Chipolopolo
JF-Expert Member
- Feb 14, 2012
- 1,432
- 746
Tatizo unadhani unaishi sayari ambayo wengine hawawezi kufika.yaan ni hivi kuna lugha ya wote ,na kuna lugha wanaelewa watu wa fani husika, ambozo ndizo zina fundishwa kwenye fani nyi ngi za science. Mfano nikisema "R commender" umelewa nini hapo?
Mkuu unataka kusema sasa hivi hatujifunzi Kiswahili?Umesema vitu vingi. Lakini nadhani unachokosa ni picha pana tu ya umuhimu wa kujifunza kwa lugha yako.
Utamaduni ukipanuka uhitaji wa bidhaa za kiswahili unakuwa
Well if it was that easy kwa muda wote huo uliopita basi leo tungekuwa tayari na bidhaa zetu ambazo zipo nje.Mfano kupanuka kwa kiingereza kumefanya watanzania na dunia kufurahia Filamu za kiingereza ..maana wanaelewa.
Well mkuu tunaongelea English.Wanaojifunza lugha ukubwani ni wengi.. hakuna mtu aliyesoma kichina toka akiwa mdogo nchi hii ni leo tuna wakarimani lukuki wa lugha ya kichina.. simply kwa sababu ya uhitaji.. wapo Watu wanazungumza kiarabu na mie nimejifunza kihehe na kisukuma ukubwani. Hiyo sio kazi ni interests .
Mkuu.Swala la communication ni swala la kuhitajika. Kama huna unachoweza kunivutia niwasiliane na wewe, then tusiwasiliane... Ila ukiwa na chochote kitakachofanya tuhitajiane naamini tutawasiliana.. bila kuwa na sababu ya kuwasiliana kujua lugha hiyo ya kizungu ni umbea tu. Maana hakufanikishi lolote.
Well wewe ndio umesema hivyo.Kuongea kiingereza hakukufanyi miraculously smart.. na wala hakukufanyi uwe mvumbuzi..
Your arguments are kinda 2+2=4..Mkuu unataka kusema sasa hivi hatujifunzi Kiswahili?
Na mimi sijasema Kiswahili hakina umuhimu
Simaanishi kujifunza kwa Kiswahili ni kitu kibaya kama ulivyodhani. kama ni hivyo hata masomo tunayosoma siyo yetu vilevile so tuache kutumia masomo or maarifa yao as you said.
Sisi tumecopy tu or tuanzishe masomo yetu then tukijifunza kwa lugha za wengine well that would be strange.
Well if it was that easy kwa muda wote huo uliopita basi leo tungekuwa tayari na bidhaa zetu ambazo zipo nje.
Well mkuu tunaongelea English.
Ambayo mtu anasoma na kujifunza for 6 years na hakuna kitu.
So unataka kusema kiingereza hakina uhitaji au umuhimu Tanzania?
Na mimi sijasema kujifunza lugha ukubwani haiwezekani bali nimesema ni rahisi kwa mtoto mdogo kujifunza lugha na kuelewa pia kuiweza kuimudu kuliko kwa mtu mzima.
Mkuu.
Shule wanatumia hicho kiingereza kufundisha kama hujui then tegemea kufeli au ufaulu kwa kukariri then ushindwe kutumia ulichosoma kwa kutumia miaka kibao kukisoma alafu hujui cha kufanya baada yakumaliza zaidi ya kupata ajira.
Huo ni mfano mmoja wapo mdogo tu wa umuhimu wa kiingereza kwa mtu wa kawaida.
That's why nikasema labda English haina umuhimu kama umeplan kujifungia Tanzania tu maisha yako yote. even ukijifungia Tanzania bado utahitaji kutumia English kwenye simu, laptop internet even kuangalia movie nk.
Even jf wanatumia English.
Mpaka hapo utasema kujua English ni kilele na ni umbea tu sababu hakuna wa kuwasiliana nae?
Pia sijasema kujua English ni kufanikiwa bali ni essential kwa mtu anayejitambua kwanini yupo duniani.
Achana na kutumia tu au umuhimu wake bali ni fun kujua lugha zaidi ya moja.
Najifunza kifaransa japo sidhani kama nitakitumia but it's just fun to learn.
Na sio kwamba ni umbea or kelele sababu nobody cares.
Well wewe ndio umesema hivyo.
Mimi sijasema kutumia au kuongea kiingereza inakufanya uwe miraculously smart na uwe mvumbuzi. Hapana.
Utasema hivyo hiyo only kama mindset yako inadhani hivyo or kama huwezi au hajui kutumia lugha nyingine.
Or ile inferiority ya africans juu ya vitu wasivyoviweza so watafanya kila njia kufanya kile kitu kiwe si chochote kwao ili kupata justification yao wao kushindwa kufanya kitu hicho.
Ila hakuna cha ajabu hapo.
And they're lucky sijawalaumu wao kushindwa kumudu English bali nimelaumu mfumo sababu msingi ni mbovu na sio kwamba wao hawana akili.
Btw wao kushindwa kumudu English it's not my problem.
I still believe kila mtu anauwezo sawa tatizo ni msingi wa mtu huyo unadetermine huyo mtu atakuwa.
Nilichosema ni kwamba kiingereza ni essential sababu ni lugha ya kimataifa.
Kibiashara.
Ushirikiano na mataifa mengine kitechnology nk.
Well even kutobambikiwa mikataba na kuibiwa kizembe.
Hayo ni machache yum
That's why I said English ni essential kwenye ulimwengu wa sasa na sio kwamba Kiswahili si chochote or hakina umuhimu or kujua kuongea English kunakufanya uwe miraculously smart na mvumbuzi or anything kind of that.
Kiingereza ni essential kwenye ulimwengu wa sasa.
Unajua maana ya unachookiita "technical English" ?Kuna Technical English and Fluency English. Watu wanao soma sayansi wanatumia Technical English sana. Hivyo ukiwaingiza kwenye fluency hawatakuelewa. na wewe wakiungiza kwenye technical hutowaelewa. Watu wanaosoma arts ndio wanatumia fluency English, sana ila nao technical English holaaaa
Hivi ukiwa na akili unakuaje ?Kwani kujua kingereza ndo kuwa na akili????
Mmh! 🙂 Tusubiri majibu.Hivi ukiwa na akili unakuaje ?
Ambao awaja somea fani hizo za science ni ngumu kuelewa....Tatizo unadhani unaishi sayari ambayo wengine hawawezi kufika.
Kwahiyo hapo wewe unadhani hiyo ni "rocket science" ambayo inanishangaza mimi hadi nikuone wewe ni mfano wa Isaac Newton au Albert Einstein?
Usijifiche kwenye kichaka Cha sayansi Kama jpm ambaye lazima aanze na kudefine catalyst anapotaka kuongea ngeliKuna Technical English and Fluency English. Watu wanao soma sayansi wanatumia Technical English sana. Hivyo ukiwaingiza kwenye fluency hawatakuelewa. na wewe wakiungiza kwenye technical hutowaelewa. Watu wanaosoma arts ndio wanatumia fluency English, sana ila nao technical English holaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mi nikiongea kingereza huwa najing'ata ulimi daktari kanikataza
Mnamuonea sana john wetu"We have to focus according our direction.."
