Wasioolewa na kujiamini kupitia vitu

Wasioolewa na kujiamini kupitia vitu

Kuna ukweli kwamba.
wasioolewa sasa hivi wanatumia nguvu nyingi kununua magari, kujichubua na kujiweka feki feki kwa kuvaa nywele bandia, kucha bandia, nyusi bandia.

Yote ni kutafuta 'kujiamini'mbele za watu, wakati mioyoni ni wapweke sana.

Hali hii walioolewa hawana.

Muda mwingi hawa ambao hawajaolewa wako katika mitandao ya kijamii wakijaribu kuendeleza ushawishi wao kwa wanawake wengine kuishi bila kuolewa.
Kila mtu ana uhuru wa kuishi kwa jinsi apendavyo, lakini uhalisia hautabadilika.


Mtu wa watu

Jiwe gizani...
 
Na wewe upo above 30??

Waambie wasikuseme sana.

Hahaha Bulldog bado almost 5 yrs nifike hiyo 30. Sipendi tu wanavyokomalia single ladies as if wasioolewa wote wana matatizo na hawastahili kuwa na furaha. Its not good.
 
Last edited by a moderator:
Haya basi sawa tufanye hivi,"Wanawake >30yrs wasioolewa... the hottest topic of the yr 2014 MMU"
 
Sifa Njema za Msichana / Mwanamke


Ibrahimu alimuagiza mtumishi wake amtafutue mtoto wake isaka mke kutoka katika watu wa Israel. Alipoenda yule mtumishi aliomba Mungu ampatie mwanamke ambaye atakuwa tayari kumpa maji yeye na ngamia wake. Ni kwanini mtu huyu aliomba mwanamke wa aina hii? Mwanamke huyu lazima atakuwa na sifa zifuatazo:

1. Mwenye upendo na anayejali mahitaji ya watu wengine.
Sio rahisi mtu asiye na upendo na asiyejali mahitaji ya watu kumsikiliza mgeni ma kumpa maji yeye na ngamia zake. Mwingine angesema chota mwenyewe mimi nina haraka zangu. Bint unapotaka Mungu akupe mchumba yapasa uwe mwenye upendo na kujali mahitaji ya watu bila kuangalia unapata nini.

2. Mchapakazi
Ngamia mmoja anakunywa maji mengi sana sasa kuwanywesha ngamia kumi sio kazi ndogo. Bint huyu alikuwa mchapakazi ndio maana hakuona shida. Wasichana wengi siku hizi ni wavivu na hawapendi kazi, kama unafikiria kuolewa na kuwa na familia yako uchapakazi hauwezi kuepukika na waoaji Mara nyingi hutafuta binti mchapakazi. Utawezaje kumhudumia mume, watoto, wakwe na mambo yote yanayokuhusu kama wewe ni mvivu?? Badilika!

3. Mkarimu
Baada ya hayo yote aliwakaribisha nyumbani kwa ajili ya kupumzika na pia aliwahahakishia malisho ya ngamia. Hakuishia hapo alitoa taarifa nyumbani na kuwaandalia wageni mapokezi mazuri. Utakapoolewa tegemea wageni mbalimbali, bila ukarimu hutaweza kukaa na watu na hutaweza kujenga mahusiano mazuri.

Kila binti na kila mwanamke ahakikishe anasifa hizi tatu, ni muhimu sana ili kuwa na familia yenye mafanikio.

MWA. 24:15, 17-20, 25
"Ikawa, kabla hajaisha kunena, tazama, Rebeka anatokea, binti wa Bethueli mwana wa Milka, mkewe Nahori, ndugu wa Ibrahimu, naye ana mtungi begani pake. Ndipo yule mtumishi akapiga mbio kwenda kumlaki, akasema, Tafadhali unipe maji kidogo katika mtungi wako ninywe. Naye akasema, Unywe, bwana wangu, akafanya haraka, akatua mtungi wake mkononi mwake, akamnywesha. Hata alipokwisha kumnywesha akasema, Na ngamia zako nitawatekea, hata watakapokwisha kunywa. Akafanya haraka, akamwaga maji ya mtungi wake katika birika, akapiga mbio kisimani ateke, akawatekea ngamia zake wote. Tena akamwambia, Kwetu kuna majani na malisho ya kutosha, na mahali pa kukaa wageni."
 
