Haya mambo mengine ni hatari - Risala fupi ya marehemu CCM

mizambwa

JF-Expert Member
Oct 8, 2008
4,422
1,790
Kuna taarifa zinasambazwa mitandaoni. Daaaaaa inatisha!!!!!.

Ipo Hivi;

RISALA FUPI YA MAREHEMU CCM:

Marehemu CCM alizaliwa 05/07/1977, enzi za uhai wake marehemu alijishughulisha na kuua mazao ya biashara Pamba, Tumbaku Kahawa, Korosho,na Katani.

Marehemu atakumbukwa sana na Watanzania kwa kazi kubwa aliyoifanya kwa bidii ya kuua Viwanda vya Mwatex, Mutex, Kiltex, UFI, Bora, Tanelec, Mgololo, Tanganyika Packers, na Viwanda vya Maziwa.

Marehemu alikuwa na ushirikiano mzuri sana na watu wa nje hivyo aliwaleta na kuwapa wageni mali za Watanzania. Ameacha Wachina Kariakoo, Makaburu Mererani na Wazungu wa kila aina migodi yote ya Gesi.

Marehemu ameacha mume 1 CHADEMA na watoto 4 CUF, UDP, NCCR, na TLP.

Shetani amuweke mahali pema pale penye moto wa milele. AMEN"

====================================================================================================

Siyo maneno yangu ni Copy and Paste tu.



MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Ingawa inauma acha aende2 aliteseka Sana siku za uhai wake lambilambi tunaluhusiwa jamani mwenye chochote ajitoe
 
Back
Top Bottom