Wasomi na kiingereza

Well that's is good question.


Ktk hoja yng uliyo inukuu nimeongelea upande mmoja tu wa waalimu kutokuelewa hii lugha lkn pia upande wa pili ata wanafunzi nao hawana ile hali ya kujiendeleza na kutafuta maarifa zaidi na mbinu mbali mbali ktk lugha. Maana mwalimu anaweza kukufundisha msingi wa lugha na nyakati na vitu vingine kwa mfano. Huo ni msingi amekupa then mambo mengine unapaswa kujiendeleza mwenyewe... Kwahiyo kuna shida ktk pande zote mbili. Sasa kwa hao unao waona wako vzr ni wale wenye juhudi na walio tumia hizo misingi ya lugha vzr walizopewa na waalimu wao.
 
wewe ndio huwezi madokta wanaokutibu wamesoma kwa lugha gani? Pamoja na kwamba hawajui kiingereza vizuri ukienda hospitali wanashindwa kukutibu? Au wewe unazungumzia ujuzi gani labda.
 
Mpaka hapo mkuu hauoni kuwa waalimu si tatizo tena bali ni suala la juhudi ya mwanafunzi mwenyewe? Na ndio maana wanafunzi wengine wameweza kukijua vizuri tu kiingereza,au athari ya hao waalimu ambao nao hawajui kiingereza ni ipi katika kumfanya mwanafunzi asijue kiingereza?
 
wewe ndio huwezi madokta wanaokutibu wamesoma kwa lugha gani? Pamoja na kwamba hawajui kiingereza vizuri ukienda hospitali wanashindwa kukutibu? Au wewe unazungumzia ujuzi gani labda.
Siwezi Nini Tena?🤔
 
Mtego wako Mokaze hauondoi tatizo la waTz wengi kukwama kiingereza.

Sababu tuafanya siasa kwenye elimu ya msingi, na kungangania kujifunzia kiswahili. Wakati tukijua lugha ya soko ni English
 
Tatizo ni waalimu mkuu. Maana waalimu ktk ufundishaji wao hawawezi kwenda mbali zaidi maana nao hawana msingi mzuri wa lugha na wanachofanya ni kufundisha kanuni zilizopo ktk vitabu tu na si kwenda mbali zaidi nje ya kanuni na mafanunuzi kutoka ktk vitabu.
 
Hao sidhani kama wanasoma kwa kutumia English.
That's why hawawezi kumudu English hivyo hakuna cha ajabu.

Cha ajabu ni yule anayesoma kwa kutumia English for 6 or 10 years lakini anatoka mweupe.

Hapo lazima kuwe na tatizo linalohitaji solution na sio kutafuta justifications ili kujipa faraja.

Na hakuna tatizo kujua lugha zaidi ya moja maybe kama una plan za kuishi Tanzania milele.
 

Wewe umeenda shule kweli? Nauliza tu kwa heshima.
 

Bongo ni kupoteza muda tu,,,,wavulana wengiwao hawajatulia uhuni uhuni na wengine kubebeshwa mimba na kuishi kama mke na mume tena hapo hostels,, wengine wametelekezwa na mabwana wao. Unategemea nini hapo!!!!!!!! Watu weusi wengiwao co watu wa shule,,,
 
Kiingereza ni Lugha tuu... Maarifa hayana Kabila dini wala lugha.. wewe ukijua engine inafanyaje kazi ..kwa kifupi umejua... ueleze kwa kijapani kwa kiingereza au Kisukuma unaelezea namna engine inavyofanya kazi periodt.
Nice.

Sasa tatizo sio kwamba English ni lugha tu.
Bali tatizo English ndio lugha inayotumika kimataifa.
Kuna wachina wanakuja hapa kila siku, na uwezo wao wa kuongea kiswahili ni sifuri na uwezo wao wa kuzungumza kiingereza ni zero.. ila wanakuja na wanatalii na kurudi kwao... Maswala ya wakalimani hayajaanza leo na hayataisha leo
So unadhani ni kawaida kwa mtu kutumia almost 10 years kujifunza kwa English then anatoka mweupe kwenye English.

Sababu wachina hawawezi kumudu English wala kiSwahili na wanatumia wakalimani.

Wachina hawatumii English wala Kiswahili kwenye mifumo yao hivyo hakuna cha ajabu wao kushindwa kumudu Kiswahili wala English.
Ila ingekuwa ajabu wao kushindwa kumudu kichina.

Na mkuu watanzania sio wachina.
Well mpaka leo bado kuna watu hawajaweza kumudu Kiswahili.
If you name 3nations that has become successful kwa kuendekeza mapokeo nitakuelewa... Maana I can guarantee you there is none
Mapokeo kivipi kama wao ndio walichangia kwenye uanzilishi?
Well hapo blame mfumo wa elimu.
Na kama ni hivyo hata ukibadilisha tusome masomo yao kwa Kiswahili still itakuwa umbea as you said.
Sababu hutoweza kuapply hayo kivyovyote vile.

English ni essential kwenye ulimwengu wa sasa hizo sababu nyingine hazina mashiko.
Achana na umuhimu wa English duniani.

Haimake any sense mtu atumie 10 years kujifunza kwa English then atoke mweupe.
hilo ni tatizo linalohitaji solutions na sio justifications.
Kama wameshindwa kujifunza na kuitumia lugha tu then hata ukiweka Kiswahili sidhani kama wataweza kutumia hayo maarifa kama lugha tu imewashinda.

Definitely something is wrong.
 
Ndio maana nimekuambia kuandika kiingereza sio kazi kwasababu wanasoma vitabu vya kiingereza hivyo kujibu maswali sio tatizo. Hata mitihani ingetungwa uingereza na kuletwa hapa wangefaulu tu.

Rejea professor Ndalichako kasoma hadi nje Canada if I'm not mistaken na wazungu wamempa PHD, it means presentation, ila ukisikia kiingereza chake ni kibovu sana. Hapo unajifunza wenzetu wanaangalia 'content' sio kiingereza kizuri.

Na huo ushamba ndio unawaponaa wazazi wetu kupeleka watoto shule za English medium ili waongee kiingereza kizuri na kichwani hamna kitu. Wasomi wa Tz badilikeni
 
Jamaa wa ng'ambo ya magharibi wameishachafua sana fikra za baadhi ya watu wa kizazi hiki!!!Tuna kazi ya kutosha kuwanyoosha hawa jamaa zetu baadhi!!!
Sana, yaani hata wazazi huku mitaani wanatafuta ada kubwa kupeleka watoto kwenye hizo wanazoziita 'intaneshno skuli' ili watoto waongee kiingereza kizuri bila kujali 'kontenti' kama ipo kichwani au la.

Ulaya pale pale kuna nchi kama Italy, Spain portugal nk hawajui kabisa kiingereza sijui Tz tunapapatika na nini!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…