Kuisomea haimanishi tuiongee!!! Mbona Kuna nchi nyingi hawatumii hiyo lugha na mambo yanaenda ni ujinga tu kuamini kuongea kingereza ndo kusomaKama lugha ya wenyewe wanaisomea nini
Kiingereza ni lugha ya dunia
Ulishawahi funua vitabu vya aanafunzi sekondari na chuo?
Few Tanzanian citizens
Huu ndio uwezo wako wa Kuandika, Wewe huna uwezo wa kuongea Kiingereza, Kwa uandishi huu umesoma shule za kata
Unatafsiri kiswahili kwenda Kiingereza sio sahihi
ukisema Mtanzania au Raia wa Tanzania hakuna utofauti
ukisema huyu mkenya au Raia wa Kenya hakuna utofauti
wewe ulisikia wapi "Noun na Noun" zikafuatana
Mimi kwa kuishi kwangu kote nje lugha ya Kiingereza inapishana kwa kila mtu
Kuna wazungu wa Irish wanatamka lugha ya Kiingereza kama neno linavyoandikwa kwa mfano Food wao wanasema Foooood, Huku watu wa mjini London wanasema Fud
Hata kiswahili hakuna anayeongea kwa ufasaha hapa Tanzania, Wakenya wanatuona sisi hatuna uwezo wa kufundisha kiswahili kwa wageni au mataifa na vyuo vikubwa kwani hatujui kiswahili fasaha cha darasani
Je wewe lugha umefundishwa na mtu wa nchi gani Australia, Ireland, America au Britain
Wazungu kutoka Britain nao hawaongei lugha sahihi
Marehamu Benjamin Mkapa hakuwa mzungu lakini alikuwa anaongea lugha kwa ufasaha kwa kufuata kanuni za muundo na miundo kuliko wazungu
Mfuatilie Ben Mkapa ndio unaweza ukajifunza lugha toka kwake
Wazungu wenyewe wanaongea lugha za mitaani mfano hiyo is you coming ni kawaida sana ukiwa London kama sisi neno mambo
Kuisomea haimanishi tuiongee!!! Mbona Kuna nchi nyingi hawatumii hiyo lugha na mambo yanaenda ni ujinga tu kuamini kuongea kingereza ndo kusoma
Tanzania lugha ya Kiingereza ni mojawapo ya lugha ya taifa kiofisi sambamba na Kiswahili...Kiungereza sio kachumbari Tanzania, ni lugha ya kufundishia ambayo kwa mtu aliyefika angalau kiwango cha digree atakuwa ameitumia kwa miaka 10. Kama kilikushinda miaka hiyo yote ulikuwa unasomaje na utawezeje kazini? Hembu tumia akili zako.
Mapungufu yake unayo yasemea ni yapi?Hapana
Namuheshimu sana rais wangu licha ya mapungufu yake
Sijamtaja mtu yeyote hapo kwa jina
Mawasiliano ni mawasiliano tuu.. hakuna technical way ya kuomba chumvi au kumsalimia mtu Barabarani kiongozi... 🙂 Ni kama kujaribu kutafuta sababu ili uvae chupi kichwani na blauzi kiunoni..Kuna Technical English and Fluency English. Watu wanao soma sayansi wanatumia Technical English sana. Hivyo ukiwaingiza kwenye fluency hawatakuelewa. na wewe wakiungiza kwenye technical hutowaelewa. Watu wanaosoma arts ndio wanatumia fluency English, sana ila nao technical English holaaaa
Lack of Discipline.Kwa bahati mbaya sana, vijana wa sasa hapa Tz sio tu wanashindwa kuzungumza au kuandika Kiingereza:- Hata Kiswahili wanachoandika au kukiongea mara nyingi sana kina makosa. Ukitaka kujua tatizo ni lugha (iwe Kiswahili au Kiingereza), pitia tu mambo watu wanayoandika wanapochangia mada kwenye mitandao.
