Wasifu wa Dkt. Hussein Mwinyi utata mtupu!

Wasifu wa Dkt. Hussein Mwinyi utata mtupu!

Haya makosa ya ku type kwenye website ya bunge yanaanza kunitia mashaka sana, naanza kutilia wasiwasi hata Hansard za bunge sasa. Wasije mbele kutuletea matatizo hawa vijana wa teknolojia ya mawasiliano bungeni.
 
CV unaweza kukosea kwenye typing error kama spelling lkn siyo mambo makubwa kama haya ya Dr. Magumashi
 
..weka cv yako hapo si ya dr,mi ninakoelekea ni kuwa burned maana watu wengine mnachefua,sisi tunamjua elimu yake wewe unaleta uongo ili tukuamini..watz bwana
Maajabu haya! Wewe unaijua elimu yake, hujaiweka hapa! Nani atakuamini? Ndiyo maana hii nchi iko hovyo kwa kila kitu. Huyu ni waziri wa kuzawadiwa kwa miaka mingi, taarifa zake zilizowekwa public ni za kihuni tupu, hana wasaidizi? Hana macho? Ikiwa hana uwezo wa kurekebisha taarifa zake anaaminiwaje na kupewa wizara aiongoze?! Haya siyo mambo ya ukoo, ni nchi... kama mtu hana sifa akae kando, watanzania wenye sifa ni wengi mno.
 
Jamani mie ningependa siku nione cv ya ****** nione alivyounga unga mwana

Kaka una maanisha hiii

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 2, align: left"]JAKAYA MRISHO KIKWETE [/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 195"]
kikwete.gif
[/TD]
[TD="width: 776"]Born on 7th October 1950 at Msoga Bagamoyo District Pwani Region[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="width: 80"]Education[/TH]
[TH="width: 370"] [/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]1958-1961[/TD]
[TD]Msoga Primary School[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1962-1965[/TD]
[TD]Lugoba Middle School[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1966-1969[/TD]
[TD]Kibaha Secondary School[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1970-1971[/TD]
[TD]Tanga Secondary School[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1972-1975[/TD]
[TD]BA(Economics) University of Dar es Salaam[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1976-1977[/TD]
[TD]Military Training at Tanzania Military Academy at Monduli[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1983-1984[/TD]
[TD]Military Leadership Training[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Appointments[/TH]
[TH] [/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]1975-1977[/TD]
[TD]Deputy Regional Secretary of Tanganyika African National Union (TANU)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1977-1980[/TD]
[TD]Deputy Secretary of CCM, Zanzibar[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1980-1981[/TD]
[TD]Administrative officer CCM Headquarters[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1981-1983[/TD]
[TD]CCM Regional Secretary Tabora[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1983-1986[/TD]
[TD]Political Tutor at the Tanzania Military Academy in Monduli[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1986-1988[/TD]
[TD]Nachingwea and Masasi Districts CCM Secretary General[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1988-1990[/TD]
[TD]Deputy Minister for the Ministry of Energy and Minerals[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1990-1994[/TD]
[TD]Minister for Energy and Minerals and Water Developments[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1994-1995[/TD]
[TD]Finance Minister[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1995-2005[/TD]
[TD]Member of Parliament Chalinze Constituency[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1995-2005[/TD]
[TD]Minister for Foreign Affairs and International Cooperation[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
mhhhhh......sina la kusema zaidi ya kuduwaa kama nikionacho ndicho nikisomacho na ndicho kilichopo kwenye uhalisia
 
Wizi mtupu hivi hizo Mmc alikuwa anasoma mwaka mmoja mmoja, kama hii cv ni ya kweli huyu jamaa nae ni fisadi wa Elimu.
 
Hebu wajuaji mliojaa humu mtu akajaribu kutazama entry requirements za kujoin Hammesmith Hospital London kwa training ya MRCP(Member of the Royal College of Physicians). Yani kibali cha kufanya kazi popote kwenye commonwealth states.

Kwa wanaomjua Dr Jullie Makani(best student wa mwaka miaka hiyoo wa PCB) yupo pale Muhimbili kama daktari bingwa, mhadhiri wa madaktari na mwenyewe ni MRCP na alitrain hapo Hammersmith Hospital. Kamuulizeni how rigorous the vetting exercise ya kujoin hammersmith Hospital kufanya MRCP. Na tunawajua wengi mno walioomba hawakupata au waliopata na wakashindwa mtihani wa MRCP.

