Wasifu wa Dkt. Hussein Mwinyi utata mtupu!

Alikua jiniazi akarushwa darasa moja

Teh teh! Mmh alisoma mchepuo gani..!
Halafu miaka hiyo, A level mitihani ya necta ilikuwa ikifanyika mwezi May, na wanafunzi wapya walikuwa wanaanza form 5 mwezi July! Ina maana yeye alianza A level mwezi january 85' akasoma 5 na 6 kwa miezi mitano tu labda na tuition za mtaani alisoma baada yakumaliza form 4 kisha akafanya necta? Au alijiunga form5 mwezi july 85' kisha ndani ya mwaka huo huo akafanya mtihani wake wa necta peke yake..!?
basi tumpe nchi, jiniaz kweli kweli huyo!!
 
kwa jinsi wanabodi mlivyochambua CV hiii kweli kuna magumashi kama yote CV haieleweki! na kuna uongo uongo mwingi mtu mmoja yuko bongo, Turkey na UK kwa wakati mmoja!! hiyo yatosha kabisa kumtoa jamaa kwenye list!! Rais gani muongo muongo? kwa desturi na logic ya Republic governance huwa ni vizuri kutorudisha ofisini watoto wa viongozi huwa si kama baba zao!! tukisema haya wengine hudhani tuna chuki binafsi!

Huyu jamaa Mwinyi ni mkimya sana na muoga wa kusimama mbele ya raia na muoga mno wa skendo na kuchafuka sasa ukiwa kiongozi wa hivyo hufai kuongoza nchi kwakuwa kuna wakati lazima Rais achukue maamuzi yatakayowapendeza baadhi na kuwachukiza baadhi mfano uteuzi wake wa hivi karibuni Rais wetu kateua wakristo watupu na kuwachukiza wasomi wa kiislamu na huu ni ukweli ni vizuri tuseme tubaki huru, na Rais muislam ajaye asione ubaya kuteua waislam watupu itakuwa ngoma droo!

je Mwinyi junior angeweza kweli kufanya uteuzi wa hivyo wakristo tupu nchi imejaa wasomi waislam pia? kwa kuwa ni muoga mno kuchafua CV yake uongozi wa nchi mbovu na maskini kama bongo kwa mawazo yangu si viatu saizi yake!!
 
Teh teh! Mmh alisoma mchepuo gani..!
Halafu miaka hiyo, A level mitihani ya necta ilikuwa ikifanyika mwezi May, na wanafunzi wapya walikuwa wanaanza form 5 mwezi July! Ina maana yeye alianza A level mwezi january 85' akasoma 5 na 6 kwa miezi mitano tu labda na tuition za mtaani alisoma baada yakumaliza form 4 kisha akafanya necta? Au alijiunga form5 mwezi july 85' kisha ndani ya mwaka huo huo akafanya mtihani wake wa necta peke yake..!?
basi tumpe nchi, jiniaz kweli kweli huyo!!

Mwaka 1985 aliingia masomo ya A level ila hakumaliza pale. Alienda Uturuki kusomea udaktari. Kuna fursa zilikuwa zinatolewa kwa wanafunzi wa Kiislamu kusoma fani mbalimbali nchini Uturuki.

Dr. Mwinyi alimaliza masomo ya udaktari kule Uturuki.
 
Back
Top Bottom