Single Versus Married Life - Pros and Cons
Let's start with the married side ofthe single versus married life battle. Marriage definitely has its advantages.There is no more hunting for the perfect date. You get to finally startbuilding something with someone who has made a commitment to you. You can stay home and start enjoying theroutine life of knowing what to expect. Other advantages of married lifeversus single life are two incomes, which can make it a lot easier to get thethings you want in life. You will always have someone to wake up to in themorning, to wish you happy birthday and to spend the holidays with. There willbe someone there when you get home in a terrible mood and someone that you can take out your frustrations on who won'thate you for it. Married life often allows a seamless tradition to havingchildren and can always give you an out when you are invited to do those thingsin life that you just don't want to do. Another benefit to married life is thatsex, while not as frequent as you may like, isn't something you have to prowlfor. If you are in the mood chances are there is someone right beside you who will oblige. One of the nicest thingsabout married life is having a partner. If the marriage is good and stable –having that person in your life that is a constant make you feel stronger andbetter equipped to tackle this world. Singlepeople don't have it so bad either. You cannot debate married lifeversus single life without mentioning the one thing that single people have,that married people do not! FREEDOM! Freedom to go and come as they pleasewithout having to explain or ask someone else. Freedom to hang out and getdrunk if they want to without worrying that someone will get mad. Freedom tohave a one-night stand with someone just because you think they are hot.
 
Starling hajafa na anajiandaa na "wasioolewa na kujiamini kupitia vitu-part 2"
 
Kumbe Matola ni demu!

cc lara 1

katika post yangu kuna sehemu nimesema #Matola ni demu????anyway wenzako akiwemo Matola mwenyewe wameelewa kwanini nimeandika hivyo,ngoja nikufafanulie, siku chache kabla ya hii thread Matola alilalamika kuwa thread za kuwanyanyasa wanawake hususani wasioolewa zimekuwa nyingi sana na zinaletwa makusudi kuwaumiza wanawake,nilioona thread hii imeletwa na ipo ktk maudhui yaleyale aliyokemea Matola nikaona ni vema huyu Bwana Matola akaona kuwa watu wanaendelea na mtindo wao licha ya yeye kukemea!naamini umeelewa baada ya ufafanuzi huo,kama bado tafadhali uliza upewe maelezo zaidi!
 
Kuna ukweli kwamba.
wasioolewa sasa hivi wanatumia nguvu nyingi kununua magari, kujichubua na kujiweka feki feki kwa kuvaa nywele bandia, kucha bandia, nyusi bandia.

Yote ni kutafuta 'kujiamini'mbele za watu, wakati mioyoni ni wapweke sana.

Hali hii walioolewa hawana.

Muda mwingi hawa ambao hawajaolewa wako katika mitandao ya kijamii wakijaribu kuendeleza ushawishi wao kwa wanawake wengine kuishi bila kuolewa.
Kila mtu ana uhuru wa kuishi kwa jinsi apendavyo, lakini uhalisia hautabadilika.


Mtu wa watu

Hata sishtuki. Nikikosa mkate wa kila siku ndio ntahesabu miaka ila kama naupata baaasi mi kwangu kheri na neema tu.
 
Ifike kipindi baadhi ya wanaume waache kuamini kuwa kumuoa mwanamke ni kama tendo la kumhurumia au kumsaidia. Mnakosea. Ndoa ni makubaliano kati ya mme na mke kuingia kwenye hatua ya juu ya mahusiano . Ukiona mtu amefikia umri mkubwa na bado hajaoa au kuolewa basi makubaliano hayo hayajafikia. Msitake wanawake wahahe kisa umri umeenda na hajaolewa. Ndoa sio cheo eti. Waulizeni walioko kwenye ndoa wawaeleze. Kujiamini, kujipenda na kuishi maisha mazuri ni jambo la kawaida, kwa mtu yoyote, hasa kama pesa anazitafuta mwenyewe.
 
Ifike kipindi baadhi ya wanaume waache kuamini kuwa kumuoa mwanamke ni kama tendo la kumhurumia au kumsaidia. Mnakosea. Ndoa ni makubaliano kati ya mme na mke kuingia kwenye hatua ya juu ya mahusiano . Ukiona mtu amefikia umri mkubwa na bado hajaoa au kuolewa basi makubaliano hayo hayajafikia. Msitake wanawake wahahe kisa umri umeenda na hajaolewa. Ndoa sio cheo eti. Waulizeni walioko kwenye ndoa wawaeleze. Kujiamini, kujipenda na kuishi maisha mazuri ni jambo la kawaida, kwa mtu yoyote, hasa kama pesa anazitafuta mwenyewe.

My appreciation,you are very realistic.
 
Mungu alivyoumba jinsia mbili alikuwa na maana yake


kivyovyote vile mwanamke au mwanaume akiishi peke yke bila kuwa na mwenzake wa jinsia tofauti ni upweke ht akawa na mihela inayojaa bwawa la mtera
 
Unatakiwa uelewe kuwa Wasioolewa huwa mara nyingi hupenda kujituma ktk kutafuta sababu katika maisha yeye ndio baba, ndio mama, ndio mume. Nyie mlioolewa mara nyingi mnakuwa mnajibweteka mkitegemea Mume, oohh mume wangu nimemuomba aninunulie.....
Wanaume wa siku hizi kweli macho yamepoteza nuru, hawazioni neema kama hizi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom