grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,441
- 5,820
Ni kweli mmesoma, lakini kwa style hii unawaharibia wenzakoCku hizi wanaume wanatuonea wivu. Kwanza tumesom pili tunzo pesa tatu tunajamiini. Kwahiyo ucshangae.
Ni kweli mmesoma, lakini kwa style hii unawaharibia wenzakoCku hizi wanaume wanatuonea wivu. Kwanza tumesom pili tunzo pesa tatu tunajamiini. Kwahiyo ucshangae.
Kuna ukweli kwamba.
wasioolewa sasa hivi wanatumia nguvu nyingi kununua magari, kujichubua na kujiweka feki feki kwa kuvaa nywele bandia, kucha bandia, nyusi bandia.
Yote ni kutafuta 'kujiamini'mbele za watu, wakati mioyoni ni wapweke sana.
Hali hii walioolewa hawana.
Muda mwingi hawa ambao hawajaolewa wako katika mitandao ya kijamii wakijaribu kuendeleza ushawishi wao kwa wanawake wengine kuishi bila kuolewa.
Kila mtu ana uhuru wa kuishi kwa jinsi apendavyo, lakini uhalisia hautabadilika.
Mtu wa watu
Ni hivi usipojua kudeal na stress za ndoa lazima uzeeke. Unataka hautaki sasa hivi ndoa nyingi ni ndoano. Sasa ukiibeba ndoa kichwani ukawa unatembea nayo lazima ikuchakaze. Na sumu ya kupendeza ni stress ndio maana wadada single wanapendeza.
Labda roho imekuuma kwa sababu na magari wanaendesha, sio magari tu pia na nyumba wanazo ila kwa sababu hawawezi kutembea nazo ukaziona. Pia wana elimu ya kuwatosha na mambo kadha wa kadha. Unajua kwa nini wanaweza kufanya yote haya kwa sababu wana uhuru wa kutosha na wala sio kwa sababu hawajaolewa.
Kuna vitu ambavyo huwezi kufanya baada ya kuolewa. Sio kwamba wanawake ambao wako kwenye ndoa hawana uwezo wa kufanya yote haya ila kwa sababu wanaume wengi ni selfish. Ili usimfunike lazima akudumaze. So uwezo wanao ila ili ndoa iweze kuendelea inabidi wakubali kuwa mazuzu.
So, dadaz nawapa big up sana. Msione thread ni nyingi za kuwakatisha tamaa ni kwa sababu people apreciate you very much but they can't tell. You're the threat, dont give up.
mbona povu limekutoka sana hapa?walausije dhani nyumba ndio kigezo,wao wakisema wananyumba na kobe asemeje?
Nipo.. ila nimebanwa kidogo siku izi.. si unajua tena...:angry:hahahaaaa! Hapo umenishinda nakiri kukugombea.....
Ila wengne akhaa!...... Busy sana bibie upo?
wewe ni -0 brain....100%,wewe je?
We ni wareware wafupi, lazima ni mfupiii!, kwenye 'kila kona' ya mwili wako
Hii movie kiboko STARLING KAFA....???!!!
Ifike kipindi baadhi ya wanaume waache kuamini kuwa kumuoa mwanamke ni kama tendo la kumhurumia au kumsaidia. Mnakosea. Ndoa ni makubaliano kati ya mme na mke kuingia kwenye hatua ya juu ya mahusiano . Ukiona mtu amefikia umri mkubwa na bado hajaoa au kuolewa basi makubaliano hayo hayajafikia. Msitake wanawake wahahe kisa umri umeenda na hajaolewa. Ndoa sio cheo eti. Waulizeni walioko kwenye ndoa wawaeleze. Kujiamini, kujipenda na kuishi maisha mazuri ni jambo la kawaida, kwa mtu yoyote, hasa kama pesa anazitafuta mwenyewe.
Mwaka huu wetu....
Ila JF hatutoki ng'o....
Katu'sambazeeeeee!!!!!
ni hivi usipojua kudeal na stress za ndoa lazima uzeeke. Unataka hautaki sasa hivi ndoa nyingi ni ndoano. Sasa ukiibeba ndoa kichwani ukawa unatembea nayo lazima ikuchakaze. Na sumu ya kupendeza ni stress ndio maana wadada single wanapendeza.
Labda roho imekuuma kwa sababu na magari wanaendesha, sio magari tu pia na nyumba wanazo ila kwa sababu hawawezi kutembea nazo ukaziona. Pia wana elimu ya kuwatosha na mambo kadha wa kadha. Unajua kwa nini wanaweza kufanya yote haya kwa sababu wana uhuru wa kutosha na wala sio kwa sababu hawajaolewa.
Kuna vitu ambavyo huwezi kufanya baada ya kuolewa. Sio kwamba wanawake ambao wako kwenye ndoa hawana uwezo wa kufanya yote haya ila kwa sababu wanaume wengi ni selfish. Ili usimfunike lazima akudumaze. So uwezo wanao ila ili ndoa iweze kuendelea inabidi wakubali kuwa mazuzu.
So, dadaz nawapa big up sana. Msione thread ni nyingi za kuwakatisha tamaa ni kwa sababu people apreciate you very much but they can't tell. You're the threat, dont give up.
ni shortiiiiiii wa khataaaaari... Anaumwa mfadhaikooo
tatizo la single ladies, ni kuwaaminisha watu kama ndoa ni ndoano!na ndio hao hao wanakesha kwenye harusi za wenzao.
Matatizo ya ndoa moja au mbili na kudhan ndoa zote ziko hivyo ni ugonjwa mbaya sana wa akili chanzo chake kikiwa ni "uwn"ukosefu wa ndoa!
ndoa zipo tena ni jambo jema, matatizo kwenye ndoa yalikuwepo yapo na yataendelea kuwepo hayakwepeki, single ladies/man wapo na wataendelea kuwepo. Kupanga ni kuchagua rafiki.
Ni hivi usipojua kudeal na stress za ndoa lazima uzeeke. Unataka hautaki sasa hivi ndoa nyingi ni ndoano. Sasa ukiibeba ndoa kichwani ukawa unatembea nayo lazima ikuchakaze. Na sumu ya kupendeza ni stress ndio maana wadada single wanapendeza.
Labda roho imekuuma kwa sababu na magari wanaendesha, sio magari tu pia na nyumba wanazo ila kwa sababu hawawezi kutembea nazo ukaziona. Pia wana elimu ya kuwatosha na mambo kadha wa kadha. Unajua kwani nini wanaweza kufanya yote haya kwa sababu wana uhuru wa kutosha na wala sio kwa sababu hawajaolewa.