Wasiostahili kurudi bungeni 2010

Hawa ni baadhi tu ya wabunge wanao onekana kutofaa mwakani, feel free kuongeza majina mengine au kukosoa kwamba fulani asiwepo kwenye list hii.

1. Gideon Cheyo- Ileje.
2. John Chilligati - Manyoni.
3. Chitalilo - Buchosa [ do i need to say why for this guy? ]...lol.
4. Zainab gama - Kibaha.
5. Kapuya - Urambo.
6. John Komba- Mbinga West.
7.Ligalama Casto- Kilombero.
8. William Lukuvi - Isman.
9. Pombe Magufuli - [ just kidding...]
10. Ritha Mlaki - Kawe.
11. Lau Masha - Nyamagana. [ the guy is too quite on mafisadi issue ]
12.Benson Mpesya - Mbeya Mjini.

Mapambano yetu tueleze bungeni sasa, bunge likiwa "rubber stamp" ya mafisadi hatufiki popote.

Why kidding? kwani ubunge ni ajira kuwa mtu anatakiwa kuwa mbunge mpaka retirement age or mpaka ajisikie kupumzika? Yes anaweza kutorudi kama raia jimboni kwake wataamua iwe hivyo.
 
Hawa ni baadhi tu ya wabunge wanao onekana kutofaa mwakani, feel free kuongeza majina mengine au kukosoa kwamba fulani asiwepo kwenye list hii.

1. Gideon Cheyo- Ileje.
2. John Chilligati - Manyoni.
3. Chitalilo - Buchosa [ do i need to say why for this guy? ]...lol.
4. Zainab gama - Kibaha.
5. Kapuya - Urambo.
6. John Komba- Mbinga West.
7.Ligalama Casto- Kilombero.
8. William Lukuvi - Isman.
9. Pombe Magufuli - [ just kidding...]
10. Ritha Mlaki - Kawe.
11. Lau Masha - Nyamagana. [ the guy is too quite on mafisadi issue ]
12.Benson Mpesya - Mbeya Mjini.

Mapambano yetu tueleze bungeni sasa, bunge likiwa "rubber stamp" ya mafisadi hatufiki popote.

- Majungu matupu wasirudi ili aingie nani, wewe? Yaaani sasa mnaweza kuwachagulia wananchi nani aongoze majimbo yao? Acheni majungu haya, wananchi wa majimbo ndio wanajua nani anawafaa, labda muongelee majimbo yenu ambayo huwa mnapigia kura, kama kweli huwa mnapiga kura!

- Halafu mtutajie wabunge wanaofaa na walichofanya!

FMEs!
 
John Malecela- Mtera.

- Mkuu Uwiano jimbo la Mtera bado tunamuhitaji sana mbunge wetu, kama una ubavu njoo na wewe ugombee naye, otherwise acheni majungu, sisi wananchi wa hayo majimbo ndio tunaojua nani anatufaa, mmeshindwa kuchagua rais anayefaa leo eti mna ubavu wa kutuchagulia wabunge, acheni hizo mkuu chukua fomu kama una ubavu!

FMEs!
 
Anna Kione Kilango Malecela-Same Mashariki. jimbo la Same Mashariki liko nyuma kuliko majimbo yote katika mkoa wa Kilimanjaro. Same Mashariki iko nyuma ktk elimu,afya,maji,mazingira,misitu,kilimo,barabara.
- Mkuu jaribu kuwa na jipya maana sasa umeanza kupitwa na wakati na hizi sumu zako, vipi General Mboma anafaaa au? Bwa! ha! ha!

FMEs!
 
FMES,

Mtu anakuwa mbunge miaka zaidi ya 30 na sasa ana umri wa miaka 75 na ni mzee tayari: si hekima akapumzika tu kama Kawawa au Warioba?

Eti: wananchi wanawahitaji: ni kweli?????????????? Wananchi gani wenye uelewa upi??
 
Teh teh teh teh mtu wa miaka 75 hata kufikiri hawezi apishe vijana ale pension yake bana...
 
Mh Luhahula, Emmanuel Jumanne wa Bukombe huyu naye aende zake hajawahi uliza swali kwa miaka yote kusinzia tu...
 
FMES,

Mtu anakuwa mbunge miaka zaidi ya 30 na sasa ana umri wa miaka 75 na ni mzee tayari: si hekima akapumzika tu kama Kawawa au Warioba?

Eti: wananchi wanawahitaji: ni kweli?????????????? Wananchi gani wenye uelewa upi??

- Mzalendohalisi kwa nini usiongelee jimbo laKo, ninakwambia hivi kwenye jimbo letu la Mtera, huyu mbunge akiondoka tu tumekwisha, sasa msituletee matatizo yenu ya siasa zenu huko Mbeya, sisi Dodoma hatuna matatizo halafu naomba unisaidia sheria iansema nini kuhusu umri wa uongozi?

- Kwani wewe una uelewa upi huo ambao umetufanya tukawa na rais tuliyenaye sasa, wewe una uelewa mkubwa sana tilipataje huyu rais? Muwe mnafikiri kavbla ya kuandika hapa JF!

Sina neno Mkuu! Hoja yangu ni ili basi angalua awe na mda wa kula pensheni yake ya Uwaziri Mkuu na VP!

Hiyo ndo heshima ya kuwa mzee! Na anabakia tu na jukumu la ushauri!

sasa hiyo pensheni ataila lini Mkuu???
 
Teh teh teh teh mtu wa miaka 75 hata kufikiri hawezi apishe vijana ale pension yake bana...

- Acha matusi mkuu, Mtera bado tunamuhitaji sana, kama mnazo akili za kujua kiongozi anayefaa basi tusaidieni rais anayefaa, otherwise kaeni msubiri tuwachagulieni tunaopiga kura kila uchaguzi unapokuja!

- Mimi baba yangu ni mzee wa miaka 75 na ana akili zake kama kawaida, inawezekana baba yako baada ya kufikia umri huu ameishiwa akili kutokana na kukosa matunzo na maisha yetu ya bongo pole sana sio wazee wote wako kama wa kwako mkuu, Bwa! ha! ha! ha! maana huwezi kusema bila ya kuwa na mfano wa karibu bwa! ha! ha!

FMEs!
 
- Mkuu Uwiano jimbo la Mtera bado tunamuhitaji sana mbunge wetu, kama una ubavu njoo na wewe ugombee naye, otherwise acheni majungu, sisi wananchi wa hayo majimbo ndio tunaojua nani anatufaa, mmeshindwa kuchagua rais anayefaa leo eti mna ubavu wa kutuchagulia wabunge, acheni hizo mkuu chukua fomu kama una ubavu!

FMEs!

Atupishe huko, kachoka, uwezo wa kufikiri umepungua, sijui ile shughuli nyingine kama bado anaperform.

Mkuu wangu, subiri muda wa kuchukua form ndio utajua nani atachukua form Mtera. Huna moral authority ya kusema eti watu wa Mtera bado tunamhitaji. Nikiwa kama Mwanamtera, nasema huyu mzee aachie ngazi. Malecela hawezi tena, akili imesha wear-out, ajiuzulu asisubiri kuja kugaragazwa.
 
Mbona na wewe kama unaongeleawenzako? Mna muhirtaji wananchi wa jimbo lako wame kuomba uwasemee? Kwanza wabunge wakisha ingia bungeni wana tetea maslahi ya taifa zima siyo ya majimbo ya tu kwa hiyo kila mwananchi ana haki ya kuongelea jimbo lolote analo taka.
 
- Acha matusi mkuu, Mtera bado tunamuhitaji sana, kama mnazo akili za kujua kiongozi anayefaa basi tusaidieni rais anayefaa, otherwise kaeni msubiri tuwachagulieni tunaopiga kura kila uchaguzi unapokuja!

- Mimi baba yangu ni mzee wa miaka 75 na ana akili zake kama kawaida, inawezekana baba yako baada ya kufikia umri huu ameishiwa akili kutokana na kukosa matunzo na maisha yetu ya bongo pole sana sio wazee wote wako kama wa kwako mkuu, Bwa! ha! ha! ha! maana huwezi kusema bila ya kuwa na mfano wa karibu bwa! ha! ha!

FMEs!
Kwani na wewe haupigi kura kuchagua raisi? Tuku chagulie raisi anaye faa we unashindw nini kumpigia kura mtu anayefaa kuwa raisi?
 
FMES,

Sina neno Mkuu! Hoja yangu ni ili basi angalua awe na mda wa kula pensheni yake ya Uwaziri Mkuu na VP!

Hiyo ndo heshima ya kuwa mzee! Na anabakia tu na jukumu la ushauri!

sasa hiyo pensheni ataila lini Mkuu???

- Ubunge wa Malecela unakutatiza vipi mkuu ni muda sasa umeshupalia haya vipi amekuchukulia mkeo nini, maana hapa ni wewe na Bangusule kila kukicha mna tatizo na Mzee na mkewe huenda mna serious problem lisemeni tunaweza kuwasaidia maana sijawahi ona hii obsession, kama ni ubunge ni sisi wa jimbo lake ndio tunajua faida ya kuwepo kwake jimboni kwetu!

- Pension amekuwa akiila kwa muda mrefu sana sasa ndio maana siku zote yuko majuu, au huko majuu kuna bunge la Tanzania? Sasa hivi yuko njiani kwenda London na US, majuzi alikuwa Nairobi kushirki mkutano wa ma-chancellor wote wa EAC, si unajua ni Chancellor wa Open University kwa hiyo mkuu hiki kikorosho kitakukwama maana haendi kokote mkuu! Bwa! ha! ha!

- Ungekwua unawajali wananchi wa Mtera, basi usingekwua na chuki na huyu mzee, acha ubinafsi, halafu naomba tutajie mbunge anayefaa?

FMES!
 
