Wasifu mfupi wa marehemu mtarajiwa 2015

Wasifu mfupi wa marehemu mtarajiwa 2015

day dreaming
MAREHEMU ALIZALIWA 05.02.77,ENZI ZA UHAI WAKE lijishughulisha na kuua mazao ya biashara😛amba,tumbaku,kahawa.korosho,na katani pia marehemu atakumbukwa kwa kazi kubwa aliyoifanya kwa bidii ya kutaifisha nakuua viwanda na makampunibinafsi,kuua vyama vya wakulima,kuua na kuuzamakampuni na viwanda vya umma,Atakumbukwa kwa ufisadi na ubadhilifu wa fedha na kodi za serikali,pia aliwaleta na kuwapa wageni mali za wa Tz,Ameacha wachina kariakoo,makaburu mererani na wazungu wa kila aina kwenye.na chanzo cha umauti wake ni GESI YA MTWARA.OOH JINA LA MAREHEMU NI CCM.
 
ha haaaa,kazi kweli....kuna watu watakuja na povu hapa!.....
 
kuelekea mauti alipata shida kubwa ya kurusha miguu na mikono mara avue gamba,mara miezi 6 atakuwa ahueni,mara ...
 
Marehemu ataacha madeni makubwa sana kwani alikuwa ni ombaomba. Marehemu ni noma.
 
Akili yako na avatar yako vinashabihiana!

Chama
Gongo la mboto DSM

Muda wa kukuna nazi umewadia kawasaidie dada zako.

maREHEMU YAANI TUNAMPENDA LAKINI MAFISADI WANAMPENDA ZAIDI.

profilepic 2015.JPG

MIZAMBWA
NABII MTARAJIWa!!!
 
Last edited by a moderator:
CCM itakufa baada Chadema kujiua kabla 2015,karibu kwenye beth dei yetu Kigoma 5.2.2013 uje ushuhudie chama imara na uongozi imara.Chadema ilizaliwa lini?

Unajidanganya anza kula vya mwisho mwisho maana sunami inakuja na wewe hutasalimika labda watz wasikuone tumeanza Mtwara umeona mafisadi ya ccm yamechomewa nyumba sasa wew utasalimika?
 
Marehemu ni janga la Tanzania ni vema afe haraka sana kabla ya 2015.
 
MAREHEMU ALIZALIWA 05.02.77,ENZI ZA UHAI WAKE lijishughulisha na kuua mazao ya biashara😛amba,tumbaku,kahawa.korosho,na katani pia marehemu atakumbukwa kwa kazi kubwa aliyoifanya kwa bidii ya kutaifisha nakuua viwanda na makampunibinafsi,kuua vyama vya wakulima,kuua na kuuzamakampuni na viwanda vya umma,Atakumbukwa kwa ufisadi na ubadhilifu wa fedha na kodi za serikali,pia aliwaleta na kuwapa wageni mali za wa Tz,Ameacha wachina kariakoo,makaburu mererani na wazungu wa kila aina kwenye.na chanzo cha umauti wake ni GESI YA MTWARA.OOH JINA LA MAREHEMU NI CCM.
Tumekusikia,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom