Wassira on ITV (kipindi maalum)

Wassira on ITV (kipindi maalum)

we kijana umejuaje Wasira ni Malaya:
uliwahi kumuuzia mku** wako?
kwanza unafanana nae hapo bila shaka Mama yako alifil*** ukazaliwa.
punguza kuuza hatukuhitaji hata huku kwetu wapo.
kum**6 we!.
Ni malaya wa kutupa. Kamwacha binti ya Mwl Radegonda sasa hivi ana mke wa Marehemu CB Ndege.
 
unaweza nipa ushahidi wowote;kashfa;au taarifa mbaya kuhusu Tyson?
nakusubili kaka.
otherwise kubaliana na mimi the Man is clean.
2005 Wassira alikuwa hali gani? Sasa hivi mambo yakoje? Kauza madawa ya kulevya? Usidhani unamfahamu wewe tu.
 
chadema hawana haki wala uwezo wa kuchukua madaraka, lakini wana-excite watu... amechanganya hapo, huo ndio uwezo wao

chadema wana uwezo, na uwezo wao upo katika watu, CCM should be extra careful

kuexcite watu ndio uwezo na nguvu zinazotakiwa.. yeye anafikiri kumtumia makame na Kiravu ndio sahihi?
 
halafu yule mtamngazaji alikuwa makini kweli alimbananisha kweli kweli wasira atoe msimamo wa serekali kuhusu maandamano alibaki kulia lia tu kuwa wananchi wanachonganishwa na serekali yao lakini hawezi kuyafuta hadi wao kama serekali wakose uvumilivu
 
Wassira atakuwa kwenye kipindi cha 45min kinachorushwa na ITV Kesho saa 3 usiku, mada itakuwa maandamano ya chadema
 
sasa huyu anahusika nini na maandamano ya chadema......sana sana itakuwa ni kurusha matusi ...kwa nini muandaa kipindi asiwaite chadema na akasikia kutoka kwao.
 
Waandaji wa kipindi wangekuwa waungwana na kumualika mwakilishi wa Chadema ili akapangue hoja dhaifu za yule mzee.

Ni maajabu makubwa mtu kama Wassira nae ni Waziri wa Nchi yetu. Ana jipya gani?
 
Wasira ni mchemkaji tu hana jipya bali ni lazima aoenekane anamtetea muungwana!! Thasts all he knows. Hivi ni kwa nini hajanga'atuka???
 
Hivi hawa wazee wamerogwa nini?yaani anapoteza muda na pesa za airtime 45 minutes kuzungumzia maandamano ya CHADEMA..hahaaaa kazi anayo kwa kweli ...kumbe imewauma sana ehhhh
 
Na hizi tv zinatumika kwanini wasirushe hayo maandamano then watu wajue ni maneno gani ya uchochezi yaliyotamkwa pia wamemuita kiongozi wa chadema kujibu hoja ili kubalance habari.
 
Huwa napenda kusikia maoni ya viongozi wetu wastaafu kujua mtazamo wao kuhusu mambo mbali mbali yanayojiri hapa nchini na ushauri wanaoutoa. Kuhusu Tambwe na Wassira hebu angalia hapa chini.

"Baadhi ya watu wanaokisemea chama sasa hawana historia na CCM, hawana upeo wa kujua yale wanayoyasema yanaisaidia au kukiumiza vipi chama. Hii ni kero ndani ya chama hususani kwa watu wenye uchungu wa kweli na CCM"

Frederick Sumaye, Waziri Mkuu mstaafu

Source: Majira Jumapili, 13 March 2011
 
Wameamua kumfanya Katuni hivi kwanini asifanye mjadala na viongozi wa chadema!
 
Back
Top Bottom