Viper
JF-Expert Member
- Dec 21, 2007
- 3,666
- 1,406
umeambiwa alipata four ya pcb aafu alikuwa familia nzuri,uwezo wake uko wapi? Ni wachache sana waliosoma nje ya tz wenye uwezo mzuri kama waliosoma tz. Hasa waliopelekwa na wazazi wao kwa kukosa uwezo wa kupewa program za kitaifa.
sio kila anayesoma nje ni kiazi mkuu!! na udactari it doesn't matter umepata ngapi form four ... experience matters! sidhani kahiruki walimuajiri huku cv ikiwa mbovu!! ni makosa tu ya uchapishaji...