Mwana JF hili la 'kiinglishi' tumelisikia na lawama zote kwa John
😆😆 Hao ndio ma boss wenu ?Inakuwaje msomi ama graduate wa chuo kikuu aliespend miaka kama minne chuo kikuu na ana degree, masomo yake yote ni kiingereza tupu anafanikiwa kugraduate, lakini ukimwongelesha kiingereza haelewi
Akiamua yeye sasa Hata kuandika ujumbe kwa kiingereza anashusha broken ya hatari hadI unashangaa? Wengine wamefanikiwa kupata kazi kabisa unakuta bonge la engineer from ardhi university English mbovu mkichat yuko kwenye bonge la kampuni
Mbaya zaidi graduate kamaliza chuo few days anaambiwa andika barua ya kuomba internship anaweweseka..Mara nipe google..maelezo yake binafsi yanamshinda kujieleza kwa kiingereza anatafuta CV za wengine akopi.sasa najiuliza huyu mtu kafanikiwa kumaliza successful report zake aliandikaje?kama kiingereza cha kuandika anababaika presentation alihudhuriaje akapata marks
Research zake?
Au ndo wale wa kukariri? Sawa basi hata kama kukariri unashindwa kujifunzia hapo mpangilio wa grammar.
Boss mzima ananitext "is you coming or no"
Kiingereza nacho ni kipaji?
😆😆 Hao ndio ma boss wenu ?Inakuwaje msomi ama graduate wa chuo kikuu aliespend miaka kama minne chuo kikuu na ana degree, masomo yake yote ni kiingereza tupu anafanikiwa kugraduate, lakini ukimwongelesha kiingereza haelewi
Akiamua yeye sasa Hata kuandika ujumbe kwa kiingereza anashusha broken ya hatari hadI unashangaa? Wengine wamefanikiwa kupata kazi kabisa unakuta bonge la engineer from ardhi university English mbovu mkichat yuko kwenye bonge la kampuni
Mbaya zaidi graduate kamaliza chuo few days anaambiwa andika barua ya kuomba internship anaweweseka..Mara nipe google..maelezo yake binafsi yanamshinda kujieleza kwa kiingereza anatafuta CV za wengine akopi.sasa najiuliza huyu mtu kafanikiwa kumaliza successful report zake aliandikaje?kama kiingereza cha kuandika anababaika presentation alihudhuriaje akapata marks
Research zake?
Au ndo wale wa kukariri? Sawa basi hata kama kukariri unashindwa kujifunzia hapo mpangilio wa grammar.
Boss mzima ananitext "is you coming or no"
Kiingereza nacho ni kipaji?
Kuna Technical English and General Fluency English. Watu wanao soma sayansi wanatumia Technical English sana. Hivyo ukiwaingiza kwenye General fluency hawatakuelewa. na wewe wakiungiza kwenye technical hutowaelewa. Watu wanaosoma arts ndio wanatumia General fluency English, sana ila nao technical English holaaaa
tofautisha hapa mtu anayesoma BA ya History and Development Studies na mtu anayesoma BSc Mathematics and Statistics ni yupi anatumia English language sana.Unachojaribu kusema hapa Ni kwamba,kama unasoma Kwa mfano Engineering , Mwalimu akiingia darasani yeye huanza kukariri principles,Na kutaja just technical terms without the necessary semantics and syntaxes of the language of instruction?let's stop justifying certain issues in such a fashion,kama ungesema most engineers are not good in expressing certain issues or in maybe chitchat ningekubali,but falling in semantics and the syntax of any language that you communicate in is wrong.
Ukitaka kumtumia mtu ujumbe you don't send them the letters of the alphabet or words from the dictionary,no,you compose a coherent message.
Sasa hao waliyomaliza chuo halafu hawako fluent,unaweza kusema ni nini tatizo?Umetunga uongo mtupu kutetea mauzauza. Maana ya fluency English ni uwezo wa kuongea na kuandika Kingereza sahihi, kilichonyooka kwa urahisi. Kila mtu aliyesoma na kumaliza chuo kwa Kingereza anapaswa awe fluent bila kujali amesoma sayansi, biashara, arts
Ile BA haina technical terms?,Ile Bsc.Maths wantumia numbers Na signs Pekee,we are talking of coherent and lucid thinker with years of formal learning and with a well defined language of instruction.tofautisha hapa mtu anayesoma BA ya History and Development Studies na mtu anayesoma BSc Mathematics and Statistics ni yupi anatumia English language sana.