Black Mirror
JF-Expert Member
- Oct 17, 2019
- 944
- 1,229
JF ni moto wa kuotea mbali
Umesahau wakati akiwa mhadhiri baba yake alikuwa nani??MIMI NINAVYOFAHAMU NI KWAMBA DKT MWINYI AMESOMA COMPETENTLY NA NI QUALIFIED PHYSICIAN. Ama kuhusu hii CV sina uhakika ni nani kaichakachua. Kazi yake aliyokuwa akiifanya kabla ya kuanza siasa mwaka 2000 ilikuwa ni Mhadhiri, uhadhiri hauendani na uchakachuaji wa elimu
Hii CV imepostiwa kwenye website ya bunge means ameiandika mwenyewe
Acheni kuchafua watu na mijadala ya uongo, mnachojadili apo kiliandikwa mwaka 2012 yani ata kujiongeza inakua shida. CV ya mnaemjadili ni hii hapa na haina kasoro kama mnavoleta propaganda.
View attachment 1497929
Alikua jiniazi akarushwa darasa moja 😁View attachment 1498125
Kama hamna kasoro hebu tufafanulie kuhusu kusomo high school kwa mwaka mmoja!
Fitna za kisiasa hizo.Watu washaanza kusaka vyeti vyenye mashaka ili akose sifa za kuwa Rais wa SMZ..
Dr. Mponda unamuonea.Huyu jamaa ni kilazaa zaidi ya Dr. Mponda ngoja mtaona madudu yake kwenye hiyo wizara ya afya.Huyu akiwa wizara hiyo hiyo alishawahi toa kauli za kushangaza kuwafukuza Ma Dr nchini kwa kitendo cha kugoma.
Alikua jiniazi akarushwa darasa moja![]()

basi tumpe nchi, jiniaz kweli kweli huyo!!Teh teh! Mmh alisoma mchepuo gani..!
Halafu miaka hiyo, A level mitihani ya necta ilikuwa ikifanyika mwezi May, na wanafunzi wapya walikuwa wanaanza form 5 mwezi July! Ina maana yeye alianza A level mwezi january 85' akasoma 5 na 6 kwa miezi mitano tu labda na tuition za mtaani alisoma baada yakumaliza form 4 kisha akafanya necta? Au alijiunga form5 mwezi july 85' kisha ndani ya mwaka huo huo akafanya mtihani wake wa necta peke yake..!?
basi tumpe nchi, jiniaz kweli kweli huyo!!