Wasifu mfupi wa marehemu mtarajiwa 2015

upele

JF-Expert Member
Mar 3, 2010
364
31
MAREHEMU ALIZALIWA 05.02.77,ENZI ZA UHAI WAKE lijishughulisha na kuua mazao ya biashara:pamba,tumbaku,kahawa.korosho,na katani pia marehemu atakumbukwa kwa kazi kubwa aliyoifanya kwa bidii ya kutaifisha nakuua viwanda na makampunibinafsi,kuua vyama vya wakulima,kuua na kuuzamakampuni na viwanda vya umma,Atakumbukwa kwa ufisadi na ubadhilifu wa fedha na kodi za serikali,pia aliwaleta na kuwapa wageni mali za wa Tz,Ameacha wachina kariakoo,makaburu mererani na wazungu wa kila aina kwenye.na chanzo cha umauti wake ni GESI YA MTWARA.OOH JINA LA MAREHEMU NI CCM.
 
ha ha ha ila alikuwa mpenda watu sana hasa wakinana mama kwa sababu kipindi cha uchaguzi alipenda kuwagaia sana kanga na tisheti za kijani
 
Alikuwa anapenda sana kugawa tsht za kijani asee, rip ccm
 
Ubunifu wa namna hii ungetumiwa kwenye shughuli za uzalishaji, tungekuwa mbali sana.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mhnnn.....

Marehemu amecha mke mmoja anayeishi huko Zanzibar na hawakufanikiwa kupata mtoto.
 
Marehemu amewaacha watoto wangapi jamani?

Na hana hata wajukuu?

Marehemu na alaaniwe mpaka kiama!
 
Pia marehemu alidiriki kutoa zawadi za kushangaza kwa watoto wake shupavu kama Mwangosi na Dk. Ulimboka. Marehemu pia alifanikiwa kuwatapeli wazungu kwa kubadilishana makontena ya kondomu kwa dhahabu. Wasifu wake umekuwa umehitimishwa kwa kufanikiwa negatively kuiba kura mwaka huu 2015.
Jakaya amlaze marehemu katika mji mpya wa upinzani, sasa na hata milele, amina
 
mie mwenywe najishangalia! kuna watu wana rofo za kutu ka IDARA YETU YA FIRE TANZANIA! LOL

Umeona eeh..!! kila muda wao wanawaza kuzalisha tu, tungekuwa hivyo wote si ingekuwa taabu dunia hii.!!?
 
Kumzalisha nani..!??

Haaahaaahaaaa! Nimecheka sana mkuu. Kweli wewe ni Dr. Zero.

Unajua ni kwanini Mbatia na wabunge wengine wa upinzani walitoka nje ya bunge? Ni kwasababu mfumo wa elimu yetu kwa sasa "unazalisha" watu kama wewe.

LOL!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
MAREHEMU ALIZALIWA 05.02.77,ENZI ZA UHAI WAKE lijishughulisha na kuua mazao ya biashara:pamba,tumbaku,kahawa.korosho,na katani pia marehemu atakumbukwa kwa kazi kubwa aliyoifanya kwa bidii ya kutaifisha nakuua viwanda na makampunibinafsi,kuua vyama vya wakulima,kuua na kuuzamakampuni na viwanda vya umma,Atakumbukwa kwa ufisadi na ubadhilifu wa fedha na kodi za serikali,pia aliwaleta na kuwapa wageni mali za wa Tz,Ameacha wachina kariakoo,makaburu mererani na wazungu wa kila aina kwenye.na chanzo cha umauti wake ni GESI YA MTWARA.OOH JINA LA MAREHEMU NI CCM.
CCM itakufa baada Chadema kujiua kabla 2015,karibu kwenye beth dei yetu Kigoma 5.2.2013 uje ushuhudie chama imara na uongozi imara.Chadema ilizaliwa lini?
 
kaua elimu kwa kiwango kibaya sana!darasa la mkoloni la nne ni zaidi ya mwanafunzi wa kidato cha sita kwa ccm
 
Wasifu huu ungeenda mbele kidogo japo hatua mbili kueleza jinsi marehemu magamba alivyo sababisha udhaifu wa kwenye sekta ya elimu kwa kuwaacha watoto wake 5200 walio faulu bila kujua kusoma na kuandika! Huku idadi ya wasiojua kusoma na kuandika ikipanda kutoka 18% mwaka 1975 hadi 33 mwaka 2011.

Nimewaona wajukuu wa marehemu wakipiga jaramba na maneno ya shombo kama kawaida yao! Poleni sana kina macha na tzri.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ameacha mtoto mmoja t.l-p na mjane cuf,roho ya marehemu ilaaniwe na pamoja na kizazi chake chote, ipumzike mahali pabaya motoni,huku ikionja moto wa milele
Marehemu amewaacha watoto wangapi jamani?

Na hana hata wajukuu?

Marehemu na alaaniwe mpaka kiama!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom