Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Hahahaha kumbe huu mkodobwe ulikuwa unaendelea tuu jamani. ila wewe BADILI TABIA ni mbayaaaaaaaa (in Jotis'voice), wenzio tumehangaika wee kuukata mbuyu kwa mashoka tangu jana, afu wewe umekuja na umeukata kwa kiwembe tu mbuyu chaliiii kwi kwi kwi, yani una dharau wewe mwa mwa mwa (cheko la kisingle lady)
Last edited by a moderator: