Wasiostahili kurudi bungeni 2010

jina la mbunge:hafidh ali tahir
jimbo lake:maungani
chama chake:ccm
muda aliokaa bungeni:1 term
sababu za kukatalika kwake hana jipya bora arudi urefaree kama cambell arsenal.
mtupu kazinikichwani hana jipya alilofanya tokea alipokuwa mwakilishi jimbo la rahaleo
nashangaa znz tuna wabunge na wawakilishi lkn matokeo yake hakuna maendeleo hawa watu wanalipwa kufanya kazi gani.
hafidh nadhani elimu yake ni form 4.

Jamaa ni mbumbumbu hata ikitokea kuchangia hutoka nje ya mada, kama mjadala unaelekea Kaskazini yeye ataelekea Kusini
 
Jina la Mbunge:Makongoro Mahanga
Jimbo lake:UKONGA
Chama Chake:Chukua Chako Mapema
Muda aliokaa bungeni(ikiwezekana sio umri please):Misimu miwil
Sababu za kukataa kurudi kwake:
-Anaunga mkono ufisadi na hajafanya chochote.
-Angalia barabara ya Ukonga Mombasa kwenda Mazizini na Ukonga Barabara za Banana.
-Angalia maisha ya watu wa Gongo la Mboto yalivyo ya hovyo.
-Hakuwatetea kabisa wakazi wa Kipawa.
-Angalia huduma za afya jimboni kwake zilivyo bomu-hakuna hata hospitali moja ya maana.

Naunga mkono.
sababu: Anadharau kwa wapiga kura wake na kutoa ahadi ambazo huwa atekelezi katika harambee za kuchangia maendeleo jimboni kwake
 
jina:Mh.Edo Lowasa
jimbo: Monduli
Chama : CCM
Sababu: Mwizi ametuibia mabilioni wa Tz kutokana na kashafa lake zito la Rich Monduli
 
jina:Kingunge Ngoma ya Mbali Mwitu
Jimbo: Ikulu
chama:CCM
sababu:Hana sera wala mchango wowoe kwa maendeleo ya Nchi yetu zaidi ya kueneza propaganda za CCM na kutetea mafisadi
 
jina:Jepesi Kabwela
Jimbo:Kigoma huko
chama:cha demu
sababu:ameanza kupoteza mwelekeo...anaonekana hana msimamo tena.Mara ooh naacha si hasa mara oooh wazee wameniomba mara oooh wajanja woe wapo Dar kwa hiyo nataka kugombea Dar....kwa hiyo mikoa mingine kuna watu wa aina gani??kinyume cha wajanja sio.Hii ni kashfa kwa wapiga kura wake.Si mpigananji tena huyu
 
Mbona hata Mo Dewji huwa haongei wala kuchangia mada Bungeni lakini anafanya kazi nzuri sana kule Singida? Na wananchi wake wanampenda!

Ubunge sio kupiga kelele Bungeni na kuwa mtu wa kuandikwa magazetini na kuonekana luningani kila siku, Ubunge ni kuchapa kazi.

huyu ndio bomu kabisa anawatumia watu wa singida kama angekuwa anawapenda makao makuu ya Afican lyon yangekuwa singida ili kukuza mpira wa jimboni kwake
 
huyu ndio bomu kabisa anawatumia watu wa singida kama angekuwa anawapenda makao makuu ya Afican lyon yangekuwa singida ili kukuza mpira wa jimboni kwake

I can't agree more!

Yaani jimbo la Singida kwa huyu Mheshimiwa ni kama ku fullfill achievement flani; a trophy to be precise! Na hao unaosema wanampenda ni wale wanaoneemeka kwa kuwepo kwake!
 
Wabunge wote vihiyo!

Napendekeza safari hii tuwaite hata partners kutoka nje au hata KPMG kutufanyia recruitment ya wanaotaka kugombea!
 
JINA: mbunge wa kigamboni
JIMBO: Kigamboni
CHAMA: CCM
SABABU YA KUKATAA: Hatumjui na wala kumsikia kwa niaba yetu kwani hata waathirika wa Mbagala kuu ni wananchi wake lakini sidhani kama alizungumzia lolote.
 
Jina la Mbunge:Makongoro Mahanga
Jimbo lake:UKONGA
Chama Chake:Chukua Chako Mapema
Muda aliokaa bungeni(ikiwezekana sio umri please):Misimu miwil
Sababu za kukataa kurudi kwake:
-Anaunga mkono ufisadi na hajafanya chochote.
-Angalia barabara ya Ukonga Mombasa kwenda Mazizini na Ukonga Barabara za Banana.
-Angalia maisha ya watu wa Gongo la Mboto yalivyo ya hovyo.
-Hakuwatetea kabisa wakazi wa Kipawa.
-Angalia huduma za afya jimboni kwake zilivyo bomu-hakuna hata hospitali moja ya maana.
Anafanya kazi ya kuwa kibaraka wa mafisadi badala ya kutetea na kuwashughulikia wananchi wa jimbo lake. Shame on him!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom