KATASAN'KAZA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2013
- 3,097
- 1,356
Nikiwa mpiganaji NA mpambanaji ninayechukia kuajiriwa na mpenda kujiajili kwa kiwango kikubwa, naomba ushauri wenu wenye mapenzi mema katika harakati za kukusanya hukuu na kule nimejituma kwa kuanza na project ambayo imeinua mtajiwa wangu a laki 2 mpaka laki tano nje ya mtaji niliowekeza kwa muda wa miezi 3, sasa naona kama hii laki tano niwekeze kwa kitu kingine ambacho kwa mtazamo wangu hakitakuwa na risiki kubwa kama hii project ninayoendelea nayo, wadau niwaombe msaada wa ushauri asanteni na mungu atawabariki.
naomba kuwasilisha!
naomba kuwasilisha!