Baada ya hapo ndo mje na mambo mengine yasiyo na kichwa wala miguu kama haya.
 
I can see clearly now why Tanzania was sold into "captivity"
 
timbilimu watoto wa mabalozi walirudishwa na utawala wa Mwinyi nadhani mwaka 1987 na kweli wengi walienda Tambaza na Azania lakini siyo miaka ya 1983.

CV ambazo zipo kwenye tovuti ya Bunge ni pasua kichwa haziaminiki hata kidogo; zimejichanganya sana.
hivi anayepeleka hizi cv bungeni ni nani?
 
- Sawa sawa mkuu, balanced na imetulia sana!, labda tuseme mapungufu yake kiuongozi lakini siamini kwamba elimu yake ina utata hata kidogo!


William.

Tuondolee maswala ya kuamini, hakuna mtihani wa kwenda peponi hapa! cv inaonyesha mkanganyiko mkubwa, alipaswa kufanya urekebu kama imekosewa kabla hatujamshtukia. kwa sasa it is too late. kabebwa bebwa tu.
 
Kubishania Cv ambayo imetoka kwenye tovuti ya bunge ni kupoteza muda kwani 75% zimekosewa,labda tu kama mna mengine ya kubishania.

unataka kutuaminisha watumishi wa bunge ni vilaza sio!
mbona hatujawahi sikia mishahara ya wabunge imewekwa robo kiasi cha kuzua manung'uniko makubwa miongoni mwa wabunge, hatujawahi sikia hata hoja tu bungeni kulalamikia taarifa binafsi za wabunge nyingi zimekosewa!!!!!!!

Mwinyi jr. jipime mwenyewe.
angalau kwa sasa unanuka uvundo wa kughushi

kwa mnaojua, hakuwemo kwenye timu ya upasuaji wa kichwa badala ya mguu?
 
Kwa walioko majuu, si munajua kwamba kuna degree zinasomwa kwa zaidi ya miaka mitano under part time registration? Mbona wako wanafunzi wengi tu na wala siyo kitu cha ajabu na hasa kwenye Masters na PhD level kwa wale wanaojilipia wenyewe.
 
Kwa hiyo Primary aliishia la 5 na sekondari akasoma miaka 2 kisha akaenda High School?
 
bungeni ni kijiwe cha kutishia na kudanganyia watu kwamba wewe umesoma. Ukisoma cv za kila mmoja utagundua kwamba bunge letu limekubali kutumiwa na mafisadi wa elimu,kila mmoja anajinafasi kwa vile anavyoweza
Mwaka 1982 Tambaza haikuwa na high school.Kulikuwa na o level pekee.High school ilikuja baadae
 
Ukimaliza kozi ya udaktari unaendelea kusomea eneo lako maalum specialist field ili uwe registrar yaani baadae uwe mshauri elekezi consultant au daktari tu mtaalam.

Kwa kuwa unakuwa daktari tayari, unaweza kuendelea kusomea masters na hapohapo wajiandaa na kozi endelevu za kukuandaa kuwa mtaalam katika field husika ili uwe registrar na baadae consultant.

Daktari ambae ni registrar ndie humpokea mgonjwa na kusoma historia yake kisha kuwashauri madaktari nini cha kufanya baada ya kukufanyia assesments ikiwa ni pamoja na kusoma picha zako za xray.

Hivyo sidhani kama kuna mahali amekosea daktari huyu.

Ila huenda ni daktari mtaalam kama mzee Sarungi ambae alikuwa wakati mwingine akiingia theater pale Tumbi hospital alipokuwa RC au KCMC Moshi, kushughulikia majeruhi wa mifupa.
 
Mkuu angalia vizuri alimalizia Tambaza 1984

Kwenye RED Dr. Mwinyi kasoma O level kwa miaka miwili tu inatia shaka sana kweli alikuwa genius huyu jamaa au mbwembwe zake za kubebwa na Baba yake.

-Azania Secondary Schoo/l O-Level Education/ 1981-1982 /SECONDARY jamani kuna ukweli kwenye hili au?
i
 
Back
Top Bottom