda randa huku uraiani unaingia mpaka kwenye studio za TBC?
 
Hivi huko hifadhi ya Gombe hawana taarifa kuwa kuna mfugo wao mmoja unaranda randa huku uraiani unaingia mpaka kwenye studio za TBC?

Aloo yaani hivi?
wassira.jpg


759211749_6f6642c0f5_b.jpg
 
Back
Top Bottom