Rest In Peace marehemu

Islam005

JF-Expert Member
Nov 1, 2008
3,288
3,320
WASIFU WA MAREHEMU

Historia fupi ya marehemu CCM.marehemu CCM alizaliwa tarehe 05/02/1977 enzi za uhai wake marehemu alijishughulisha na kuua mazao ya biashara kama pamba ,tumbaku ,kahawa ,korosho na katani.

Marehemu atakumbukwa kwa kazi kubwa aliyoifanya kwa bidii ya kuua viwanda kama Mwatex ,Mutex ,Kiltex ,Ufi ,Bora ,na Tenelec ,Mgololo ,Tanganyika packers na Viwanda vya Maziwa pia aliwaleta na kuwapa wageni mali za watanzania.

Ameacha wachina Kariakoo ,Waarabu Loliondo ,Makaburu Mererani na wazungu wa kila aina kwenye migodi yote ya madini na gesi nchini.

Marehemu atakumbukwa kwa tuhuma za Ufisadi ,Umasikini ,Ujinga ,na huduma mbovu za maji na umeme ,afya ,miundombinu ,Elimu na Uuzaji hovyo nyumba za serikali.

Marehemu ameacha mke mmoja jina ni ACT na watoto wawili UDP na TLP bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe na libarikiwe.
 
Nimepokea huu ujumbe na binafsi nimewaza mengi. Ila cha msingi ni kuomba amani na utulivu kuelekea uchaguzi mkuu.

El mliempokea je anaenda kupiga vita ufisadi
 
Eti wanasema MCHAWI mpe mtoto akulelee!Au ile ya kwenye Biblia eti Saulo akabadilika ghafla akawa Paulo.Hope the same will happen to our LOHASSA aka Saulo
 
Hivi huyu mtu anayesambaza ujumbe unaosomeka "CHAGUA CCM" hatumi ujumbe wa kuudhi na anastahili kuchukuliwa hatua za kisheria kwa mujibu wa sheria za makosa ya kwenye mtandao?
 
Nilijua mda huu utakuwa unaperuzi na kudadisi kule MMU.
Kumbe na siasa pia inakupunguzia punguzia stress zako?
Tehe tehe tehe

Hahaaa..

Nipo na harakati kabambe za kuangusha mnara wa babeli

Halafu mkuu kule MMU sio kupunguza stress tu bali kunamafunzo ya kujenga mahusiano..
 
Back
Top Bottom