- Mkuu Uwiano jimbo la Mtera bado tunamuhitaji sana mbunge wetu, kama una ubavu njoo na wewe ugombee naye, otherwise acheni majungu, sisi wananchi wa hayo majimbo ndio tunaojua nani anatufaa, mmeshindwa kuchagua rais anayefaa leo eti mna ubavu wa kutuchagulia wabunge, acheni hizo mkuu chukua fomu kama una ubavu!

FMEs!
majungu gani banawee kafanya nini mzee yule hana dira kaishiwa sera hana jipya..akapumzike 75 yrs ni umri wa yeye akae na wajukuu zake hana jipya jimboni.....
 
- Majungu matupu wasirudi ili aingie nani, wewe? Yaaani sasa mnaweza kuwachagulia wananchi nani aongoze majimbo yao? Acheni majungu haya, wananchi wa majimbo ndio wanajua nani anawafaa, labda muongelee majimbo yenu ambayo huwa mnapigia kura, kama kweli huwa mnapiga kura!

- Halafu mtutajie wabunge wanaofaa na walichofanya!

FMEs!

Kaongea kama mpiga kura. Ana haki ya kumchagua yoyote. Haja kulazimisha uwa pigie au usi wapigie kura. Na pia akasema kama unaona anayefaa kuwa kwenye lisy na hakuwekwa useme na kama kuna unaye ona hakutakiwa kuwekwa kwenye list useme. Sasa majungu yako wapi?
 
Atupishe huko, kachoka, uwezo wa kufikiri umepungua, sijui ile shughuli nyingine kama bado anaperform.

Mkuu wangu, subiri muda wa kuchukua form ndio utajua nani atachukua form Mtera. Huna moral authority ya kusema eti watu wa Mtera bado tunamhitaji. Nikiwa kama Mwanamtera, nasema huyu mzee aachie ngazi. Malecela hawezi tena, akili imesha wear-out, ajiuzulu asisubiri kuja kugaragazwa.

- Ni maneno ya chuki za mtaani hayawezi kutusaidia Mtera, pole sana tutamchagua tena na nitakukumbusha hapa hapa mkuu! Sasa hiyo authority ya kuwaongelea wananchi wa Mtera wewe umepewa na nani mkuu?

- Malecela anaweza kugombea hata akiwa na miaka 100, maana sheria yetu inaruhusu, ninakujibu kuku-entertain tu maana naona hakuna ishu ya muhimu hapa leo ndio maana tuko kwenye haya. Bwa! ha! ha!

- Ya kutukana umri unajishuhsa hadhi tu kwani baba yako anashirki American Idol mkuu? Kumbe baba yako amesihiwa akili baada ya kufikia huo umri sasa unafikiri ni wote? Bwa! ha! ha!

FMEs!
 
- Mzalendohalisi kwa nini usiongelee jimbo laKo, ninakwambia hivi kwenye jimbo letu la Mtera, huyu mbunge akiondoka tu tumekwisha, sasa msituletee matatizo yenu ya siasa zenu huko Mbeya, sisi Dodoma hatuna matatizo halafu naomba unisaidia sheria iansema nini kuhusu umri wa uongozi?

- Kwani wewe una uelewa upi huo ambao umetufanya tukawa na rais tuliyenaye sasa, wewe una uelewa mkubwa sana tilipataje huyu rais? Muwe mnafikiri kavbla ya kuandika hapa JF!

FMEs!
mkuu naona na wewe akili zako zinaanz akugota mwisho......kwa hiyo akifa leo inakuwaje? malecela kachoka bana ile press yake na wandishi wa habari pumba alizoongea ni kidhibitisho tosha kuwa hana jipya.....
 
- Ubunge wa Malecela unakutatiza vipi mkuu ni muda sasa umeshupalia haya vipi amekuchukulia mkeo nini, maana hapa ni wewe na Bangusule kila kukicha mna tatizo na Mzee na mkewe huenda mna serious problem lisemeni tunaweza kuwasaidia maana sijawahi ona hii obsession, kama ni ubunge ni sisi wa jimbo lake ndio tunajua faida ya kuwepo kwake jimboni kwetu!

- Pension amekuwa akiila kwa muda mrefu sana sasa ndio maana siku zote yuko majuu, au huko majuu kuna bunge la Tanzania? Sasa hivi yuko njiani kwenda London na US, majuzi alikuwa Nairobi kushirki mkutano wa ma-chancellor wote wa EAC, si unajua ni Chancellor wa Open University kwa hiyo mkuu hiki kikorosho kitakukwama maana haendi kokote mkuu! Bwa! ha! ha!

- Ungekwua unawajali wananchi wa Mtera, basi usingekwua na chuki na huyu mzee, acha ubinafsi, halafu naomba tutajie mbunge anayefaa?

FMES!

Haha ha ha!

1. Kaazi kweli kweli! Yaani mtu ukimwongelea Tingatinga na Kilango FMES ndo utamfahamu his true colours!

2. sasa hayo ya Nairobi na safari za UK au US nani kakuuliza??
 
Last edited:

Similar Discussions

Back
Top Bottom