a) WENGI SANA hawawezi kutofautisha kati ya herufi L na R. Unamsikia mtu anasema "nilipokuwa nachumbia mahari ambapo mahali ilipelekwa ni kwa mjomba"
b) Ni Watanzania wengi (hata baadhi ya viongozi wanasiasa) wanasema:- "Tangia sasa...." wakimaanisha kuanzia sasa. Hawajui wangepaswa kusema "Tangu sasa", au "kuanzia sasa"
c) Wapo pia watu wengi ambao hawajui the difference between a subject and a predicate (samahani kwa kuchanganya kimombo ndani maana hata mimi yapo maneno ya Kiswahili siyajui - kwa mfano subject and predicate). Nilitaka kusema kwamba watu wengi "wanachanganya mambo" wakati wanazumgumzia mambo mawili tofuati.
Kwa mfano mtangazaji wa habari anasema:- 'Lile gari lilimgonga mtu na kufa" Maana ya mstari huu ni kwamba gari ndio lilikufa. Angetaka kusema mtu ndie kafa angesema "lori lilimgonga mtu akafa"
d) Makosa yapo mengi tu kwenye Kiswahili kinachozungumwa na baadhi ya wasomi wa Tanzania. Kosa lingine ni pale mtoa habari anaposema:- "Alipigwa risasi akaweza kufa" badala ya kusema alipigwa risasi akafa. Unaposema mtu ameweza kitu fulani una maana hicho ni kitu ambacho alikuwa anataka akipate na akajitahidi mpaka akakipata. Hivyo sio sawa kusema mtu aliyepigwa risasi aliweza kufa maana hakuwa anajitahidi kufa.
So, my question to your dear readers is this:- If we can make SO MANYA MISTAKES in Kiswahili which is our mother tongue, do you expect us to be proficient, and efficient in making utterences in a foreign language? No way ! CIAO !
Acha kutetea ujinga, Kiingereza ni majanga kwa graduates...Kuna Technical English and Fluency English. Watu wanao soma sayansi wanatumia Technical English sana. Hivyo ukiwaingiza kwenye fluency hawatakuelewa. na wewe wakiungiza kwenye technical hutowaelewa. Watu wanaosoma arts ndio wanatumia fluency English, sana ila nao technical English holaaaa
Sio kila mtu anaenda kusoma Semantic chuoni bro au English structure au Language morphology na phonology au phonetics.Inakuwaje msomi ama graduate wa chuo kikuu aliespend miaka kama minne chuo kikuu na ana degree,masomo yake yote ni kiingereza tupu anafanikiwa kugraduate, lakini ukimwongelesha kiingereza haelewi
Akiamua yeye sasa Hata kuandika ujumbe kwa kiingereza anashusha broken ya hatari hadI unashangaa?
Wengine wamefanikiwa kupata kazi kabisa unakuta bonge la engineer from ardhi university English mbovu mkichat yuko kwenye bonge la kampuni
Mbaya zaidi graduate kamaliza chuo few days anaambiwa andika barua ya kuomba internship anaweweseka..Mara nipe google..maelezo yake binafsi yanamshinda kujieleza kwa kiingereza anatafuta CV za wengine akopi.sasa najiuliza huyu mtu kafanikiwa kumaliza successful report zake aliandikaje?kama kiingereza cha kuandika anababaika presentation alihudhuriaje akapata marks
Research zake?
Au ndo wale wa kukariri? Sawa basi hata kama kukariri unashindwa kujifunzia hapo mpangilio wa grammar.
Boss mzima ananitext "is you coming or no"
Kiingereza nacho ni kipaji?
Unajia kizungu au unajifanya unajua?Kwakweli..
Ila mbona Mimi nimepata kujua kiingereza fasaha kupitia shule ya msingi tena enzi za mkapa..na sio mhitimu chuo kikuu
Kuna uhusiano gani kati ya mtu Na mtu kwenye ubongo wake?
Waziri na mwalimu?
Modern slave uyo.Colonization of the mind Mimi nadhani wewe uliyepost uzi huu ndo mtumwa angeshindwa kuongea kiswahili vizuri tungemshangaa ila kingereza!!!!!
[emoji2772]What you had to do was to correct me in that case, Had you done so, I would detect your English prowess.