Hatimaye waziri wa Jk bwana Stephen Wasira kakili kuwa CHADEMA haiwezi kufa kirahisi na CCM wasibweteke na kudhani kitakufa kama walivyopanga huko nyuma na kuwaomba waangalie njia mbadala ikiwemo kumshawishi msajili wa vyama vya siasa kukifuta.
Source Gazeti Jamuhuri
Huyo ndiye Rais wenu Mtarajiwa 2015.
Chadema mnajua jamaa kwa hoja na uwezo ni kiboko yenu.
Mtaisoma namba, WASIRA FOR PRESIDENCY 2015.
Mti wenye matunda hupopolewa mawe, Chadema mkiona mtu anawapinga matusi na kashfa ndio shughuli yenu.
Bahati nzuri wenye Akili timamu na tusiotumiwa kama nyie Tunajua kuwa WASIRA ni hazina kubwa katika Nchi hii na bila Mashaka ANATOSHA KULIONGOZA TAIFA HILI KAMA RAIS 2015.
Hapo najua mumenuna lakini UKWELI ndio huo!
UKWELI una kawaida ya Kuuma, ukitulia unakuwasha mpaka utajikuna tu.
Wassira alifikiri ni rahisi kuimaliza CDM kama alivyoifanyia NCCR Mageuzi miaka ya 1990s mwishoni. Tunashukuru kama hatimaye ameanza kuelewa taratibu yamkini atasaidia kuwaelimisha pia vijana wake akina mwigulu, nape, jerry slaa, shonza, mwampamba na wengineo wenye mawazo hayo. Tunamtakia uzee mwema na maisha marefu ili aendelee kushuhudia utimilifu wa kauli yake!
Watajutia ole wao wanaoingia mknge wa hawa MAFIA wa CHADEMA.
sijaona kitu kikubwa sana kwa chadema iwepo au isiwepo ni yaleyale tu hawana sera zozote za maana.
Hatimaye waziri wa Jk bwana Stephen Wasira kakili kuwa CHADEMA haiwezi kufa kirahisi na CCM wasibweteke na kudhani kitakufa kama walivyopanga huko nyuma na kuwaomba waangalie njia mbadala ikiwemo kumshawishi msajili wa vyama vya siasa kukifuta.
Ritz, Simiyu yetu,
HAO SIO WANACCM NI WACHUMIA MATUMBO YAO NA BADO WALIFIKIRI PESA INAWEZA KUNUNUA KILA MTU MWAKANI NIMEJITOLEA BILA KULIPWA NA MTU YEYOTE NITASIMAMIA KITUO KIMOJA PESA YANGU WAWAPE VIJANA WA REDBRIGADE
Hatimaye waziri wa Jk bwana Stephen Wasira kakili kuwa CHADEMA haiwezi kufa kirahisi na CCM wasibweteke na kudhani kitakufa kama walivyopanga huko nyuma na kuwaomba waangalie njia mbadala ikiwemo kumshawishi msajili wa vyama vya siasa kukifuta.
Source Gazeti Jamuhuri
Mwadilifu ni nani Wasira ambaye alihukumiwa na mahakama 1997 kuwa mtoa rushwa hivyo akazuiwa hata kugombea ubunge kwa miaka mitano akawa muuza sangara Namanga huku akijipendekeza kwa JK na alipofunguliwa 2005 akagombea kwa rushwa tena akahonga mpinzani wake aka pita bila kupingwa kwa ujumla ni mla rushwa aliyekubuhu,sijui unabishana hata na hukumu za mahakama kuu bila kukata rufaa!? Inji hii inauzwa na majitu majinga kama weweUzushi unaoenezwa hapa JF huwa ni wa kisiasa ili kuwachafua viongozi waadilifu ambao mismamo yao haifanani na cdm, mODS kauli hii HAINA UKWELI WOWOTE maana hiyo source haina Taarifa hiyo, pia mleta mada anatamani may bekusikia kauli ya Mhe. Wasira kitu ambacho ni adimu na ghali kwake.
WASIRA,MWIGULU,NAPE na wengineo wataendelea kutesa mioyo ya cdm mpaka basi.