Wasifu wa Dkt. Hussein Mwinyi utata mtupu!

Wasifu wa Dkt. Hussein Mwinyi utata mtupu!

unafikiri ni bure , la hasha ndio maana mabomu Gongo la mboto yalilipuka, acha mchezo Bwana
 
Kwa hili ninalo liona wizara aliyokabidhiwa atadharaurika sana na watu wenye elimu zao sio za kuunga unga kama yeye
 
- Sawa sawa mkuu, balanced na imetulia sana!, labda tuseme mapungufu yake kiuongozi lakini siamini kwamba elimu yake ina utata hata kidogo!


William.

Kama unaunga mkono basi toa mtiririko kamili wa elimu yake jinsi alivyosoma.yaan nyie mnaamini amechakachuliwa wakati cv hiyo ipo bungeni.William unatafuta fadhila za ukuu wa wilaya.Huku ni kujipendekeza.
 
timbilimu watoto wa mabalozi walirudishwa na utawala wa Mwinyi nadhani mwaka 1987 na kweli wengi walienda Tambaza na Azania lakini siyo miaka ya 1983.

CV ambazo zipo kwenye tovuti ya Bunge ni pasua kichwa haziaminiki hata kidogo; zimejichanganya sana.
Mkuu Kimbunga ni kweli watoto wengi wa watumishi wa balozi zetu walirudishwa ktkt ya miaka ya 80 na kuingizwa ktk shule za Azania na Tambaza kwa wavulana na Zanaki na Jangwani kwa wasichana. Hussein alifaulu kidato cha nne akitokea Azania,akaingia Tambaza,ambako alisoma kidato cha 5 tu,hakufika cha 6. Kwa hiyo hana cheti cha kidato cha 6 pengine kama kulikua na uchakachuaji! Ni ktk kipindi hiki vijana wengi wa Kiislamu walipata scolarship za kwenda kusoma Turkey kupitia Taasisi moja ya Kiislamu ambayo sasa imeishapigwa marufuku ikiitwa BALUKTA kama sikosei,ikiongozwa na Sheikh Yahya Hussein! Ni kipindi cha harakati za Khigoma Ally Malima! Hussein alipomaliza masomo Uturuki akarudi nyumbani,inasemekana Muhimbili walikataa kuutambua udaktari wake. Wakataka kumrudisha aanze kusoma kama mwanafunzi wa mwaka wa tatu. Inaonyesha madaraka yakatumika akaondoka kwenda Uk kwa Masters! Baadaye yakatengenezwa mazingira akawa mbunge wa Mkuranga huko Kisarawe,kabla akatambua yeye ni Mzanzibari akavuka bahari akaenda kugombea ubunge Zanzibar! Kwa kutumia Uzanzibari ameweza kuwa mmoja wa wanasiasa wenye nguvu ndani ya CCM!
 
Last edited by a moderator:
umeona mkuu!! wanajaribu saaaana!!! kutafuta tundu katika CV yake hawapati! wamesha edit pia eti kasoma secondary o-leval miaka miwili ..!! ililetwa CV ya yule anaijiita mwanasheria wa CDM ilikuwa na utata mtupu!!

Hapo blue ni kuwa hujataka kuwa mdadisi.CV hiyo ipo kwenye tovuti ya bunge.Labda hao wame edit.Acha uvivu na kudhania watu wote humu ni wajinga wa kufikiri.
 
..weka cv yako hapo si ya dr,mi ninakoelekea ni kuwa burned maana watu wengine mnachefua,sisi tunamjua elimu yake wewe unaleta uongo ili tukuamini..watz bwana
 
Kama hii CV ni ya ukweli, basi inatia shaka. Wakati ule anamaliza 1985, JKT ilikuwa compulsory. Inaonyesha hakuhudhuria mafunzo haya kwa mujibu wa sheria. Inakuwaje leo anapewa wizara ya Ulinzi?????

Nchi hii watu wote ni sawa lakini kuna wengine ni sawa zaidi.
 
- Sawa sawa mkuu, balanced na imetulia sana!, labda tuseme mapungufu yake kiuongozi lakini siamini kwamba elimu yake ina utata hata kidogo!


William.
Mkuu Wiliam waulize dada zako akina Dr. Mwele na Dr. Secela naamini wanaelewa vizuri shule ya huyu jamaa kuliko wewe!
 
Hii inaitwa ''I AM MARRIED WITH THREE CREEDS'' and professionally, I am a politician.... hehehehe, Tz ni zaidi ya uijuavyo!!!
Tutajua mengi sana mpaka kufika 2015 na hapo ndipo ukombozi utakuwa umetimia.

VAA Gwanda faster!!!
 
KIMSINGI WALIO WENGI WANADANGANYA ILA HUYU AMEZIDI JAMANI

  • A%20S%20465.gif
Swala la elimu yake ya udaktari mpaka master ni kweli alisomea.swala la internship alifanya Muhimbili.swala la kuwa registra alikuwa muhimbili unapokuwa umeajiriwa unapoenda kusoma postgraduate ajira yako haisimami unaendelea kutambulika ni muajiriwa wa sehemu husika ndani ya serikali labda uwe hukutimiza masharti ya kuomba kwenda kusoma kupitia muajiri.Swala ambalo sina uhakika nalo ni hiyo PHD yake.Swala lingine tusuburi tumuhukumu kwa utendaji wake kama waziri na mwanasiasa kwenye hiyo wizara ambayo ina madudu mengi ni jinsi gani ataleta mabadiliko na atakavyowajibika ndiyo tunachosubiri.
 
HII CV INAJADILIWA KWENYE JUKWAA MOJA LA WASOMI......HEBU TUSHIRIKIANE NAO KIDOGO HAPA, IANGALIE KWA MAKINI,
: Hussein Mwinyi
Surname Mwinyi
First Names: Hussein Ali
Alternate Name
Title: Dr
Country of Birth : Tanzania
Positions
From To Organisation Position
2008 Ministry of Defence & National Services Minister of Defence & National Service
2006 2008 Vice-President's Office Minister of State for Union Affairs
2005 Kwahani Constituency MP for Kwahani
Date of Birth 23 Dec 1966
Political Affiliation CCM
eMail
Telephone
Address
Notes +255 744 279343 [ Retrieved on 19-07-06 ]

EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
-Hamersmith Hospital U.K/ Masters in Internal Medicine/-1993-1997 /MASTERS DEGREE
-Marmara University Turkey/ Doctor of Medicine/ 1985-1992 /CERTIFICATE
-Tambaza High School/ A-Level Education /1982-1984/ HIGH SCHOOL
-Azania Secondary Schoo/l O-Level Education/ 1981-1982 /SECONDARY
-Manor House Primary School/ Primary Education /1978-1981 /PRIMARY
-Oysterbay Primary School/ Primary Education/ 1974-1978 /PRIMARY

EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From Date To Date
Vice-President's Office - Union Affairs Minister 2006
Ministry of Health Deputy Minister 2000 2005
Hubert Kairuki Memorial University Lecturer in Medicine 1998 1998
Ministry of Health Specialist Doctor 1997 1997
Ministry of Health Doctor 1993 1993

****

POINTS TO NOTE!!!
1991-1992-Intern (Marmar university Turkey )
1993-1993- Doctor MMC
1994-1995- Registrar MMC
1991-1997-Masters UK

1)Kwani tofauti kati ya doctor na registrar ni nini?
2)Huyu mtu alisomaje masters tena Clinical:redface: huku anafanya intern Turkey?? tena wakati huo huo akiwa Doctor and registrar Muhimbili??? wakati huohuo akiwa anafanya masters UK?

MH. Dr. Mwinyi, ufafanuzi wako ni muhimu sana katika hili suala la sivyo tutaanza ku'doubt hizi elimu zako!
Nawasilisha...


ANGALIA KWENYE PRIMARY SCHOOL MIAKA NANE ANASOMA SHULE YA MSINGI AU NDIO ALISOMEA HUKO TURKEy
 
Alishawahi kuwa mbunge wa Mkuranga huyu, lakini siioni kwenye cv. Au alikuwa anakaimu? Nafikiri atakuwa na rekodi yake ambayo hakuna Mtanzania mwingine anayeweza ivunja. Manake kuwa mbunge kwenye jimbo la Tanzania bara halafu baada ya muda unaamua kuachana nalo na kubamba jimbo jingine Tanzania visiwani! Hebu niambieni, nani mwingine alishafanya hili?
 
Hivi siye mie niliesoma ktk gazeti la Mwananchi kuwa madaktari wamepongeza uteuzi wake au ilikuwa ndoto ya aladin na taa yake ya ajabu au?

wale wa dini ile waliojiita ni wanaharakati huru lazima wapongeze. Hawa jamaa wanachojali ni mtu wao ndo kawa kiongozi. Hawaangalii ufanisi wake utakuwaje. Kwa anayemfahamu mwinyi alivyopitapita na kubebwa hawezi kutoa pongezi. Hata kwenye ishu ya kumuondoa hadji mponda ilikuwa na mvutano mkali sana na hawa jamaa.
 
Ukiona mtu shahada ya kwanza kaipatia nje ujue maswali kamwe hayawezi kupotea................alikimbia nini Muhimbili?
 
mimi ninavyofahamu ni kwamba dkt mwinyi amesoma competently na ni qualified physician. Ama kuhusu hii cv sina uhakika ni nani kaichakachua. Kazi yake aliyokuwa akiifanya kabla ya kuanza siasa mwaka 2000 ilikuwa ni mhadhiri, uhadhiri hauendani na uchakachuaji wa elimu
wewe nawe kiazi hakuna lislowezekana bongo. Unamkumbuka doctor mwanamke kule dodoma miaka ya 90s
 
Ni makosa ya uchapishaji, sidhani kama Elimu yake ipo kama ilivyoandikwa.
 
tafuteni watu wengine wa kuwasimanga kielimu..........lakini sio Dr. Hussein Mwinyi...........jamaa ana uwezo mkubwa darasani........semeni kingine lakini sio elimu yake.........

umeambiwa alipata four ya pcb aafu alikuwa familia nzuri,uwezo wake uko wapi? Ni wachache sana waliosoma nje ya tz wenye uwezo mzuri kama waliosoma tz. Hasa waliopelekwa na wazazi wao kwa kukosa uwezo wa kupewa program za kitaifa.
 
William we ubashabukia vitu vya kijinga namna hii hapo huoni utata nimeshakutoa katika watu wa maana kabisa huna maana

we bado ulikuwa unamhesabia huyu aliyekosa kazi ya kufanya na kujifanya anakuja kutumikia watanzania? Hivi kasomea nin huyu jamaa? Hata mdogo wangu wa form two hana fikra finyu kama humu
 
Back
Top Bottom